... " Ni kipengele Gani Cha Sheria kilikuruhusu Kupata Information za Dr Masau?"
Because Data Protection Act forbid for third part person kupata Information za Mtu Mwingine without His Consent '
Two important things:
One, ukipiga simu kwenye Chuo, kwa sheria za State nilizoishi mimi, wanaweza kumpa stranger kitu kinaitwa directorial information za mwanafunzi. Kwa mfano, ukia apply kusoma shahada za juu kwenye shule zilizo makini sana, kile chuo cha pili wakipiga simu chuo cha kwanza kuuliza, je fulani alihitimu hapo ? Chuo cha kwanza wanaweza kutoa kitu kinaitwa directorial information tu: Jina, mwaka wa kujiunga na kumaliza, and thats preatty about it. Hiki hapo nimeambiwa na Dean of Students wa chuo kinachotakiwa kufuata sheria za State. Sasa hizo ni directorial information
Second, and most relevant, is this: Katika fani ya udaktari unaweza kupewa reference much quicker. Mwaka juzi alitokea nesi mmoja anatembea kutoa hospitali moja mpaka nyingine akiuwa watu. State moja anahama anaenda state nyingine. Kwa hiyo, hiyo skandali ikawa a flash point event which renewed national debate on the breakdown in the medical system pertaining to cross referencing of practitioners.
Kwa hiyo ukipiga simu hospitali au kwenye teaching hospital unaulizia background ya daktari hawashindwi kukupa directorial information zake kwa sababu wanahofia yale yale ya the killing nurse.
Sasa hayo niliyoyasema hapo, wengi waliokuwepo hapa Marekani mwaka juzi waliyasikia.
N.J. Nurse Sentenced to Life for Killing 22
The New York Times
By JOHN O'NEIL
Published: March 2, 2006
Charles Cullen, the nurse who admitted killing as many as 40 intensive-care patients with fatal injections, was sentenced today to life in prison without parole for the deaths of 22 victims in New Jersey.
Charles Cullen was sworn in during a court proceeding on Feb. 24 in Somerville, N.J.
Mr. Cullen, 46, pleaded guilty last year after admitting to the string of killings in hospitals in New Jersey and Pennsylvania between 1988 and 2003. Prosecutors have accounted for 29 deaths, seven of which occurred in Pennsylvania, and six attempted murders...
"We are extremely distressed at how the hospital hired Charles Cullen, who had a long history of mental problems, and placed him in a critical position."
"For someone to be able to hop from hospital to hospital with these problems for over 15 years defies trust," he said.
"We are outraged that no one stopped Charles Cullen from murdering my son.
"Tell us how you did this who you fooled, who looked the other way," he said.
"Our medical system has a disease, you're part of this disease."
Several relatives today called for hospitals to adopt systems of mandatory background checks, which they said would have stopped Mr. Cullen early in his killing spree.
A number of families of victims have filed civil suits against Somerset Medical Center, although the hospital set the investigation in motion by contacting the police after firing Mr. Cullen in 2003.