Majibu ya NASA kwa Uhuru Kenyatta kuhusu kumwondoa madarakani 'rais' Raila

Majibu ya NASA kwa Uhuru Kenyatta kuhusu kumwondoa madarakani 'rais' Raila

Kama unaamini hivyo sasa kwanini Kenyata anaweweseka na kupanic kiasi kile?

Kimsingi kwa ukabila uliopo Kenya ni ngumu Raila kushinda lakini kwanini Kenyata amepanic sana?

Mwanzo alianza kutishia majaji walioamua kesi na kusema uchaguzi urudiwe, jana kaja na mpya ya kusema atahakikisha Raila anatoka madarakani... hii inatoa picha gani mkuu?

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Wewe enda ulete mJaluo mwingine timamu mwenye kuweka maslahi ya nchi mbele ya tamaa zake za siasa utaona atakubalika zaidi kuliko huyu Joshua mwitu.
Raphael Tuju ,Robert Ouko na PLO Lumumba ni waJaluo timamu zaidi wasio na kasumba mbaya,tamaa ya uongozi ,uchochezi na dhambi zinginezo nyingi kama za Raila Joshua mwitu.
 
Kwa nini unailamu bangi hapa? Una ushahidi gani kuwa bangi ndio tatizo hapa? Bangi imekukosea nini mkuu? Mbona unavovipenda wewe, wapo watu hawavipendi na hawakusemi?

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Samahani mkuu

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Mbona simple,ana maanisha atatumia majority aliyonayo kumuondoa Raila. Kumbuka JUBILEE walishinda kila kitu..!

Halafu nyani ngabu,uchaguzi wa Kenya ni wa kikabila,huyo mjaluo hawezi kushinda hata kwa dawa. Ni sawa na hapa kwetu wasukuma wakiamua kupiga kura zao wenyewe za kikabila,hatatokea Rais mwingine nje ya ukanda huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wana wingi unaofikia 2/3?

UK, analialia tu, imemuuma haki kutendeka mahakamani.

Then, watamuondoa akifanya kosa gani? Au mtu ataondolewa kwa hisia tu?

UK analaumu eti badala ya bilion za hela kuleta maendeleo, zinatumika kwenye uchaguzi, Je raila akiingia madarakani na pengine wakafanikiwa kumtoa, zitakazotumika ni kararasi au maji ya kunywa kuendesha uchaguzi?

Jamaaa amepanik sana, ameloose control

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenyatta anajua anachokisema ni uongo mtupu ila anafanya politics tu. Lengo ni kuwachanganya wapiga kura wajue hakuna haja ya kumpigia kura mtu anayeweza kuwa impeached ndani ya miezi mitatu. NASA nao, kwa kuujua uzwazwa wa wapiga kura wengi (kwa nchi almost zote za Africa), wamefanya sawa kumjibu kwa haraka na kwa nguvu ilele ili kuweka records sawa
 
Mkuu wanasiasa sawa na waimba taatabu, hawachi mipasho.
All in all Kenya wako mbali kidemokrasia Afrika mashariki na kati, kauli zake za kuwakoromea majaji imepingwa kila kona tena waziwazi kwenye midia na vijiweni. But Wakenya bado wanamhitaji sana Kenyata, hili nimeshuhudia mitaani, vyombo vya usafiri na kila kona.
Hili la kenya kuwa na demokrasia kubwa kuliko nchi zote EA unaweza kulithibitisha kwa utafiti?

Au ni hizi tafiti za hapa JF
 
Hiyo video bana, Raila, Kalonzo na Madvd wana muonekano wa kutamausha! Hawa jamaa watatu wote ni idlers, hawana chochote muhimu cha kufanya ni blah blah tu! Hapo heshima yangu ni kwa Wetangula, kinara pekee wa NASA aliyefanikiwa kuingia senate! Hawa wengine walikua wanangoja kuwa ma Premier Chief Cabinet secretary kwenye serikali ya NASA!
 
Kabla hata ya kuyasikia majibu ya NASA kuhusu kauli ya kipumbavu aliyoitoa Uhuru Kenyatta kuwa eti hata Raila akishinda uchaguzi ndani ya miezi mitatu Jubilee wana uwezo wa kumwondoa madarakani [impeach] mimi nilihoji kuwa watamwondoa madarakani kwa kosa gani alilolifanya?

Rais, kwenye nchi za kidemokrasia [kama ambavyo Kenya inapenda kujipambanua] haondolewi madarakani kisa tu watu fulani hawampendi.

Ni lazima awe katenda makosa yanayohalalisha yeye kuondolewa madarakani.

Sasa huyo Uhuru anaropoka tu utadhani mnywa gongo [na si ajabu alikuwa kalewa].

Kwenye hii video hapa chini Moses Wetangula kajibu vizuri sana na kasema kile kile ambacho mimi nilikihoji awali...nacho ni utamuondoa rais Raila toka madarakani kwa kosa/ makosa gani?


Ndio Ujue UHuRu anajua fika kua this time hatashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ati bahati mbaya? Aisee ,hiyo ni bahati nzuri sana asiingie ikulu sababu Odinga hafai urais kabisa .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] chaguo ni lenu mkuu. Hilo nimelisikia kwa wengi wenu wakisema hilo
 
Nilichoona kwa Kenyata ni mpuuzi tena ni mtu wa kupanic sana.

Yeye anadhani urais alizaliwa nao au yeye ndo peke yake anastahili kua rais.
Sasa Raila achaguliwe kua rais eti Kenyata anaahidi kumuondoa yeye kama nani labda?

Kenyata asipoacha bangi itampeleka kubaya

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.

Damu ya Musando inamlilia lazima apaniki tu, Mungu tenda Miujiza!
 
Back
Top Bottom