Majibu ya NASA kwa Uhuru Kenyatta kuhusu kumwondoa madarakani 'rais' Raila

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Kabla hata ya kuyasikia majibu ya NASA kuhusu kauli ya kipumbavu aliyoitoa Uhuru Kenyatta kuwa eti hata Raila akishinda uchaguzi ndani ya miezi mitatu Jubilee wana uwezo wa kumwondoa madarakani [impeach] mimi nilihoji kuwa watamwondoa madarakani kwa kosa gani alilolifanya?

Rais, kwenye nchi za kidemokrasia [kama ambavyo Kenya inapenda kujipambanua] haondolewi madarakani kisa tu watu fulani hawampendi.

Ni lazima awe katenda makosa yanayohalalisha yeye kuondolewa madarakani.

Sasa huyo Uhuru anaropoka tu utadhani mnywa gongo [na si ajabu alikuwa kalewa].

Kwenye hii video hapa chini Moses Wetangula kajibu vizuri sana na kasema kile kile ambacho mimi nilikihoji awali...nacho ni utamuondoa rais Raila toka madarakani kwa kosa/ makosa gani?

ni sawa na huku kama lowasa angeshinda kwa idadi hii ya wabunge.
huo upendo na uzalendo wa kidemokrasia upo US tu.
naona ameambiwa ukweli ili na yeye awe submissive,
Maana hao jamaa wa kenya kila mtu mbabe
 
Nilichoona kwa Kenyata ni mpuuzi tena ni mtu wa kupanic sana.

Yeye anadhani urais alizaliwa nao au yeye ndo peke yake anastahili kua rais.
Sasa Raila achaguliwe kua rais eti Kenyata anaahidi kumuondoa yeye kama nani labda?

Kenyata asipoacha bangi itampeleka kubaya

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Acheni ujinga maamuzi ya uendeshaji wa nchi ya kenya kwa kipindi cha miaka mitano yataendeshwa na jubelee. Demokrasia ni wengi wape... obama mwenyewe wamarekani walimuhenyesha itakua afrika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua ulichoandika au umeelewa nilichoandika?

Nakuona wewe ndio mjinga zaidi.

Kenyata anaanzaje kuahidi kwamba hata Raila akishinda basi atamtoa madarakani? Kenyata ana nguvu kuliko wakenya waliopiga kura?

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Mbona simple,ana maanisha atatumia majority aliyonayo kumuondoa Raila. Kumbuka JUBILEE walishinda kila kitu..!

Halafu nyani ngabu,uchaguzi wa Kenya ni wa kikabila,huyo mjaluo hawezi kushinda hata kwa dawa. Ni sawa na hapa kwetu wasukuma wakiamua kupiga kura zao wenyewe za kikabila,hatatokea Rais mwingine nje ya ukanda huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mambo yangekuwa mepesi kiasi hicho basi odinga angemwondoa mwai kibaki madarakani baada ya uchaguzi wa 2007 maana ODM ilikuwa na wabunge wengi kuliko PNU
 
Bahati mbaya Odinga hawezi kuingia Ikulu
Kama unaamini hivyo sasa kwanini Kenyata anaweweseka na kupanic kiasi kile?

Kimsingi kwa ukabila uliopo Kenya ni ngumu Raila kushinda lakini kwanini Kenyata amepanic sana?

Mwanzo alianza kutishia majaji walioamua kesi na kusema uchaguzi urudiwe, jana kaja na mpya ya kusema atahakikisha Raila anatoka madarakani... hii inatoa picha gani mkuu?

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Nilichoona kwa Kenyata ni mpuuzi tena ni mtu wa kupanic sana.

Yeye anadhani urais alizaliwa nao au yeye ndo peke yake anastahili kua rais.
Sasa Raila achaguliwe kua rais eti Kenyata anaahidi kumuondoa yeye kama nani labda?

Kenyata asipoacha bangi itampeleka kubaya

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Ndio ushauri aliopewa na mmiliki halali wa cdm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unaamini hivyo sasa kwanini Kenyata anaweweseka na kupanic kiasi kile?

Kimsingi kwa ukabila uliopo Kenya ni ngumu Raila kushinda lakini kwanini Kenyata amepanic sana?

Mwanzo alianza kutishia majaji walioamua kesi na kusema uchaguzi urudiwe, jana kaja na mpya ya kusema atahakikisha Raila anatoka madarakani... hii inatoa picha gani mkuu?

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Mkuu wanasiasa sawa na waimba taatabu, hawachi mipasho.
All in all Kenya wako mbali kidemokrasia Afrika mashariki na kati, kauli zake za kuwakoromea majaji imepingwa kila kona tena waziwazi kwenye midia na vijiweni. But Wakenya bado wanamhitaji sana Kenyata, hili nimeshuhudia mitaani, vyombo vya usafiri na kila kona.
 
Nilichoona kwa Kenyata ni mpuuzi tena ni mtu wa kupanic sana.

Yeye anadhani urais alizaliwa nao au yeye ndo peke yake anastahili kua rais.
Sasa Raila achaguliwe kua rais eti Kenyata anaahidi kumuondoa yeye kama nani labda?

Kenyata asipoacha bangi itampeleka kubaya

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Kwa nini unailamu bangi hapa? Una ushahidi gani kuwa bangi ndio tatizo hapa? Bangi imekukosea nini mkuu? Mbona unavovipenda wewe, wapo watu hawavipendi na hawakusemi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuru anauhakika ndo maana kasema hivyo. Unabishana naye? Tusubiri kuyaona
 
Mkuu wanasiasa sawa na waimba taatabu, hawachi mipasho.
All in all Kenya wako mbali kidemokrasia Afrika mashariki na kati, kauli zake za kuwakoromea majaji imepingwa kila kona tena waziwazi kwenye midia na vijiweni. But Wakenya bado wanamhitaji sana Kenyata, hili nimeshuhudia mitaani, vyombo vya usafiri na kila kona.
Quigley uko kenya ya wapi hiyo uliowashuhudia wakenya?
 
Mbona simple,ana maanisha atatumia majority aliyonayo kumuondoa Raila. Kumbuka JUBILEE walishinda kila kitu..!

Halafu nyani ngabu,uchaguzi wa Kenya ni wa kikabila,huyo mjaluo hawezi kushinda hata kwa dawa. Ni sawa na hapa kwetu wasukuma wakiamua kupiga kura zao wenyewe za kikabila,hatatokea Rais mwingine nje ya ukanda huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
WaKenya sio wakabila vile ni huyu mjamaa Raila ndiye hakubaliki na wengi cuz he's a radical.Ngoja siku moja kutatokea Mtaita ,Mmeru na hata Mmaasai na utaona akiingia ikulu kwa nguvu za sera zake ,uzalendo ,kazi zake imara na siasa zisizo za kuchochea ama mgawanyiko.
Sasa iweje ati waKikuyu ni wakabila ilhali mtu wao anakubalika ukambani ,uMaasaini ,kazkazini kwa waBorana nakwingineko?
 
Back
Top Bottom