Majibu ya HIV yenye utata

Majibu ya HIV yenye utata

Muhwelo

Senior Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
136
Reaction score
32
Ndugu Jf-Doctors, mimi nina mchumba ninayetarajia kumwoa. Kwa maelezo yake, yeye bado bikra. Jana tulikwenda katika hospitali ya wilaya kupima HIV. Mimi nilionekana NEGATIVE, lakini majibu yake yeye yalinichanganya. Kipimo cha Determine kilionyesha POSITIVE, lakini Uni-gold ilionyesha NEGATIVE. Leo asubuhi tukaenda kwenye VCT kupima tena na majibu yakawa yaleyale. Tukaenda hospitali ya rufaa ili tupate kipimo cha ELISA au WESTERN BLOT lakini wakasema vipimo hivyo hawana. Je, jibu sahihi ni lipi au tufanyeje?
 
Subiri after 3 moths upme tena,ucwe na haraka,pia ubkra c sababu mana HIV inaambukizwa kwa njia nyng c tu ngono
 
Nenda ktk kituo chenye hiyo ELISA ndiyo ikupe majibu ya uhakika...pia katika center kubwa kama Hospital za Rufaa watakupeni huduma iliyo sahihi zaidi.Pia Ushauri nasaha wa kutosha unatakiwa hasa kwa huyo mke mtarajiwa....kwanza kama ana umri mdogo inawezekana pia alipata toka kwa wazazi na hazikuwepo njia za kumfanya hilo lijulkane pia kama alivyosema mchangiaji mwingine maambukizi ya Virusi vya UKIMWI si kwa njia ya ngono tu so kuwa bikira si ticketi ya kutokuwa na HIV/AIDS....Poleni sana!!!!Na Hongera kwa kuwa na msimamo kama huo maana kwa wengi mtu angeona bikira angeshaharibu siku nyingi.....
 
Rufaa Mbeya hakuna ELISA wala WESTERN BLOT. Wapi kwingine unakojua kwa Mbeya?
 
mtoa mada HIV/AIDS haiambukizwi kwa ngono pekee, zipo sababu mbalimbali zikiwemo
  • transimission from mother to child
  • transmission from working places na hii ni common sana kwa watoa hudua wa afya
  • maambukizi yatokanayo na kuuguza wapendwa wetu
  • maambukizi yatokananyo na ajali, kuogezewa damu et al
sasa kama umepata majibu yenye utata ushauri wangu nenda kwenye hosp yenye ELISA ili upate uhakika ama la sijui kama unaweza kwenda tukuyu pale makandana ama tukuyu kituo cha NIMR sina hakika kama mashine wanayo ila wanaweza kukupa msaada wenye uhakika.

zaid ya yote nikupongeze kwa kuchukua uamuzi wa kupima na pia kwa kutokata tamaa. lakin iwapo utamkuta ni kweli anayo maambukizi urudi kisha tukushauri tena usimwache tu kisa anaumwa ukimwi.
 
Mwenyewe bidada ana hofu au anaonekanaje?kastuka au kachukulia pouwa? coz first reaction expresses lots of things indeed!!
 
Kama kuna laboratory zinazofanya RNA PCR unaweza ukapata uhakika zaidi kama huyo mwenza wako keshaukwaa.
 
mtoa mada HIV/AIDS haiambukizwi kwa ngono pekee, zipo sababu mbalimbali zikiwemo
  • transimission from mother to child
  • transmission from working places na hii ni common sana kwa watoa hudua wa afya
  • maambukizi yatokanayo na kuuguza wapendwa wetu
  • maambukizi yatokananyo na ajali, kuogezewa damu et al
sasa kama umepata majibu yenye utata ushauri wangu nenda kwenye hosp yenye ELISA ili upate uhakika ama la sijui kama unaweza kwenda tukuyu pale makandana ama tukuyu kituo cha NIMR sina hakika kama mashine wanayo ila wanaweza kukupa msaada wenye uhakika.

zaid ya yote nikupongeze kwa kuchukua uamuzi wa kupima na pia kwa kutokata tamaa. lakin iwapo utamkuta ni kweli anayo maambukizi urudi kisha tukushauri tena usimwache tu kisa anaumwa ukimwi.

Ila ni aibu kwa Taifa, hospitali ya mkoa aina ELISA test,, yaani wanatumia hizo Kit peke yake kupima watu,, so wamama wajawazito na wengineo wote wana conclude wapo negative au positive kwa kutegemea hizo kits peke yake?

This is only in Tanzania...

Wanataka hadi vipimo vya ukimwi vya uhakika vifatwe Dar au bagamoyo?
 
Mkuu Rufaa Mbeya hawezi kosa hujauliza vizuri nenda uulize vizuri...jaribu uliza kitengo cha CTC pale watakupa right information...Rufaa Mbeya ni kituo kikubwa sana kwa swala la HIV/AIDS management maana hata dawa mpya zinafanyiwa hapo utafiti na pia kuna Bank ya Damu yaani it is impossible kutokuwa na hiyo kitu.Hata kama Hospital haina reagents huwa wanaombwa kitengo cha Utafiti chenye kufadhiliwa na USA kusaidia at urgent situations!!!

Rufaa Mbeya hakuna ELISA wala WESTERN BLOT. Wapi kwingine unakojua kwa Mbeya?
 
Back
Top Bottom