PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Pointless, sasa wanavyokuja kununua chakula Tz anafaidika Mkenya pekee?
Yaani jamaa wametoa hoja za maana na hapo ndio tunazidi kujionesha how irrational some Tanzanians are...

Hivi hatuoni reflection ya yalio semwa hapo.
Mungu tuongoze kwa hili
 
Unawapa bure au ni business?
 

"Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha."

njinjo, Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, habari ndiyo hiyo.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwisho wa kunukuu...😜
 
ELewa neno KUNUNUA sio kupewa.
Kwa maana nyingine wana pesa
 
Ila ni kweli, hizi petty issues ndio wabunge wa Tz wanazipenda, mambo ya mipasho mipasho na kusutana ndio wanapenda na kung'aka kwa jazba kwelikweli.

Halafu wanavijibu vitoto vya elfu mbili kwelii?? Bunge linajadili jokes za social media??
 
Safi sana Senetor Eddy Gicheru Oketch kwa kuwaambia ukweli hao ng'ombe wasio jielewa. Lakini pia pokea pongezi nyingi kutoka kwa Wananchi Wazalendo wa Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…