Majibu ya NASA kwa Uhuru Kenyatta kuhusu kumwondoa madarakani 'rais' Raila

Wewe enda ulete mJaluo mwingine timamu mwenye kuweka maslahi ya nchi mbele ya tamaa zake za siasa utaona atakubalika zaidi kuliko huyu Joshua mwitu.
Raphael Tuju ,Robert Ouko na PLO Lumumba ni waJaluo timamu zaidi wasio na kasumba mbaya,tamaa ya uongozi ,uchochezi na dhambi zinginezo nyingi kama za Raila Joshua mwitu.
 
Kwa nini unailamu bangi hapa? Una ushahidi gani kuwa bangi ndio tatizo hapa? Bangi imekukosea nini mkuu? Mbona unavovipenda wewe, wapo watu hawavipendi na hawakusemi?

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Samahani mkuu

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Wana wingi unaofikia 2/3?

UK, analialia tu, imemuuma haki kutendeka mahakamani.

Then, watamuondoa akifanya kosa gani? Au mtu ataondolewa kwa hisia tu?

UK analaumu eti badala ya bilion za hela kuleta maendeleo, zinatumika kwenye uchaguzi, Je raila akiingia madarakani na pengine wakafanikiwa kumtoa, zitakazotumika ni kararasi au maji ya kunywa kuendesha uchaguzi?

Jamaaa amepanik sana, ameloose control

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenyatta anajua anachokisema ni uongo mtupu ila anafanya politics tu. Lengo ni kuwachanganya wapiga kura wajue hakuna haja ya kumpigia kura mtu anayeweza kuwa impeached ndani ya miezi mitatu. NASA nao, kwa kuujua uzwazwa wa wapiga kura wengi (kwa nchi almost zote za Africa), wamefanya sawa kumjibu kwa haraka na kwa nguvu ilele ili kuweka records sawa
 
Hili la kenya kuwa na demokrasia kubwa kuliko nchi zote EA unaweza kulithibitisha kwa utafiti?

Au ni hizi tafiti za hapa JF
 
Hiyo video bana, Raila, Kalonzo na Madvd wana muonekano wa kutamausha! Hawa jamaa watatu wote ni idlers, hawana chochote muhimu cha kufanya ni blah blah tu! Hapo heshima yangu ni kwa Wetangula, kinara pekee wa NASA aliyefanikiwa kuingia senate! Hawa wengine walikua wanangoja kuwa ma Premier Chief Cabinet secretary kwenye serikali ya NASA!
 
Ndio Ujue UHuRu anajua fika kua this time hatashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ati bahati mbaya? Aisee ,hiyo ni bahati nzuri sana asiingie ikulu sababu Odinga hafai urais kabisa .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] chaguo ni lenu mkuu. Hilo nimelisikia kwa wengi wenu wakisema hilo
 

Damu ya Musando inamlilia lazima apaniki tu, Mungu tenda Miujiza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…