Majibu ya Diamond kwa Jokate kuhusu post yake iliyoleta utata

Ni Bora Amekiri Mwenyewe Kua Watandale Ataendelea Kua Watandale Tu No Matter What.
Huyu Bwamdogo Kama Akili Yake Ingelingana Na Domo Lake Angekua Mtu Wa Maana Sana.Tatizo Lake Shule Ndogo, Ufahamu Mdogo, Upeo Mdogo Basi Ni Shida Tu.
Ila Akae Akijua Haya Mafanikio Yake Ya Ngende Yanamwisho Wake.
Time Will Tell #Atasanda Tu Atlast!
 
Aaah haterz bado inawauma ile 2zo....ebu fanya kuicheq new heat thongi LA mwaka...WANGu
 
Atachukua tu #Nana iko on peak in Africa na kazi nying zinakuja stop tht bullSht
mkuu nakuona wa maana kumbe kilaza johny show me the money sura yako zoote zimekosa tuzo mtv huyo domo atapata kwa nyimbo ipi ye category yake ni hiyo hyo ya kukata mauno tu afrika
 
haki ya mungu mwakani hapati hata tuzo moja ya mtv
 
Unaandika chuki tu stupid stop thse fraudSht" hata kuwa nominated international ni tuzo tosha jua hilo
 
Mwenzako aliahidi kutuonesha UTUPU apa...sasa cjui wewe unatuahidi nini cha maana kwa sababu kupigwa ban ya maisha haisaidii saana coz simply utbadilisha Id nyengine kama afanyavo mwenzko #lukelosakafu aka mzee wa UTUPU...
 
Ni Bora Amekiri Mwenyewe Kua Watandale Ataendelea Kua Watandale Tu No Matter What.
Huyu Bwamdogo Kama Akili Yake Ingelingana Na Domo Lake Angekua Mtu Wa Maana Sana.Tatizo Lake Shule Ndogo, Ufahamu Mdogo, Upeo Mdogo Basi Ni Shida Tu.
Ila Akae Akijua Haya Mafanikio Yake Ya Ngende Yanamwisho Wake.
Time Will Tell #Atasanda Tu Atlast!

teh teh mkuu mbona unalalamika kama umedhulumiwa potezea bana. Alaf time ipi hyo unayoimaanisha wewe wakati mshkaji anazidi kutusua?
THE TIME IS NOW!!!!
 
Unaandika chuki tu stupid stop thse fraudSht" hata kuwa nominated international ni tuzo tosha jua hilo
huna point ww kilaza 1.sura yako 2.johny 3.show me the money

hizo zote zinafanana na nyimbo gani ya domo zimekosa tuzo

na huyo godfaza wako hajaingiza hata video moja mtv nyambafuu ww
 
anatumia gharama nyingi apate sifa kumbe hana lolote haya ngoja tuone mwisho wake domooo katumia gharama kwenye video haijawa nominated wala godfaza mejialab(cheketua directer kaingiza ) sifa zina mwishoo pia
 
Unaandika chuki tu stupid stop thse fraudSht" hata kuwa nominated international ni tuzo tosha jua hilo
jana kapokelewa na watu wachache tena aliwaandaa na bado

tushanyooka
huna point ww kilaza 1.sura yako 2.johny 3.show me the money

hizo zote zinafanana na nyimbo gani ya domo zimekosa tuzo

na huyo godfaza wako hajaingiza hata video moja mtv nyambafuu ww
 
Mwenzako aliahidi kutuonesha UTUPU apa...sasa cjui wewe unatuahidi nini cha maana kwa sababu kupigwa ban ya maisha haisaidii saana coz simply utbadilisha Id nyengine kama afanyavo mwenzko #lukelosakafu aka mzee wa UTUPU...
akichukua najiunga na free mason
 
huna point ww kilaza 1.sura yako 2.johny 3.show me the money

hizo zote zinafanana na nyimbo gani ya domo zimekosa tuzo

na huyo godfaza wako hajaingiza hata video moja mtv nyambafuu ww

Hahaha duh kwel ww shabiki maandazi ila #utanyookatu
Ongelea King wenu ambaye ni ndoto kuja hata kuingia kwenye nomination za Mtv.
We ninawasi wasi na elimu yko mana huna hata upeo wakufikiri mkuu nikukurupuka tu kama hzo nyimbo zmekosa ukicompare mziki wa mondi na others kila mtu anafanya yke.
 
we mkuuu acha umaandazi hamna kitu pale wallah kama johny imekosa tuzo ile bora asingerelease aisee
Wewe pwilo naona unatumia nguvu nyingi kubishana tangia asubuhi achana nao bana king wetu amekua nominated huko afrimma kwenye category moja hivi ingia www.afrimma.com ujionee ila huyu anaejifanya mzee wa minyooshoo amepata category 6 kwa hiyo tuachane nao wanyooshe tuu sie tukomae na haka kamoja tukikapata ndio tutaanzisha huu ubishi upya saa hivi acha nao ndugu.
 
Back
Top Bottom