That's why nisipokuona moyo wangu unapwita ti ti ti... coz' you're so genius!! Wanaingia na ID mbili mbili Mode wanawaumbuwa... daily ramli za time will tell lakini ndo kwanza watu wanazidi kuachana na Dr. Mwaka Ndondo Cup na kwenda kimataifa zaidi!!!Mwandiko wako unafanana na wa Dogofgod. Au mnaigiliziana teh teh!
* Dogo kakimbia fasta...tatizo hawakosi visingizio...Kiba anatakiwa afanye mambo makubwa watu waone sio mashabiki wake wanakuja kwenye thread zinazojadili tuzo kubwakubwa halafu wao hawana cha kupresent....wanaanza kutafuta kasoro...Hahahaaa umenichekesha sana na wewe! Umeobserve alivyotoka nje ya mada akafuatwa, amerudi akabananishwa, akaleta lugha za kashfa akachimbwa mkwara! Mwisho akawa mpole😂😂😂😂😂
Miss you too hadi nabwana na mafua yaani... upo good lakini?Save your energy darln, Btw I mic u........
Hivi sasa mtu akiweka Thread anatakiwa kuweka angalizo kabisa "Hapa Hatujadili Wachezaji wa Dr. Mwaka Ndondo Cup!"* Dogo kakimbia fasta...tatizo hawakosi visingizio...Kiba anatakiwa afanye mambo makubwa watu waone sio mashabiki wake wanakuja kwenye thread zinazojadili tuzo kubwakubwa halafu wao hawana cha kupresent....wanaanza kutafuta kasoro...
Ni Bora Amekiri Mwenyewe Kua Watandale Ataendelea Kua Watandale Tu No Matter What.
Huyu Bwamdogo Kama Akili Yake Ingelingana Na Domo Lake Angekua Mtu Wa Maana Sana.Tatizo Lake Shule Ndogo, Ufahamu Mdogo, Upeo Mdogo Basi Ni Shida Tu.
Ila Akae Akijua Haya Mafanikio Yake Ya Ngende Yanamwisho Wake.
Time Will Tell #Atasanda Tu Atlast!
Chambilecho hata huyo Michael Jackson mwenyewe, yule wa 1980's hakuwa wa 1990's na wa 1990's si yule ambae alituaga 2000's nashangaa wengine wanaona big deal.kiumbe kipi chenye kupumua kiliishi milele, hata akiishia kesho kashafanya yake makubwaaaaaaaaaaa ambayo wasiokuwa na ngende hawajayafanya na sioni dalili
haki ya mungu mwakani hapati hata tuzo moja ya mtv
hakuna kitu kibaya duniani kama chuki, halafu kila ukichukia inazidi kuchukizwa kwani unaowachukia nao wanajua umechukia na wanajipanga kukuchukiza zaid
Haya maneno maneno ya huyu bwana mdogo huwa yanamgharimu sana. Elekeza nguvu zako kwenye kazi. Acha vijembe.
Sasa hapo kafanya nn sasa zaidi ya kujenga chuki dhidi ya mashabiki wa huyo dada. Akumbuke kuna AFRIMMA yaja, huko kuna Alikiba, Vanessa, Dimpoz, yasije yakatokea yale yaliyotokea KTMA. Akumbuke kuwa watu wanaweza wakakuprovoke makusudi upoteze uelekeo.
Maboso
* Haaaahaa wamepata ahueni mtu wao kuwepo kwenye nomination kwenye category moja ya East Africa kwenye AFRIMMA...Hivi sasa mtu akiweka Thread anatakiwa kuweka angalizo kabisa "Hapa Hatujadili Wachezaji wa Dr. Mwaka Ndondo Cup!"
Kwanini? Hatuna shida na mtu ila hatutaki unafiki! Kama mnamchukia mchukieni sio mkikutana na nyimbo zake mnajichetua kama dadaenu!
unatakiwa ule ushibe ndo uwaeleweshe hao kama wamechukuliwa msekule yaniSamahani lakini, huu ni utoto uliotukuka.
Tena umesema kweli manake huyu jamaa mie ndo kwanza leo namuona... hapa jamvini sijawahi kukutana nae hata mara moja lakini anaibuka from nowhere na kuanza kutoa lugha za kashifa anadhani watu wanaogopa ban halafu mwenyewe anajisifia eti aachiwe yeye bila kujua kwamba watu humu wamefyatuka ile mbaya sema wanaamua kumpotezea tu...
Nasema hivii...
Mbona team ndomo team wanenguaji mmeumia hivyo kiba kutajwa? Mara oooh hastahili mara sijui nini.
Au kwa sababu hajafanya collabo na watu wa naija na kenya na uganda? Maumivu yakizidi mwone doctor.
Hamna cha collabo na watu wa nje wala nini ila tunatoboa kimataifa hutaki hama nchi.
Best male....
kama kapata tuzo ya MTV bila support ya team wema kiba, ommy na jokate, huogopi?? ndio maana kaamuwa kuwanyoosha coz imethibitika muungano wa team zoote hizo hauna effect kabisa kwenye maendeleo yake.
usiwadanganye wenzako kwanza kapata ushindi wa kawaida sana tofauti na mashabiki zake mlichotegemea la pili tukumbuke KTMA alikuwa na 7 akaja akapata 2,then za nje alianza na 3 sasa ni 1,fanya tathmin then tuambie anapandaaa au anashuka?...ki ukweli dimond kwa uimbaji hamuwez Ali kiba labda azaliwe mara ya pili na ajifunze kuimba akiwa na mwaka mmoja,kimaendeleo kamzid bt kiba ni kazaliwa ili aimbe yaan...mashabiki wa mond ndo mnamtengenezea mazingira magumu dogo kwa watanzania coz ya maneno yenu bt nae pia mtu wa kuprovoke sana....wasanii wote wa Tanzania waloingia kwenye AFRIMMA wamefanya kazi na wasanii wa nje ya Tanzania kwenye nyimbo zao lakini Kibba kaingia bila "kick" ya aina hiyo...kaa chini tafakari then jibu baki nalo..nb dimpoz ft j.martins,Vanesa ft ko(no one bt me),diamond ft davido,mr flavour bt KIBA ft whom 1?...bt he is inside also...napita zangu nmefunga 6...