Rufaa Mbeya hakuna ELISA wala WESTERN BLOT. Wapi kwingine unakojua kwa Mbeya?Nenda ktk kituo chenye hiyo ELISA ndiyo ikupe majibu ya uhakika...pia katika center kubwa kama Hospital za Rufaa watakupeni huduma iliyo sahihi zaidi.Pia Ushauri nasaha wa kutosha unatakiwa hasa kwa huyo mke mtarajiwa....kwanza kama ana umri mdogo inawezekana pia alipata toka kwa wazazi na hazikuwepo njia za kumfanya hilo lijulkane pia kama alivyosema mchangiaji mwingine maambukizi ya Virusi vya UKIMWI si kwa njia ya ngono tu so kuwa bikira si ticketi ya kutokuwa na HIV/AIDS....Poleni sana!!!!Na Hongera kwa kuwa na msimamo kama huo maana kwa wengi mtu angeona bikira angeshaharibu siku nyingi.....
mtoa mada HIV/AIDS haiambukizwi kwa ngono pekee, zipo sababu mbalimbali zikiwemo
sasa kama umepata majibu yenye utata ushauri wangu nenda kwenye hosp yenye ELISA ili upate uhakika ama la sijui kama unaweza kwenda tukuyu pale makandana ama tukuyu kituo cha NIMR sina hakika kama mashine wanayo ila wanaweza kukupa msaada wenye uhakika.
- transimission from mother to child
- transmission from working places na hii ni common sana kwa watoa hudua wa afya
- maambukizi yatokanayo na kuuguza wapendwa wetu
- maambukizi yatokananyo na ajali, kuogezewa damu et al
zaid ya yote nikupongeze kwa kuchukua uamuzi wa kupima na pia kwa kutokata tamaa. lakin iwapo utamkuta ni kweli anayo maambukizi urudi kisha tukushauri tena usimwache tu kisa anaumwa ukimwi.
Rufaa Mbeya hakuna ELISA wala WESTERN BLOT. Wapi kwingine unakojua kwa Mbeya?