Nyaganyi2014
Senior Member
- Dec 20, 2014
- 107
- 32
Na mnyoooke tu 7bu hatuna namna tena.😱:thumbdown:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
La Sita D
Matola karibu utoe povu
anatumia gharama nyingi apate sifa kumbe hana lolote haya ngoja tuone mwisho wake domooo katumia gharama kwenye video haijawa nominated wala godfaza mejialab(cheketua directer kaingiza ) sifa zina mwishoo pia
mwakani daimond akichukua tuzo mtv wallah nipigwe life ban la maishaa na naacha kushabikia maana na ujinga sasa
Heheheee tushawazoea, mwenzio alisema atatuonyesha dako lake lilojaa sugu afu kaingia mitiniii....
Hivi diamond kaishia darasa la ngapi?
And that is T,Hui mwaka ni kama unawaendea watu vibayahiiiii noma...doh..wataaaanyooooka tu
Kweli kuwa mbongo sometimes matatizo!! Sasa hii nayo ni yakupostiwa JF?? Hayo ni yao sisi yanatuhusu nin???
we kilaza tulia mdogomdogo na ntampata wapi mbona hazijatajwa we unakuja tu una coment wala huelewi kinachozungumzwa pita hivi uwe unasoma mada ndo uchangie co unakurupuka tuwe jamaa unaropoka tu naona, ongea kitu ukiwa na ushahidi na uelewa juu ya kitu kinachozungumziwa .. D kipindi kile hawakuchagulia nyimbo ya Nana ipigiwe kura maana ilikuwa haijatoka ....
ntampata wapi na nana ipi katumia gharama kubwa nyambaaafu pita hivi uwe unasoma coment uelewe ndo uchangie sawawe jamaa unaropoka tu naona, ongea kitu ukiwa na ushahidi na uelewa juu ya kitu kinachozungumziwa .. D kipindi kile hawakuchagulia nyimbo ya Nana ipigiwe kura maana ilikuwa haijatoka ....
we kilaza jielewe kwani kiba alitajwa kwenye mtv tunazungumzia aliotajwa nao kina davido wizikid hata afrimama hachukui kitu yupo na wazee wa kazi davido na wizkid na kule hakuna tuzo ya kukata maunoHahaha duh kwel ww shabiki maandazi ila #utanyookatu
Ongelea King wenu ambaye ni ndoto kuja hata kuingia kwenye nomination za Mtv.
We ninawasi wasi na elimu yko mana huna hata upeo wakufikiri mkuu nikukurupuka tu kama hzo nyimbo zmekosa ukicompare mziki wa mondi na others kila mtu anafanya yke.
hapati hata moja daimond nakwambia tuzo za wakata viuno hakuna tenaaWewe pwilo naona unatumia nguvu nyingi kubishana tangia asubuhi achana nao bana king wetu amekua nominated huko afrimma kwenye category moja hivi ingia www.afrimma.com ujionee ila huyu anaejifanya mzee wa minyooshoo amepata category 6 kwa hiyo tuachane nao wanyooshe tuu sie tukomae na haka kamoja tukikapata ndio tutaanzisha huu ubishi upya saa hivi acha nao ndugu.