Kamnyooshe demu wako nyau wew
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya maneno maneno ya huyu bwana mdogo huwa yanamgharimu sana. Elekeza nguvu zako kwenye kazi. Acha vijembe.
Sasa hapo kafanya nn sasa zaidi ya kujenga chuki dhidi ya mashabiki wa huyo dada. Akumbuke kuna AFRIMMA yaja, huko kuna Alikiba, Vanessa, Dimpoz, yasije yakatokea yale yaliyotokea KTMA. Akumbuke kuwa watu wanaweza wakakuprovoke makusudi upoteze uelekeo.
Maboso
we kilaza tulia mdogomdogo na ntampata wapi mbona hazijatajwa we unakuja tu una coment wala huelewi kinachozungumzwa pita hivi uwe unasoma mada ndo uchangie co unakurupuka tu
Sidhani kama natakiwa kukukumbusha kwamba alishinda hiyo tuzo!Diamond atajwa kuwania tuzo za IRAWMA, Marekani kupitia "Mdogo mdogo", anachauana na Davido, Awilo Longomba na Bracket. (August 26,2014)
Kwa mara nyingine Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za kimataifa nchini Marekani, ambapo safari hii wimbo wake wa Mdogo mdogo wenye miezi miwili tagu utoke umemuwezesha kuingia kwenye tuzo za IRAWMA (International Reggae and World Music Awards). Wimbo wa Mdogo mdogo wa Diamond umeingia kwenye tuzo hizo katika kipengele cha Best African Song/Entertainer. Kwa mara nyingine Diamond anapambana na Davido anayewania kipengele hicho kupitia wimbo wake "Aye." Kwa habari zaidi, Bongo 5
Halafu unajua unashangaza ile mbaya unapoponda mtu kutumia gharama kwenye kutangaza kazi zake!!! Nani anapenda kutengeneza video mbaya? Au ndo unataka kuleta ya Afande Selle kwamba yeye anatengeneza video zake kwa 1 million na hao wengine gharama zinakuwa kubwa kwa kuwa wanapaka poda? Be honest... unataka kuniambia gharama alizotumia Ali Kiba kwenye Mwana na Cheketua unaweza kufananisha na video alizotengeneza zamani? Muziki umebadilika jombaa... watu wakisikia mtu kaachia ngoma interest yao ni vidoeo!Diamond nominated AFRIMMA Awards 2015, Nitampata Wapi being Song of The Year more at AFRIMMA
Kamnyooshe demu wako nyau wew
Ulitarajia huyo Kiba atajwe MTV wakati hana vigezo!! Hivi huoni hata nomination za AFRIMMA amekuwa nominated kwenye category za kikanda!!!we kilaza jielewe kwani kiba alitajwa kwenye mtv tunazungumzia aliotajwa nao kina davido wizikid hata afrimama hachukui kitu yupo na wazee wa kazi davido na wizkid na kule hakuna tuzo ya kukata mauno
zile tuzo wala sitaki kibaa atajwe kama wizkid amekosa miaka miwili mfululizo dai na kiba watapata hizi hizi za udancers tu wakiwa nominatedUlitarajia huyo Kiba atajwe MTV wakati hana vigezo!! Hivi huoni hata nomination za AFRIMMA amekuwa nominated kwenye category za kikanda!!!
hata wewe unaweza kuwa demu wangu
ndo maana mi nimesema we unakurupuka coz video bora hawaangaliii gharama wala ndege na wazungu kwenye video ni ubunifu ndo kigezo kikubwa wanachotumia ndo maana godfaza hajaingiza hata video moja kwenye mtvSidhani kama natakiwa kukukumbusha kwamba alishinda hiyo tuzo! Halafu unajua unashangaza ile mbaya unapoponda mtu kutumia gharama kwenye kutangaza kazi zake!!! Nani anapenda kutengeneza video mbaya? Au ndo unataka kuleta ya Afande Selle kwamba yeye anatengeneza video zake kwa 1 million na hao wengine gharama zinakuwa kubwa kwa kuwa wanapaka poda? Be honest... unataka kuniambia gharama alizotumia Ali Kiba kwenye Mwana na Cheketua unaweza kufananisha na video alizotengeneza zamani? Muziki umebadilika jombaa... watu wakisikia mtu kaachia ngoma interest yao ni vidoeo!
hebu taja mtanzania aliengiza nyimbo yake bila collabo mtv au umeshiba mayai unachafua hali ta hewaUlitarajia huyo Kiba atajwe MTV wakati hana vigezo!! Hivi huoni hata nomination za AFRIMMA amekuwa nominated kwenye category za kikanda!!!
ww hebu rudi kule kambini huku niachie mm haya nenda huku tuachie ccAkuuuuu....
Akuuuuu....
haki ya mungu mwakani hapati hata tuzo moja ya mtv
hebu taja mtanzania aliengiza nyimbo yake bila collabo mtv au umeshiba mayai unachafua hali ta hewa
ndo maana mi nimesema we unakurupuka coz video bora hawaangaliii gharama wala ndege na wazungu kwenye video ni ubunifu ndo kigezo kikubwa wanachotumia ndo maana godfaza hajaingiza hata video moja kwenye mtv
Sidhani kama natakiwa kukukumbusha kwamba alishinda hiyo tuzo! Halafu unajua unashangaza ile mbaya unapoponda mtu kutumia gharama kwenye kutangaza kazi zake!!! Nani anapenda kutengeneza video mbaya? Au ndo unataka kuleta ya Afande Selle kwamba yeye anatengeneza video zake kwa 1 million na hao wengine gharama zinakuwa kubwa kwa kuwa wanapaka poda? Be honest... unataka kuniambia gharama alizotumia Ali Kiba kwenye Mwana na Cheketua unaweza kufananisha na video alizotengeneza zamani? Muziki umebadilika jombaa... watu wakisikia mtu kaachia ngoma interest yao ni vidoeo!