Majibu ya CCM Mdahalo wa Odemba: Tunasikitishwa na jinsi alivyoupotosha umma, tumeshangazwa na machozi yake!

Na kama hicho alichosema huyo aliyekuwa DC wa Longido.
Hapa tunaongelea Majibu ya CCM kwa bwana Odemba. Jikite kwenye mada, na utueleze ukweli kwenye siasa ni nini?
 
Wakina Mnyika naona walikuwa wanaenda kumuhoji Nchimbi na si kushiriki mdahalo ndio maana walipojua Nchimbi hatokuwepo wakaondoka.
Wakiambiwa bila CCM imara nchi itayumba wanakuwa wabishi. Imagine mjumbe mmoja kukosekana shughuli nzima ikafa. Hivi asingekuwepo Ado Shaibu yule Odemba angelia?
 
Hata huyo DC ni ccm, na alichokuwa anasema ni ukweli katika siasa.
Sasa naona umeamua kujiondoa ufahamu. Umesema huwaamini CCM lakini DC wa CCM unamwamini kuwa amesema ukweli?

Umewahi kutibiwa ugonjwa wa akili?
 
Nadhani hii taarifa ingetolewa kabla ya siku ya mdahalo ingesaidia sana kupunguza usumbufu na lawama kwa CCM, lakini kuitoa sasa huwezi kuita ni taarifa, ila ni kujitetea.

Ova
 
Nadhani hii taarifa ingetolewa kabla ya siku ya mdahalo ingesaidia sana kupunguza usumbufu na lawama kwa CCM, lakini kuitoa sasa huwezi kuita ni taarifa, ila ni kujitetea.

Ova
Umewahi kufanya kazi kwenye kampuni au organization yoyote? Umewahi kushitaki kesi yoyote mahakamani?
 
Hajaajiriwa na ccm, simchongei. Mbona anafanya mahojiano na watu wengi? Kwann ccm tu ndio huwa wanahojiwa?
Kwanini CCM tu ndio wanahojiwa!? Kwani wewe hujui kuwa "Mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe"? Chadema kwa mfano, unaweza kumhoji nani?
a) Lissu ambaye kila siku eti "Abdul" ( sijui ni nani huyu) alitaka kunihonga!!
au
b) John Pambalu ambaye maskini ya Mungu anachojua ni kutemea mate microphone!!
au
c) Erythrocyte ambaye hata Freeman Mbowe akijamba analeta uzi JF alianza na "Taarifa ikufikie popote duniani ya kwamba Mwanasiasa mahiri Tanzania na Ulimwengu mzima Freeman Mbowe leo amejamba...!! Ahahahahaha!
 
Mara utasikia Odemba hajulikani alipo. Hii nchi hakuna kinachoshindikana.
 
Sasa naona umeamua kujiondoa ufahamu. Umesema huwaamini CCM lakini DC wa CCM unamwamini kuwa amesema ukweli?

Umewahi kutibiwa ugonjwa wa akili?
Narudia tena nina imani na ukweli, na sijali nani kasema ukweli, kipi huelewi hapo?
 
Kwa taarifa yako tu kama huangalii vipingi vya huyu bwana amehoji wengi ambao si wana ccm, mpaka hao akina lissu unao wasema,

Uzuri wake anahoji makundi yote, ndio maana nikakuambia whats so special kwamba ccm wakigoma klhawatopata wengine wa kuhoji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…