Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
Ndio reforms hizi tunazipiganiaDuh,
Inasikitisha sana,
Wananchi hawahusiki maana chaguzi zote ni bandia!
Sijui wanatumia vigezo gani kupeana hizo nafasi, sijui ni kujuana?!
Uchumi wa kenya ni mkubwa kulipo wa Tanzania .Matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26).
Utafiti unaonesha ukuaji wa tofauti kati ya walio nacho na wasio nacho ambapo wakenya 130 matajiri zaidi wanamiliki mali sawa na 70% bajeti ya Kenya kwa mwaka. Matajiri watano zaidi nchini Kenya ni Merali, Shah, Bedi, Kenyatta na Mahendra wakiwa na utajiri wa jumla ya dola za kimarekani 3.2.Bil
Baada ya hapo ongeza na Manu Chandaria, Moi family, William Ruto & Associates
Wakenya wengi wanaishi chini ya dolla moja, pesa yao kuipata ni kazi. Karibu na Nairobi CBD kuna makazi ya slums 3 Kibera, Mathare na Makuru kwa Njenga ambazo zinaishi watu zaidi 2.5 Mil
Umaskini huu na tofauti ya kipato ndiyo unatia hasira kwa vijana mpaka hawafikiri mara 2 whether wachome bunge au magari ya Seikali.
Utajiri wa Kenya hauna uwiano kwa sababu haungusi mtu wa chini
Kwahiyo wao wanashindwa kuwa nchi tajiri kwa sababu hawana raslimali?! Raslimali ipi ya ziada wanayoitaka zaidi ya ardhi, mito na maziwa, bahari lakini pamoja na yote hayo hata uhakika wa chakula mara kwa mara wamekuwa hawana!! Tuseme wao ni wasomi- usomi wao umesaidia nini kuiondoa nchi kutoka kwenye upigaji na ukabila?! Usomi wao umewasaidia katika kupambania maslahi ya wengi badala ya nchi kuhodhiwa na wachache, tena viongozi?! Btw, ni wasomi kweli au mnaamini ni wasomi kwa sababu wanaweza kuunganisha unganisha maneno ya kiingereza moja ya mambo yanayowafanya muwaabudu wakati wapuuzi tu?! Kabla hawajaanzisha mfumo wa kiseneta, Mbunge wa Kenya alikuwa analipwa pesa nyingi kuliko wabunge wa nchi kadhaa za Ulaya! Sasa hapo usomi wao una faida ipi kwa wananchi wakati inaonesha wazi hawana tofauti yoyote na Wabunge wa Samia ambao na wanachojali ni maslahi yao tu!!Tusaidie mzalendo uongo wa mbunge wa kenya ni upi
Kwamba hatuna rasilimali nyingi?
Hiki ndo Sa100 anataka kileta nchin kwetu , mkatae Sa100 na sio kuhangaika na KenyaMatajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26).
Utafiti unaonesha ukuaji wa tofauti kati ya walio nacho na wasio nacho ambapo wakenya 130 matajiri zaidi wanamiliki mali sawa na 70% bajeti ya Kenya kwa mwaka. Matajiri watano zaidi nchini Kenya ni Merali, Shah, Bedi, Kenyatta na Mahendra wakiwa na utajiri wa jumla ya dola za kimarekani 3.2.Bil
Baada ya hapo ongeza na Manu Chandaria, Moi family, William Ruto & Associates
Wakenya wengi wanaishi chini ya dolla moja, pesa yao kuipata ni kazi. Karibu na Nairobi CBD kuna makazi ya slums 3 Kibera, Mathare na Makuru kwa Njenga ambazo zinaishi watu zaidi 2.5 Mil
Umaskini huu na tofauti ya kipato ndiyo unatia hasira kwa vijana mpaka hawafikiri mara 2 whether wachome bunge au magari ya Seikali.
Utajiri wa Kenya hauna uwiano kwa sababu haungusi mtu wa chini
Stress za maisha uliyojiharibia mwenyewe ndo zinakusumbua, sishangai ng’ombe weh.Wewe ni chawa. Jibu hoja siyo unakuja na vineno vya taarabu zezeta wewe
Unakumbatia viongoz wa drs la 7?Kwahiyo wao wanashindwa kuwa nchi tajiri kwa sababu hawana raslimali?! Raslimali ipi ya ziada wanayoitaka zaidi ya ardhi, mito na maziwa, bahari lakini pamoja na yote hayo hata uhakika wa chakula mara kwa mara wamekuwa hawana!! Tuseme wao ni wasomi- usomi wao umesaidia nini kuiondoa nchi kutoka kwenye upigaji na ukabila?! Usomi wao umewasaidia katika kupambania maslahi ya wengi badala ya nchi kuhodhiwa na wachache, tena viongozi?! Btw, ni wasomi kweli au mnaamini ni wasomi kwa sababu wanaweza kuunganisha unganisha maneno ya kiingereza moja ya mambo yanayowafanya muwaabudu wakati wapuuzi tu?! Kabla hawajaanzisha mfumo wa kiseneta, Mbunge wa Kenya alikuwa analipwa pesa nyingi kuliko wabunge wa nchi kadhaa za Ulaya! Sasa hapo usomi wao una faida ipi kwa wananchi wakati inaonesha wazi hawana tofauti yoyote na Wabunge wa Samia ambao na wanachojali ni maslahi yao tu!!
TeamWatekaj na WauajiStress za maisha uliyojiharibia mwenyewe ndo zinakusumbua, sishangai ng’ombe weh.
Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tzm
Fupi Kali hii."Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Dah KANJIBHAAI huyu huyu?Mzee wa Ganji kuona 😂TeamWatekaj na Wauaji
Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Shida mfumo ndani ya chama kikongwe namna ya kuwapata wagombea si mtu, kama huamini Oktoba leta majina hapa utatamani ufute ulichoandika. Sifa kuu kuwa chawa sifa ya ziada kujua kusoma na kuandika baaaaaasi umemaliza mlango wa bunge huooooooooooooooooHaya matatizo yote aliyaleta Mwendazake, Huko aliko Mungu amuongezee adhabu kali
Asingekuwa yeye kuharibu uchaguzi 2020 tusingepata wabunge vilaza na machawa wengi kiasi ambacho majirani wanaona watanzania wote ni wajinga