mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,406
- 711
Mimi kufanya show ya kikosi tarehe 31 hata bendi na wasanii kibao wanashow zao usiku huo. Na zaidi mimi siwezi kuacha pesa wakati mziki ndio kazi yangu na silishwi na Jide wala Sugu maisha yangu ni mziki na kimsingi pesa niliyopewa inalipa, show yake ya tarehe 31 hakunipa mchongo hivyo mimi nitakataaje show ya kikosi wakati ni artist wenzangu tena wa hip hop nawamenipa show kwa kuthamini mchango wangu katika game tofauti na Jide aliwapa dili kina Barnaba, Lina mpaka wamemwaga.
Hii ndo aina ya wasanii tuliona,
amejibu swali lipi, aliulizwa na nani?
I knw afande selle kabla hajakwenda ujeda zenji, asijikwatue kkujaribu kujifananisha na Jide, hamfikii hata Mita 2, si wa idadi ya mashabiki, status ya mashabiki maisha hata kibiashara!
kuna shabiki wake alimuuliza kwenye Facebook.. Nae ndio akatoa majibu hayo..
Very funny aisee. Hiyo boksa si ni bora ingelikuwa walau na rangi nyeupe? Kwi kwi kwi kwi kwiiiii! Mbavu zanguuuu!
Very funny aisee. Hiyo boksa si ni bora ingelikuwa walau na rangi nyeupe? Kwi kwi kwi kwi kwiiiii! Mbavu zanguuuu!
Vipi unabifu nae.?Khaaa,huyo shoga anatapik nn???,---- make hamfikii jide hata auze ------ wake malay wa ambianc utashindan na anaconda,una bahat mbwa wew ningekufira eima ------ yako
Very funny aisee. Hiyo boksa si ni bora ingelikuwa walau na rangi nyeupe? Kwi kwi kwi kwi kwiiiii! Mbavu zanguuuu!
Maji yatakayosuuzia hii boxer, ukimpa mnyama anywe lazima atakufa!!Very funny aisee. Hiyo boksa si ni bora ingelikuwa walau na rangi nyeupe? Kwi kwi kwi kwi kwiiiii! Mbavu zanguuuu!