Majibu ya bodi kwa waliokosa mkopo

Majibu ya bodi kwa waliokosa mkopo

Natamani kuwamwagia tindikali watu wote wa bodi. Kwani bodi ipo kwa ajili ya yatima tu? Mi nasema hv nisiposoma mwaka huu ntadhuru mtu.
 
Kwahiyo wanataka watu wawaue wazazi wao sababu ya boom...kuna watu wana wazazi wawili lkn ht laki moja hawajawahi shika na kuna watu wana mzazi mmoja na wanajiweza..mfano Ridhiwan alivyosomaga hakupata mkopo au wanaleta tu umburula na ungese wao hapa
 
Mimi nadhani mapambano yaendlee kesho tuibuke tukamsikilze Mkurugenzi,ila ni pande gani wadau?nipo dar kimara.
 
dah,itabid 2fanye utatuz wa matatzo haya mapema..updatedboy

Unupdated boy na wewe umekosa? Au family consumer siyo kozi ya kipaumbele nini? Pole mdogo wangu! Try again later!!
 
Natamani kuwamwagia tindikali watu wote wa bodi. Kwani bodi ipo kwa ajili ya yatima tu? Mi nasema hv nisiposoma mwaka huu ntadhuru mtu.

uko sawa ndg lakini angalia ucjevkadhuliwa wewe vicevesa of ur plan, c unajua mungu sio jose?
 
Mkurugenzi akijibu maswali ya watu waliofka kuhoji kwa nini wamekosa mkopo,amewajibu "WALIOPATA WAMEPATA NA WALIOKOSA HAWATAPATA"Cha kuwapa moyo amewaambia wakate rufaa na wasubiri majibu ndani ya 90 days..! Hata hvyo criteria za kupata mkopo KIGEZO KIMOJAWAPO AKASEMA CHETI CHA KIFO KAMA WEWE NI YATIMA, na akasema kuwa kama kuna m2 kanyimwa mkopo na niyatima..apeleke death certificate ili apewe mkopo!..updatedboy!

Hivi kufiwa na wazazi ndio kigezo cha kumpima mtu kama ana uwezo au hana? kuna wengine wamefiwa na wazazi ila wazazi wao wameacha mali za kutosha tu na kuna wengine wana wazazi ila wazazi wao ni maskini wa kutosha.
 
watu wengi ni yatima na vigezo wameweka na hawakupewa hao jamaa huwa hawakai wakachambua ila wanafanya kaz il liende
 
Unupdated boy na wewe umekosa? Au family consumer siyo kozi ya kipaumbele nini? Pole mdogo wangu! Try again later!!

nimepata 100%..bro job k eeh nina shda! Plz nichek 0768260834
 
Hivi kufiwa na wazazi ndio kigezo cha kumpima mtu kama ana uwezo au hana? kuna wengine wamefiwa na wazazi ila wazazi wao wameacha mali za kutosha tu na kuna wengine wana wazazi ila wazazi wao ni maskini wa kutosha.

itabid frm ths year 2anze kuwabadilisha kimtazamo,kwa pamoja!updatedboy
 
Hivi kufiwa na wazazi ndio kigezo cha kumpima mtu kama ana uwezo au hana? kuna wengine wamefiwa na wazazi ila wazazi wao wameacha mali za kutosha tu na kuna wengine wana wazazi ila wazazi wao ni maskini wa kutosha.

mi nahx ndivyo wanavyodhan wao!updatedboy
 
uko sawa ndg lakini angalia ucjevkadhuliwa wewe vicevesa of ur plan, c unajua mungu sio jose?

kikubwa 2wafate even a week hata kama 2kilala bodi haina shdah,ili mrad watupe mkopo!
 
Kwahiyo wanataka watu wawaue wazazi wao sababu ya boom...kuna watu wana wazazi wawili lkn ht laki moja hawajawahi shika na kuna watu wana mzazi mmoja na wanajiweza..mfano Ridhiwan alivyosomaga hakupata mkopo au wanaleta tu umburula na ungese wao hapa

babah,2kayachubueh!
 
haya ni matokeo ya ubepari, wachache wananeemeka, wengi tunateseka kwa umasikin wa kupindukia. TunakukumbukaMwl NYERERE
 
Kwahiyo wanataka watu wawaue wazazi wao sababu ya boom...kuna watu wana wazazi wawili lkn ht laki moja hawajawahi shika na kuna watu wana mzazi mmoja na wanajiweza..mfano Ridhiwan alivyosomaga hakupata mkopo au wanaleta tu umburula na ungese wao hapa

aya bhana
 
Back
Top Bottom