Landrover 109
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 384
- 597
======
Watangazaji wa kituo cha wasafi Baba Levo na Juma Lokole wamezua sintofahamu baada ya kurushiana maneno yanayo hashiria kuhusika na vitendo vya kishoga na ufiraji ambavyo ni kinyume na maadili ya kitanzania!
Baada ya picha za mtoto wa Kajala kusambaa kwenye mitandao ikidhaniwa kuwa amefunga ndoa na wengi wakisema amefunga ukweli ndoa na Msemaji wa Yanga Ali kamwe…
Aliibuka Mtangazaji wa kituo cha wasafi Baba Levo akidai kuwa ni uongo na ni deal la tangazo lakini baadae aliibuka mtangazaji mwenzie maarufu kama juma lokole akidai ni ndoa kweli na imefungwa na Paula ametolewa mahari ya Tsh Millioni Hamsini za Kitanzania!
Baada ya kauli hiyo Baba levo aliibuka akisisitiza ni uongo ni deal la Tv na wakiendelea kusema uongo ataweka wazi hiyo Tv na king’amuzi husika hivyo akasema na tumpuuze “Askari wa zenji”
Mtakumbuka kuwa mtu akisikia askari wa zenji linalokuja kichwani ni tukio la askari kutoka zenji aliyekuwa akifanya mapenzi kinyume na maumbile.
Baada ya muda aliibuka Askari wa zenji ambaye ni Juma lokole aliyeweka wazi kuwa Baba levo amekuwa akimsumbua aende kwake akampe huduma wakati hana hela….
Hivyo ni wazi Baba Levo na Juma lokole wamekuwa wakishiriki hivi vitendo ambavyo ni kinyume na utamaduni wetu!
Kwanini wasithibitiwe hasa huyu Juma lokole?