Majibu tofauti na dalili

Majibu tofauti na dalili

brave Mwafrika

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2019
Posts
247
Reaction score
135
swali, "Unawezakua na dalili za HIV/AIDS na kwenye vipimo vya HIV 1/2. Vikaonesha negative. Apo inakuaje members wenzangu ebu mnisaidie!!!??
 
Utoto raha unauliza tuu hata ujinga bila kuwa na aibu

Hebu ziseme hizo dalili tuzione
 
Yaani watu mnalitafuta hili gonjwa Kwa nguvu, vipimo vinaonesha huna,bado unakomaa duh, nenda hospital for checkup zaidi, huenda ni malaria tu,
 
Back
Top Bottom