mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,406
- 711
Mimi kufanya show ya kikosi tarehe 31 hata bendi na wasanii kibao wanashow zao usiku huo. Na zaidi mimi siwezi kuacha pesa wakati mziki ndio kazi yangu na silishwi na Jide wala Sugu maisha yangu ni mziki na kimsingi pesa niliyopewa inalipa, show yake ya tarehe 31 hakunipa mchongo hivyo mimi nitakataaje show ya kikosi wakati ni artist wenzangu tena wa hip hop nawamenipa show kwa kuthamini mchango wangu katika game tofauti na Jide aliwapa dili kina Barnaba, Lina mpaka wamemwaga.

