joel philipo
JF-Expert Member
- Jul 6, 2016
- 242
- 180
Ushajibiwa ujinga wako ulipoWewe unado nini hapa?
Umeniajiri au umekariri.
Sasa mnadhani kuna mtu hajui mnamaanisha nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushajibiwa ujinga wako ulipoWewe unado nini hapa?
Umeniajiri au umekariri.
Sasa mnadhani kuna mtu hajui mnamaanisha nini.
Unauliza Lawama na Majungu Yanga SC?Kwa hiyo mnaenda kujaribu kwa wataalamu?
Mbona inaeleweka unamaanisha nini hakuna mtoto humu.Nauguliwa na Mpwa wangu nashangaa unanitajia Mtu mwingine ambaye bahati mbaya hata haugui ( haumwi ) kwa mujibu wake Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Makamu wa Rais Samia Hassan. Acheni Viherehere na Kuwashwawashwa
Wewe ndio unatakiwa kujibu na si any di canary.Ushajibiwa ujinga wako ulipo
Aisee kweli huwezi kuuliza makofi polisiUnauliza Lawama na Majungu Yanga SC?
Coment zako ww n za kichochez unaona uz unaongelea mpwa ww unaanza mitazamo yako mara ooh lulu mambo ambayo hajayaongelea mleta madaWewe ndio unatakiwa kujibu na si any di canary.
Anawashwa huyo Ndugu asikusumbue.Coment zako ww n za kichochez unaona uz unaongelea mpwa ww unaanza mitazako yako mara ooh lulu mambo ambayo hajayaongelea mleta mada
Elezea maana ya neno uchochezi,ni kama unaandika hujui maana yake.Coment zako ww n za kichochez unaona uz unaongelea mpwa ww unaanza mitazako yako mara ooh lulu mambo ambayo hajayaongelea mleta mada
wewe punguza mahaba ya kishamba eti tz tunataka corrupt leader wewe tenda za kujenga uwanja wa ndenge chato hospital na zile anazogawa barabarani hela zinatoka wapi zimeidhinishwa na bunge gani we piga kimya acha kuharibu uzi wa mwenzakoWewe unado nini hapa?
Umeniajiri au umekariri.
Sasa mnadhani kuna mtu hajui mnamaanisha nini.
Eti kisa hawaajiriwi kama kipindi cha JK,watz bhana.Watz baadhi yenu kuna mahali mna shida.
Nyie mnafaa mpate corrupt leaders,na maendeleo msifanyiwe.
Kila mtu aachwe aibe atakavyo muendelee kuwa kijiji.
Watu design ya magufuli si size yenu,ilifaa aongoze U.S. huko.
Hamna hata shukrani.
Hii Lulu mlipewa hamtawahi ipata tena as ni watu wachache kama yeye.
Time is the best teacher,mtakuwa kama Libya itakua too late.
Mkuu mimi mwenyewe nimeshangaa rais wangu anatajwa kwenye thread ya Mpwa wako. Tena kwa laana si ndio nikajikuta najazibika kuikana laana yake huyu Mkuu Trese!!Unaweza kuweka Ushahidi usio na chembe ya Shaka kuwa huu Uzi unamuhusu huyu ( huyo ) Mtu wenu na siyo Mpwa wangu? Kuna Watu mnanitafuta endeleeni tu mtanipata very soon Wapuuzi wakubwa nyie.
mkuu usitukusanye kapu moja ya haya mapunga yenye hasira za kukatiwa mirija ya upigaji.Watz baadhi yenu kuna mahali mna shida.
Nyie mnafaa mpate corrupt leaders,na maendeleo msifanyiwe.
Kila mtu aachwe aibe atakavyo muendelee kuwa kijiji.
Watu design ya magufuli si size yenu,ilifaa aongoze U.S. huko.
Hamna hata shukrani.
Hii Lulu mlipewa hamtawahi ipata tena as ni watu wachache kama yeye.
Time is the best teacher,mtakuwa kama Libya itakua too late.
Ni nini hiyo inaniwasha?have manner.Anawashwa huyo Ndugu asikusumbue
Una hamahama tena[emoji23]Moyo wake unatokatoka ( unahamahama ) sana katika njia yake ila kuna Mzungu Mmoja kasema atatusaidia atupe Ufadhili wa Kumpeleka nchini Ujerumani ambako ndiko wana Ujuzi wa Juu wa Matibabu ya Moyo.
Tulipewa..... What do u mean mkuu, mbona na ww kama unaleta taharuk sasa.......Watz baadhi yenu kuna mahali mna shida.
Nyie mnafaa mpate corrupt leaders,na maendeleo msifanyiwe.
Kila mtu aachwe aibe atakavyo muendelee kuwa kijiji.
Watu design ya magufuli si size yenu,ilifaa aongoze U.S. huko.
Hamna hata shukrani.
Hii Lulu mlipewa hamtawahi ipata tena as ni watu wachache kama yeye.
Time is the best teacher,mtakuwa kama Libya itakua too late.
Toa pumba zako hapa labla mataga,Watz baadhi yenu kuna mahali mna shida.
Nyie mnafaa mpate corrupt leaders,na maendeleo msifanyiwe.
Kila mtu aachwe aibe atakavyo muendelee kuwa kijiji.
Watu design ya magufuli si size yenu,ilifaa aongoze U.S. huko.
Hamna hata shukrani.
Hii Lulu mlipewa hamtawahi ipata tena as ni watu wachache kama yeye.
Time is the best teacher,mtakuwa kama Libya itakua too late.
Yaani nimepata shida kugundua.Ni mtoa taarifa hapo,anaitwa hivyo