Majibu ya Diamond kwa Jokate kuhusu post yake iliyoleta utata

Majibu ya Diamond kwa Jokate kuhusu post yake iliyoleta utata

Tuzo zimeisha saivi ubunge Ndio Habari ya mjini.. Hivi Dangote anagombea Jimbo gani? Au kidoti hagombei mbinga???
 
Nasema hivii...
Mbona team ndomo team wanenguaji mmeumia hivyo kiba kutajwa? Mara oooh hastahili mara sijui nini.
Au kwa sababu hajafanya collabo na watu wa naija na kenya na uganda? Maumivu yakizidi mwone doctor.
Hamna cha collabo na watu wa nje wala nini ila tunatoboa kimataifa hutaki hama nchi.
Best male....
 
Haya maneno maneno ya huyu bwana mdogo huwa yanamgharimu sana. Elekeza nguvu zako kwenye kazi. Acha vijembe.
Sasa hapo kafanya nn sasa zaidi ya kujenga chuki dhidi ya mashabiki wa huyo dada. Akumbuke kuna AFRIMMA yaja, huko kuna Alikiba, Vanessa, Dimpoz, yasije yakatokea yale yaliyotokea KTMA. Akumbuke kuwa watu wanaweza wakakuprovoke makusudi upoteze uelekeo.
Maboso

Ni bora yamgharimu kuliko kuendekeza unafiki wa hawa wadada. Kuwepo hao wasanii wengine kwenye tuzo za Afrima siyo ishu sana kwa sababu, moja ni faida kwa taifa kwani nchi yetu inazidi kujulikana, pili hao wote uliowataja wapo kwenye kipengele kimoja kimoja tu, ni Diamond pekee ndiye yupo kwenye category 6 kama siyo 7. Tatu, kuacha kumpigia kura Diamond eti kisa kampa makavu Jokate inaleta muendelezo ule ule wa chuki binafsi ambazo ndizo Diamond anazipinga na ndizo alizomshushua Jokate kwamba anaacha kupigia kura cha nyumbani anaenda kupigia wanaigeria eti kisa tu amkomoe. Mkuu, watanyooka tu, huu ubinafsi na chuki hautaishia kwa Diamond tu bali unaweza ukaaendelea hata kwa wasanii wengine, so ni bora wanyooshwe mapema ili tukae sawa kabla muziki wetu haujaharibiwa na watu wenye chuki kama Jokate.
 
Diamond usiloe sifa na kuanza kuongea maneno machafu jua safar ndefu bado ujue mapambano bado yanaendelea
 
we kilaza tulia mdogomdogo na ntampata wapi mbona hazijatajwa we unakuja tu una coment wala huelewi kinachozungumzwa pita hivi uwe unasoma mada ndo uchangie co unakurupuka tu
Diamond atajwa kuwania tuzo za IRAWMA, Marekani kupitia "Mdogo mdogo", anachauana na Davido, Awilo Longomba na Bracket. (August 26,2014)

Kwa mara nyingine Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za kimataifa nchini Marekani, ambapo safari hii wimbo wake wa Mdogo mdogo wenye miezi miwili tagu utoke umemuwezesha kuingia kwenye tuzo za IRAWMA (International Reggae and World Music Awards). Wimbo wa Mdogo mdogo wa Diamond umeingia kwenye tuzo hizo katika kipengele cha Best African Song/Entertainer. Kwa mara nyingine Diamond anapambana na Davido anayewania kipengele hicho kupitia wimbo wake "Aye." Kwa habari zaidi, Bongo 5
Sidhani kama natakiwa kukukumbusha kwamba alishinda hiyo tuzo!
Diamond nominated AFRIMMA Awards 2015, Nitampata Wapi being Song of The Year more at AFRIMMA
Halafu unajua unashangaza ile mbaya unapoponda mtu kutumia gharama kwenye kutangaza kazi zake!!! Nani anapenda kutengeneza video mbaya? Au ndo unataka kuleta ya Afande Selle kwamba yeye anatengeneza video zake kwa 1 million na hao wengine gharama zinakuwa kubwa kwa kuwa wanapaka poda? Be honest... unataka kuniambia gharama alizotumia Ali Kiba kwenye Mwana na Cheketua unaweza kufananisha na video alizotengeneza zamani? Muziki umebadilika jombaa... watu wakisikia mtu kaachia ngoma interest yao ni vidoeo!
 
we kilaza jielewe kwani kiba alitajwa kwenye mtv tunazungumzia aliotajwa nao kina davido wizikid hata afrimama hachukui kitu yupo na wazee wa kazi davido na wizkid na kule hakuna tuzo ya kukata mauno
Ulitarajia huyo Kiba atajwe MTV wakati hana vigezo!! Hivi huoni hata nomination za AFRIMMA amekuwa nominated kwenye category za kikanda!!!
 
Ulitarajia huyo Kiba atajwe MTV wakati hana vigezo!! Hivi huoni hata nomination za AFRIMMA amekuwa nominated kwenye category za kikanda!!!
zile tuzo wala sitaki kibaa atajwe kama wizkid amekosa miaka miwili mfululizo dai na kiba watapata hizi hizi za udancers tu wakiwa nominated
 
Sidhani kama natakiwa kukukumbusha kwamba alishinda hiyo tuzo! Halafu unajua unashangaza ile mbaya unapoponda mtu kutumia gharama kwenye kutangaza kazi zake!!! Nani anapenda kutengeneza video mbaya? Au ndo unataka kuleta ya Afande Selle kwamba yeye anatengeneza video zake kwa 1 million na hao wengine gharama zinakuwa kubwa kwa kuwa wanapaka poda? Be honest... unataka kuniambia gharama alizotumia Ali Kiba kwenye Mwana na Cheketua unaweza kufananisha na video alizotengeneza zamani? Muziki umebadilika jombaa... watu wakisikia mtu kaachia ngoma interest yao ni vidoeo!
ndo maana mi nimesema we unakurupuka coz video bora hawaangaliii gharama wala ndege na wazungu kwenye video ni ubunifu ndo kigezo kikubwa wanachotumia ndo maana godfaza hajaingiza hata video moja kwenye mtv
 
Ulitarajia huyo Kiba atajwe MTV wakati hana vigezo!! Hivi huoni hata nomination za AFRIMMA amekuwa nominated kwenye category za kikanda!!!
hebu taja mtanzania aliengiza nyimbo yake bila collabo mtv au umeshiba mayai unachafua hali ta hewa
 
ndo maana mi nimesema we unakurupuka coz video bora hawaangaliii gharama wala ndege na wazungu kwenye video ni ubunifu ndo kigezo kikubwa wanachotumia ndo maana godfaza hajaingiza hata video moja kwenye mtv

ubunifu wa alikiba uko wapi?
 
Sidhani kama natakiwa kukukumbusha kwamba alishinda hiyo tuzo! Halafu unajua unashangaza ile mbaya unapoponda mtu kutumia gharama kwenye kutangaza kazi zake!!! Nani anapenda kutengeneza video mbaya? Au ndo unataka kuleta ya Afande Selle kwamba yeye anatengeneza video zake kwa 1 million na hao wengine gharama zinakuwa kubwa kwa kuwa wanapaka poda? Be honest... unataka kuniambia gharama alizotumia Ali Kiba kwenye Mwana na Cheketua unaweza kufananisha na video alizotengeneza zamani? Muziki umebadilika jombaa... watu wakisikia mtu kaachia ngoma interest yao ni vidoeo!

achana na kiazi huyo aliyemkataza alikiba kufanya collabo nani? ,akili za viazi alizonazo huyo Dogo zinamsumbua then he pretend that he is intellectual.
 
Back
Top Bottom