Mshahara si unapata? Kwa nini ung'ang'anie manunuzi? Lazima ukiona hivyo ujuwe mhusika kuna ufisadi wake anaufanya pale manunuzi!Mkuu wewe ungekuwa yule kijana wa manunuzi na ukapelekwa maktaba ..je ungekubali?usiwe unaongea kwa ushabiki jamaa ana hoja ya kujibu ..!!
Kozi zote za manunuzi zina husisha warehouse management au store keeping. Principles za warehousing ziko applicable by 100% kwenye utunzaji vitabu makataba. Profesa hakukosea kumpeleka huko. Siyo misallocation of resources hiiHapo kwa kijana wa manunuzi kumpeleka library...lazima atakuwa amedanganya tu ...akina MILARD AYO ndo fursa zenu hizi kwenda kumhoji kijana...haiwezekani serikali itoe pesa kumsomesha mtu manunuzi halafu aishie kufanya kazi library kwani hamna librarian???
Kwan maktaba si kapelekwa kwa ishu za manunuzi ya vitabu?Mkuu wewe ungekuwa yule kijana wa manunuzi na ukapelekwa maktaba ..je ungekubali?usiwe unaongea kwa ushabiki jamaa ana hoja ya kujibu ..!!
Mkuu wewe ungekuwa yule kijana wa manunuzi na ukapelekwa maktaba ..je ungekubali?usiwe unaongea kwa ushabiki jamaa ana hoja ya kujibu ..!!
Soma maelezo vizuri, library kapelekwa kwa ishu za manunuzi ya vitabuHapo kwa kijana wa manunuzi kumpeleka library...lazima atakuwa amedanganya tu ...akina MILARD AYO ndo fursa zenu hizi kwenda kumhoji kijana...haiwezekani serikali itoe pesa kumsomesha mtu manunuzi halafu aishie kufanya kazi library kwani hamna librarian???
Yawezekana NUMAN ndiye mfanyakazi mwenyewe aliyetoka Procurement kwenda Maktaba (Robert Mwitango), yuko hapa kutafuta sympathy.Uko sawa kabisa... library waachiwe librarian na manunuzi waachiwe watu wa manunuzi...prof ana la kujibu hapa..
Unapaswa kukubali. Kwa kila mkataba wa ajira, kuna hii sentensi; ...PAMOJA NA KAZI NYINGINE NITAKAZOPANGIWA NA MWAJIRIMkuu wewe ungekuwa yule kijana wa manunuzi na ukapelekwa maktaba ..je ungekubali?usiwe unaongea kwa ushabiki jamaa ana hoja ya kujibu ..!!
Hakuna issue yeyote ambayo Profesa Sedoyeka anaweza kupoteza kazi. Kama hawamtaki natoa njia 2 tu:-Prof anaweza jaribu kuchomoka ila kuna sehemu unaona kabisa ana shida.
Afisa Daraja la kwanza unampeleka kua mapokezi Maktaba? Na siyo taaluma yake?
Afisa Daraja la pili anakua mkuu wa idara baada ya uhamisho ambao haujakamilika? Hapa kazi ipo
Sidhani kama upo sahihi.Unapaswa kukubali. Kwa kila mkataba wa ajira, kuna hii sentensi; ...PAMOJA NA KAZI NYINGINE NITAKAZOPANGIWA NA MWAJIRI
Bado hujakutana na tuhuma za kijinga mkuu utacheka.Vituhuma vidogo vidogo kama hivi kwa nini vinapewa publicity kubwa? Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Isije ikawa huyu Prof ana mpango wa kugombea nafasi ya kisiasa kwa hiyo anapata preemptive attacks.
Sidhani kama upo sahihi.Hakuna issue yeyote ambayo Profesa Sedoyeka anaweza kupoteza kazi. Kama hawamtaki natoa njia 2 tu:-
1) Wamatafutie kazi nyingine kupitia Mamlaka yake ya uteuzi
2) Kwa kuwa Rector/ Principal wa IAA ni kazi ya mkataba, wamvumilie tu mpaka mkataba wake uishe, halafu wasi RENEW
NB:
Mchakato wote wa kumpeleka kwenye Sekretariati ya Maadili ni kinyume na Sheria ya Utumishi wa Umma Namba 8 ya mwaka 2002 na Kanuni zake za 2003..
Maamuzi yeyote dhidi ya Profesa Sedoyeka kwa hizo tuhuma FEKI, ni kumuandalia fidia tu kwenye Mahakama.
Najua humu kuna wanafunzi na wafanyakazi wa IAA, naomba hii POST yangu muiweke AKIBA. Iko siku mtairejea
Naomba urudi tena kwenye post yangu ukasome kwa kuelewa (Read to understand).Sidhani kama upo sahihi.
Ingawaje kwa kiasi fulani Prof. Sedoyeka amejitahidi kujibu baadhi ya hoja kwa usahihi, lakini bado kuna baadhi ya hoja ambazo anapaswa azitolee ufafanuzi wa kina zaidi, hususani kuhusu suala hili la Uhamisho wa Ndani wa huyo Mtumishi mwenye taaluma ya manunuzi kwenda Idara ya Maktaba.
Prof. Sedoyeka ana HOJA ZA KUJIBU:-
1. Kama lengo lilikuwa ni kuongeza ufanisi kwenye Idara hiyo ya Maktaba, Je, ni kwa nini Mtumishi huyo aliyehamishwa hakupewa na Maainisho ya Majukumu yake Mapya (Job Descriptions mpya) wakati alipohamishiwa huko Maktaba??
2. Kwa kuwa Mtumishi huyo hakupewa New Job Descriptions, maana yake ni kwamba Majukumu yake yale yale ya awali aliyopangiwa na Mwajiri wake ndiyo anapaswa kuendelea nayo akiwa huko kwenye Idara mpya ya Maktaba alikohamishiwa. Sasa; Je, kwa nini Mtumishi huyo apangiwe majukumu mengine Mapya kabisa kinyume na taaluma yake aliyosomea na kinyume kabisa na majukumu yake ya awali ambayo alipangiwa na ambayo pia ndio sababu za Msingi zilizopelekea Mtumishi huyo kuajiriwa na hiyo taasisi? So Where is the purpose of Professionalism and Job Specialization for the Job-seekers or Employees?? Je, kulikuwa na sababu gani ya kumuajiri Mtumishi mwenye sifa hizo za taaluma ya Manunuzi wakati kazi zake au majukumu yake atakayopangiwa hayaendani na uhitaji wa taaluma hiyo?? Jambo hili ni kitendo cha hatari Sana endapo kama utalifanyia tathmini ya kina Sana.
Yaani Kama vile Utawala wa Hospitali ya Muhimbili Leo hii kwa kutumia njia za holela waamue kuwabadilishia majukumu ya kazi baadhi ya Madereva na kuwapangia Majukumu Mapya ya kazi za Udaktari wa Tiba ya Binadamu na kisha kuwaruhusu Madereva hao waanze kuingia kwenye Vyumba vya Upasuaji Wagonjwa ili waweze kuwafanyia Upasuaji (Surgery) wagonjwa wenye uhitaji wa huduma hiyo!
Wataalam wameweka wazi kuwa Afisa Ugavi anafaa kabisa kupelekwa Maktaba. Kwa muktadha huo, Prof alikuwa sahihi kufanya mabadiliko katika wafanyakazi wenzake. Lengo mama likiwa ni kuongeza ufanisiSidhani kama upo sahihi.
Unatafsiri vibaya kuhusu kipengele hiki.
Kipengele hiki hakimpi haki Mwajiri katika kumpangia Mtumishi wake Majukumu ya kazi ambayo hayaendani kabisa na Taaluma yake aliyosomea.
Kwa hiyo unataka kusema kwamba labda kutokana na uchache wa Madaktari wa Tiba (Medical Doctors), Uongozi wa Hospitali Kama vile ya Muhimbili wanaweza wakawabadilishia Majukumu ya Kazi Madereva wa Magari na kuwapangia kazi au Majukumu Mapya ya kufanya kazi za kutibu wagonjwa eti kwa sababu Madaktari waliopo ni wachache na eti kwa kuwa Uongozi wa Hospitali hiyo wanayo mamlaka ya kuwabadilishia majukumu ya kazi Waajiriwa wao?? Is it???
Kama hiyo sheria ipo itakua hao wahusika wanajua.Hakuna issue yeyote ambayo Profesa Sedoyeka anaweza kupoteza kazi. Kama hawamtaki natoa njia 2 tu:-
1) Wamatafutie kazi nyingine kupitia Mamlaka yake ya uteuzi
2) Kwa kuwa Rector/ Principal wa IAA ni kazi ya mkataba, wamvumilie tu mpaka mkataba wake uishe, halafu wasi RENEW
NB:
Mchakato wote wa kumpeleka kwenye Sekretariati ya Maadili ni kinyume na Sheria ya Utumishi wa Umma Namba 8 ya mwaka 2002 na Kanuni zake za 2003..
Maamuzi yeyote dhidi ya Profesa Sedoyeka kwa hizo tuhuma FEKI, ni kumuandalia fidia tu kwenye Mahakama.
Najua humu kuna wanafunzi na wafanyakazi wa IAA, naomba hii POST yangu muiweke AKIBA. Iko siku mtairejea
Wala siyo kukiuka maadili. Hiyo ni sehemu ya shughuli za Mkuu wa ChuoWataalam wameweka wazi kuwa Afisa Ugavi anafaa kabisa kupelekwa Maktaba. Kwa muktadha huo, Prof alikuwa sahihi kufanya mabadiliko katika wafanyakazi wenzake. Lengo mama likiwa ni kuongeza ufanisi
Hana sababu ya kubadili maamuzi. Akibadili atainekana ametepeta na hana msimamoKama hiyo sheria ipo itakua hao wahusika wanajua.
Na hii itamaanisha siyo kwamba wanamtarget kufukuzwa ila wanamtarget maamuzi yake yabatilishwe.
Pale pamelea undugu, udini na watu wachache wanaolamba makalio ya watu fulaniIAA pana majungu sana.
Prof. Eliamini Sedoyeka yuko sahihi
Atabadili TU time will tellHana sababu ya kubadili maamuzi. Akibadili atainekana ametepeta na hana msimamo
Hapa ni jukwaa huru ..Kila member anaweza kusema lolote maadamu havunji Sheria za jf ..kwa hiyo mtu akionewa ukiwa upande wake ndo umekuwa mhusika?..sijapenda ulivyo assume kuwa naweza kuwa mhusika ...ww jibu hojaYawezekana NUMAN ndiye mfanyakazi mwenyewe aliyetoka Procurement kwenda Maktaba (Robert Mwitango), yuko hapa kutafuta sympathy.
Kwanza naona hakuna issue yeyote ya maadili hapa. Sekretariati ya Maadili nayo imekuwa INFLUENCED tu na ndugu wa Robert Mwitango na kuifanya hii ni issue.
Issues za manaunuzi zina Mamlaka yake ya kushughulikia ambayo ni PPRA. Issue ya uhamisho wa wafanyakazi ingepelekwa kwenye Bodi ya Utawala ya Chuo.
Na jinsi Sekretariati ya Maadili ilivyo kurupuka, imeamua kuweka kwenye magazeti ili iwe public vitu TRIVIALS kama hivyo.