Wewe enda ulete mJaluo mwingine timamu mwenye kuweka maslahi ya nchi mbele ya tamaa zake za siasa utaona atakubalika zaidi kuliko huyu Joshua mwitu.Kama unaamini hivyo sasa kwanini Kenyata anaweweseka na kupanic kiasi kile?
Kimsingi kwa ukabila uliopo Kenya ni ngumu Raila kushinda lakini kwanini Kenyata amepanic sana?
Mwanzo alianza kutishia majaji walioamua kesi na kusema uchaguzi urudiwe, jana kaja na mpya ya kusema atahakikisha Raila anatoka madarakani... hii inatoa picha gani mkuu?
Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Raphael Tuju ,Robert Ouko na PLO Lumumba ni waJaluo timamu zaidi wasio na kasumba mbaya,tamaa ya uongozi ,uchochezi na dhambi zinginezo nyingi kama za Raila Joshua mwitu.