Asante kwa taharifaNajua jamaa ni msitaraabu sana ukilinganisha na aliyepita pale migori county,anasadia sana wamama wakitanzania wanaojitafutia katika county yake hasa wauza mchele matunda na hata wachimbaji wadogo wao waochimba upande wa migori wakitokea sirali na tarime ni jamaa poa sana.
Vuka mpaka nenda katafute bwana mwenye akili Nairobi moyo wako utulie.Angalia jinsi majibu ya MTU ambaye emeenda shule yanavyokuwa.
Haya majibu yanakatisha tamaa jinsi watanzania tulivyokuwa nyuma dhidi ya wenzetu wakenya
Dharau hizi"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Usimjibu ZEZETA huyo. Maana hata aeleweki anazungumzia nini. Mada nyingine analeta habari ya gari kulala njeUpo nje ya mada, hapo wanaongelewa wabunge wako vilaza wanaotetea muhimili mwingine na kukandamiza muhimili wao wabunge wente sifa ya kusoma na kuandika
Wewe unakuja na habari za kulaza magari nje ujioni kama vile una upungufu wa uelewa
Zezeta positiveVuka mpaka nenda katafute bwana mwenye akili Nairobi moyo wako utulie.
Angekuwa Tanzania angetumiwa afande MAFWELE na afande AWADH chapTumtume IGP akamkamate au mnasemaje wadau?
Kama nawaona huko wanaandaa mipasho yao huku wamevurugwa hatari 🤣🤣🤣Watu watavaa chupi kichwani tunapoelekea bungeni 😀😀
Zezeta wewe mwenye shobo, hivi umesoma vizuri statement yako uliyoiandika, inaonekana wewe ni mtu dhaifu sana.Zezeta positive
Wananunua, huwapi bure, shida iko wapi?Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Amani ipi kwenye utekaji unaofanywa na ccm?Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Zitagongwa meza mpaka zitapasuka kwa hasira 😀😀😀Kama nawaona huko wanaandaa mipasho yao huku wamevurugwa hatari 🤣🤣🤣
Jibu mubashara la watu na elimu zao"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Ujinga ni mwingi sanaNaipenda CCM sana ila hakuna kitu kinanikera kama Viongozi kushindwa kabisa kushughurikia report ya CAG. Hata Magufuri mwenyewe alishindwa yeye na ndugai wake wakalete figisu figisu mpaka CAG kujiuzuru.
Mama Samia anasema ety haya mengine nisababu ya chain ilioachwa nyuma sasa ndio vinini hivi
Duh,Mna watu kama hawa unatarajia nini?
View attachment 3347854
yuko sahihi kwa asilimia trilion 1, Mungu bariki wakenya"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Hii ni sehemu ya mashingo yaliyobeba boga badala ya kichwa! na ni mengi kweli kwenye nchi hii.Kwanza Tanzania siyo nchi masikini sasa hivi tupo uchumi wa kati kama wao tu. Hata ukiangalia hali ya taifa kiafya tupo vizuri kuliko wa Kenya. So waache dharau. Wametuchokoza wao wenyewe na bado wanaendelea kutubagaza huu ni wendawazimu kabisa. Sisi hatujawahi waingilia kwenye issue zao. Mbona wana kimbelembele sana. Fucken kabisaa