TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Sema yale majibu kwa kingeresa ndio masuri😁😁
Mkuu umenena vyema sana. Ila ujue hatakama mimi, wew na yule tukishangaa hilo la watz kusapot wakenya dhid ya tz yao, bado tuko wachache sana.Nitakuwa mtu wa mwisho kushangilia udhalilisha unaofanywa na taifa la nje; na huu ujinga ambao leo mnaona ni Samia ndio unaowafanya Wakenya mara zote wawe wanawadharau! Leo mtasema Samia au CCM but sooner or later mtakashifiwa na kudharauliwa kwa mambo ambayo hayahusiani kabisa na Samia, serikali, wala polisi kwa sababu kashifa za Wakenya kwa Tanzania hazijaanza leo na wanafanya hivyo kwa sababu Mitanzania wenyewe hamujitambui! Isitoshe, Wakenya wameanza kuwakashifu Watanzania hata kabla ya huyo Mwendazake hajawa rais let alone Samia! Je, kwa muda wote huo ni kwamba wao wapo better?
Hawana u-better wowote kwa sababu kama rushwa kwao imejaa! Utekaji na huko unafanyika kama ardhi ya Samia tu! Ukabila kwao umejaa! Sehemu kubwa ya ardhi ya Kenya inamilikiwa na viongozi lakini pamoja na yote, kwavile Wabongo wengi ni wapumbavu, shobo nyingi kwa Wakenya, na wala hamujielewi ndo maana wanaojiona wao ndo superior wakati hawana lolote lile! Huyo Mwangi mwenyewe ni mwezi uliopita tu kachezea huko huko Kenya halafu kuna wajinga mnaamini ndo aje awaletee mabadiliko!! Kuna mpumbavu mwingine katoka kwenye nchi ambayo ina rais kwa takribani miaka 40 sasa huku ukitaka kuiacha nchi kwa mwanae halafu eti huyu nae anajifanya mwanaharakati!
Watz vibarua tu humo mashambaniHao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
"Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha" Huyu mbunge anajielewa"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Kununua chakula na kilichoongelewa vinamahusiano?Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Kwani sifa ya kuwa mbunge kwetu ni kujua kusoma na kuandika au ametia chumvi? Kama ndio hivyo basi unaweza usisome hata darasa 1 ila ukajifunza tu kusoma na kuandika ndani ya wiki na ukawa mbunge, tena kiswahiliKwanza Tanzania siyo nchi masikini sasa hivi tupo uchumi wa kati kama wao tu. Hata ukiangalia hali ya taifa kiafya tupo vizuri kuliko wa Kenya. So waache dharau. Wametuchokoza wao wenyewe na bado wanaendelea kutubagaza huu ni wendawazimu kabisa. Sisi hatujawahi waingilia kwenye issue zao. Mbona wana kimbelembele sana. Fucken kabisaa
Hao ndio maana wanaongozwq na wabunge wanaojua kusoma na kuandika kiswahili. Maana mtu kaongea mambo mengine yeye anaongea mambo ya chakulaKununua chakula na kilichoongelewa vinamahusiano?
Wewe na mshahara wako mzuri lakini kwa MANGO unaenda kukopa
Ukiambiwa huna akili unabisha!Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Amezungumza ukweli mtupu. Abarikiwe sana."Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Namlaumu sana mzazi aliekata viuno na kuleta hii nguchiro duniani,Bora hata angepiga nyeto tu!Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Wapi huyo mbunge umeona kazungumzia mahindi na kutembea usiku Tanzania?Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Nakuona kilaza mwenzao!Vuka mpaka nenda katafute bwana mwenye akili Nairobi moyo wako utulie.
Yani wew ni msukule aisee tena grade 1Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
🚮Nitakuwa mtu wa mwisho kushangilia udhalilisha unaofanywa na taifa la nje; na huu ujinga ambao leo mnaona ni Samia ndio unaowafanya Wakenya mara zote wawe wanawadharau! Leo mtasema Samia au CCM but sooner or later mtakashifiwa na kudharauliwa kwa mambo ambayo hayahusiani kabisa na Samia, serikali, wala polisi kwa sababu kashifa za Wakenya kwa Tanzania hazijaanza leo na wanafanya hivyo kwa sababu Mitanzania wenyewe hamujitambui! Isitoshe, Wakenya wameanza kuwakashifu Watanzania hata kabla ya huyo Mwendazake hajawa rais let alone Samia! Je, kwa muda wote huo ni kwamba wao wapo better?
Hawana u-better wowote kwa sababu kama rushwa kwao imejaa! Utekaji na huko unafanyika kama ardhi ya Samia tu! Ukabila kwao umejaa! Sehemu kubwa ya ardhi ya Kenya inamilikiwa na viongozi lakini pamoja na yote, kwavile Wabongo wengi ni wapumbavu, shobo nyingi kwa Wakenya, na wala hamujielewi ndo maana wanaojiona wao ndo superior wakati hawana lolote lile! Huyo Mwangi mwenyewe ni mwezi uliopita tu kachezea huko huko Kenya halafu kuna wajinga mnaamini ndo aje awaletee mabadiliko!! Kuna mpumbavu mwingine katoka kwenye nchi ambayo ina rais kwa takribani miaka 40 sasa huku ukitaka kuiacha nchi kwa mwanae halafu eti huyu nae anajifanya mwanaharakati!
Hawa wapuuzi bado wana hasira na spana za Samia kwa wale wapuuzi wanaharakati wao."Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Wapuuzi tu hao tangu awamu ya tano wamekuwa wakipelekewa moto hivyo wivu wao unawasumbua.Angalia jinsi majibu ya MTU ambaye emeenda shule yanavyokuwa.
Haya majibu yanakatisha tamaa jinsi watanzania tulivyokuwa nyuma dhidi ya wenzetu wakenya
Ahaaaa nyie majibu yenu yanachekesha 😁😁Hawa wapuuzi bado wana hasira na spana za Samia kwa wale wapuuzi wanaharakati wao.
Wataongea kila aina ya ujinga lakini ukweli ni kwamba huwezi ukaleta siasa zenu huku TZ kwani hakuna Mtanzania anayeweza kwenda mahakamani Kenya kusikiliza kesi nyingi tu za serikali yao dhidi ya wanasiasa wao.