Yawezekana
NUMAN ndiye mfanyakazi mwenyewe aliyetoka Procurement kwenda Maktaba (Robert Mwitango), yuko hapa kutafuta sympathy.
Kwanza naona hakuna issue yeyote ya maadili hapa. Sekretariati ya Maadili nayo imekuwa INFLUENCED tu na ndugu wa Robert Mwitango na kuifanya hii ni issue.
Issues za manaunuzi zina Mamlaka yake ya kushughulikia ambayo ni PPRA. Issue ya uhamisho wa wafanyakazi ingepelekwa kwenye Bodi ya Utawala ya Chuo.
Na jinsi Sekretariati ya Maadili ilivyo kurupuka, imeamua kuweka kwenye magazeti ili iwe public vitu TRIVIALS kama hivyo.