Huna unachokijua wewe...zile tuzo wala sitaki kibaa atajwe kama wizkid amekosa miaka miwili mfululizo dai na kiba watapata hizi hizi za udancers tu wakiwa nominated
Tena umesema kweli manake huyu jamaa mie ndo kwanza leo namuona... hapa jamvini sijawahi kukutana nae hata mara moja lakini anaibuka from nowhere na kuanza kutoa lugha za kashifa anadhani watu wanaogopa ban halafu mwenyewe anajisifia eti aachiwe yeye bila kujua kwamba watu humu wamefyatuka ile mbaya sema wanaamua kumpotezea tu...achana na kiazi huyo aliyemkataza alikiba kufanya collabo nani? ,akili za viazi alizonazo huyo Dogo zinamsumbua then he pretend that he is intellectual.
ww elewa mada sasa kiba amekujaje hebu nionyeshe sehemu niliyotukana hapo elewa mada ndo uchangie mkuu sawaHalafu we jamaa unaonekana unapenda sana lugha chafu... in short unapenda shari! Shari unaziweza au unajifunza? NImekuuliza huyo Kiba ana vigezo hadi awe nominated matokeo yake unakuja na blah blah.. FYI, hizo lugha za hovyo hovyo tafuta wa kuwatolea manake kama unajiona fyatu au unataka kuleta ulimbukeni wa mitandao, endelea! Watu hatuna idadi ya ban huju jamvini zinazobabishwa na watu kama nyiny
mi sijakutuka mi nimekuelewesha kama vipi nipotezee nakupotezea sasa mtu hata hatujuani nikuchukie au nikukejeli nakujua ww this is for funnyHalafu we jamaa unaonekana unapenda sana lugha chafu... in short unapenda shari! Shari unaziweza au unajifunza? NImekuuliza huyo Kiba ana vigezo hadi awe nominated matokeo yake unakuja na blah blah.. FYI, hizo lugha za hovyo hovyo tafuta wa kuwatolea manake kama unajiona fyatu au unataka kuleta ulimbukeni wa mitandao, endelea! Watu hatuna idadi ya ban huju jamvini zinazobabishwa na watu kama nyiny
mkuu nipotezee basi kwani ugomviHuna unachokijua wewe...
Umeona enh Toplady!!! Watu tusiofikiri kwa kutumia makalio wakati ule ule tulishawaambia kwamba ni mademu ndio wanasafiria nyota ya Diamond na sio kwamba Diamond ndie anasafiria nyota zao na hivi sasa ukweli tuliokuwa tunaosema umeshadhihirika... Madam anapotea taratibu; wakati Zari anaingia niliwapa watu mfano na kuwaambia sasa subirini followers wa Zari... by the time Zari alikuwa na ONLY 33 or 36,0000 Followers Instagram lakini leo hii ana followers zaidi ya laki 5!!!Hivi sahv Dai anatembelea nyota ya nani vile?? Maana ilisemekana bila nyota ya mbuge mtarajiwa hatapata tuzo hata moja
mm siwez mipasho bwana mipasho ni ya daimond unijue ili iweje domo ni mtume kwenu hakosei haya nakukabidhi hii threadTena umesema kweli manake huyu jamaa mie ndo kwanza leo namuona... hapa jamvini sijawahi kukutana nae hata mara moja lakini anaibuka from nowhere na kuanza kutoa lugha za kashifa anadhani watu wanaogopa ban halafu mwenyewe anajisifia eti aachiwe yeye bila kujua kwamba watu humu wamefyatuka ile mbaya sema wanaamua kumpotezea tu...
Hivi diamond kaishia darasa la ngapi?
Wewe unaelewa mada? Kama issue ni mada, mbona thread inazungumzia suala la Jokate na Diamond; wewe suala la Ntampata Wapi na Mdogo mdogo umelitowa wapi? HUjanitukana, fine... unaweza kuniambia nini maana ya kwamba nimekula mayai halafu nachafua hewa? Jifunze kutumia lugha mzuri... pitia post zako uone wangapi umewatolea lugha za hovyo na wangapi umewaita vilaza... BTW, post ambayo niliku-quote ulizungumzia nini kama sio kwamba Mdogo mdogo na Ntampata Wapi hazijakuwa nominated mie nikakupa facts ya tuzo ambayo Mdogo mdogo ilipata na nomination ya Nitampata Wapi Afrimma! Au umesahau ulichoandika mwenyewe saa chache tu zilizopita? Post yako hii:ww elewa mada sasa kiba amekujaje hebu nionyeshe sehemu niliyotukana hapo elewa mada ndo uchangie mkuu sawa
Sasa ni nani kati yetu asiyeelewa mada?we kilaza tulia mdogomdogo na ntampata wapi mbona hazijatajwa we unakuja tu una coment wala huelewi kinachozungumzwa pita hivi uwe unasoma mada ndo uchangie co unakurupuka tu
We jamaa wa wapi wewe? Mara oh, huelewi mada, mara oh, Mtume wenu hakosei... wa wapi wewe?mm siwez mipasho bwana mipasho ni ya daimond unijue ili iweje domo ni mtume kwenu hakosei haya nakukabidhi hii thread
Nani kaanza kishari shari kama sio mwenyewe... kama wengine ni wastaraabu mie mtu pori jombaa; mtu akinizingua namzingua... akiwa peace nami naleta peace! JF ni jungle na wala sina time ya ya kutana nionekane muungwana!mkuu nipotezee basi kwani ugomvi
Alah! Wewe unaelewa mada? Labda umesahau, mada ni hii hapa:ww elewa mada
Sasa habari hii:Mshindi huyo wa ‘Best Live Act' kwenye MTV MAMA baada ya kurejea Tanzania, amejibu shutuma alizozitoa Jojo dhidi yake kuhusu video aliyoipost, ya mrembo huyo aliyewahi kuwa mpenzi wake akifurahia wimbo wa ‘Mdogo Mdogo' na kuandika "Mbona Bado, Mtanyooka Tu"., haya ndio majibu ya Diamond kuhusu video aliyoipost na kile alichokiandika Jokate:
Inahusiana vipi na issue ya Jokate na Diamond?!we kilaza tulia mdogomdogo na ntampata wapi mbona hazijatajwa we unakuja tu una coment wala huelewi kinachozungumzwa pita hivi uwe unasoma mada ndo uchangie co unakurupuka tu
HUfahamu Kiba amekujaje, ametokea hapa:sasa kiba amekujaje
Na ndio maana nikakujibu:we kilaza jielewe kwani kiba alitajwa kwenye mtv tunazungumzia aliotajwa nao kina davido wizikid hata afrimama hachukui kitu yupo na wazee wa kazi davido na wizkid na kule hakuna tuzo ya kukata mauno
Ulitarajia huyo Kiba atajwe MTV wakati hana vigezo!! Hivi huoni hata nomination za AFRIMMA amekuwa nominated kwenye category za kikanda!!!
Hebu niambie ulichomaanisha hapo kwenye REDhebu nionyeshe sehemu niliyotukana hapo elewa mada ndo uchangie mkuu sawa
hebu taja mtanzania aliengiza nyimbo yake bila collabo mtv au umeshiba mayai unachafua hali ta hewa
ww nenda kambini bwana utaniudhi ujue
mtu akijichanganya kule kwa king ruksaa ila hapa naomba uniachie mm mpotezeee kama vipi
ahahahahaa nilijua tu lazima diamond ageuze maana!!ile caption kwa mtu anayekurupuka kama jikate lazima tu angejiongeza!ulikua ni mtego mmoja mzuri sana!
Kama alivyokatutega na lile gari yake ndivyo hivyo alivyomtega kwenye ile caption jokate. Majibu yote yanaweza kuwa sahihi A na B,Diamond anaweza kua sahihi kwamba hakumaanisha kejeli na mabango na Jokate vile vile anaweza kua sahihi
mwakani daimond akichukua tuzo mtv wallah nipigwe life ban la maishaa na naacha kushabikia maana na ujinga sasa
Dogo noma... ingawaje elimu nimemzidi kwa mbali but I doubt ikiwa naweza kumu-overthrow ikiwa nafanya nae kitu as rivals na hapo ndipo ninapowaona watu vilaza wanapokomalia kwamba "oh, jamaa shule tatizo" wakati wao na degree zao (na wengine hata diploma hawana lakini utawasikia jamaa tatizo shule) lakini hakuna chochote cha maana walichonacho in contrary na huyo wanayesema shule tatizo ambae ana almost everything a boy of his age group kwa mazingira ya Afrika angependa kuwa nacho! Mtu anajivunia elimu wakati anaenda job na daladala, amepanga chumba na sebule Ubungo au Tabata!!!diamond ni genius aiseee, uwezo aliouonesha kwenye kupangua shutuma za jokate bila kuwa na akili kubwa huwezi. nimempenda bureeeee, pale wenye shule ya darasani wanavyocharazwa na wenye akili ya kuzaliwa
diamond ni genius aiseee, uwezo aliouonesha kwenye kupangua shutuma za jokate bila kuwa na akili kubwa huwezi. nimempenda bureeeee, pale wenye shule ya darasani wanavyocharazwa na wenye akili ya kuzaliwa