ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Wapi hakuna hayo uliyoyataja?Huko kwenu mna
Bandari, mlima Kilimanjaro, mbuga, Tanzanite, gold, diamond,
Bado shule hazina madawati
Hospital hazina madawa
Vijana hawana ajira
Wapi hakuna hayo uliyoyataja?Huko kwenu mna
Bandari, mlima Kilimanjaro, mbuga, Tanzanite, gold, diamond,
Bado shule hazina madawati
Hospital hazina madawa
Vijana hawana ajira
Tulikua na Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete,Magufuli hatukuwahi kudhalilishwa hivi.Nitakuwa mtu wa mwisho kushangilia udhalilisha unaofanywa na taifa la nje; na huu ujinga ambao leo mnaona ni Samia ndio unaowafanya Wakenya mara zote wawe wanawadharau! Leo mtasema Samia au CCM but sooner or later mtakashifiwa na kudharauliwa kwa mambo ambayo hayahusiani kabisa na Samia, serikali, wala polisi kwa sababu kashifa za Wakenya kwa Tanzania hazijaanza leo na wanafanya hivyo kwa sababu Mitanzania wenyewe hamujitambui! Isitoshe, Wakenya wameanza kuwakashifu Watanzania hata kabla ya huyo Mwendazake hajawa rais let alone Samia! Je, kwa muda wote huo ni kwamba wao wapo better?
Hawana u-better wowote kwa sababu kama rushwa kwao imejaa! Utekaji na huko unafanyika kama ardhi ya Samia tu! Ukabila kwao umejaa! Sehemu kubwa ya ardhi ya Kenya inamilikiwa na viongozi lakini pamoja na yote, kwavile Wabongo wengi ni wapumbavu, shobo nyingi kwa Wakenya, na wala hamujielewi ndo maana wanaojiona wao ndo superior wakati hawana lolote lile! Huyo Mwangi mwenyewe ni mwezi uliopita tu kachezea huko huko Kenya halafu kuna wajinga mnaamini ndo aje awaletee mabadiliko!! Kuna mpumbavu mwingine katoka kwenye nchi ambayo ina rais kwa takribani miaka 40 sasa huku ukitaka kuiacha nchi kwa mwanae halafu eti huyu nae anajifanya mwanaharakati!
Burundi Kuna bandari ?Wapi hakuna hayo uliyoyataja?
😂😂😂😂😂😂"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Au Afande Muliro…maana huyu na IGP wake nao sifa zao ni kujua kusoma na kuandika basi😂😂😂😂Tumtume IGP akamkamate au mnasemaje wadau?
You are dam right"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Jibu hoja zake kama ni za uongo kuhusu wabunge wa bunge la Tanzania,hapa umeweka taarabu na kukata mauno kuonyesha unajua na kusoma tu1.Ulitegemea aseme nini wakati maumivu amepata baada ya wahuni waliowatuma kuishia kwenye wheelchair?
2.Anadhani Watu ni wajinga kiasi kwamba tumesahau kuwa wanakula rushwa Ili kujipendekeza Kwa Ruto?
3.Kenya ni Nchi maskini ambayo inategemea Msaada wa kibajeto na wakati huo huo 70% ya Bajeti Yao inatumika kulipa madeni.
4.Wakenya Huwa wanajisifu kuongea kingereza Sasa jiulize inakuaje Nchi iliyoendelea na Ina kiingereza safi Hadi Leo hii inasumbuliwa na njaa Kila mwaka kiasi Cha kuuana wakigombea ugali mara Kwa mara 😆😆
5.Mwisho Kenya ni Nchi Kibaraka wa Wazungu na mda wote kazi Yao ninkukipendekeza huko ndio maana hakuna Kiongozi kutoka Kenya atagombea nafasi yeyote.
Watu wenye akili tegemezi kama hao wanaweza kuwa mfano Kwa nani?
Tuliwatandika wakati wa Kuhamisha Masai,tulitia kibiriti vifaranga na Sasa tumewatia bakora wamerudi kwenye wheelchair.
Bila shaka Sasa wameelewa kwamba Tanzania sio public toilet 😆😆
Wana Hela ndo maana wanakuja kununuaHao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Haya matatizo yote aliyaleta Mwendazake, Huko aliko Mungu amuongezee adhabu kali
Asingekuwa yeye kuharibu uchaguzi 2020 tusingepata wabunge vilaza na machawa wengi kiasi ambacho majirani wanaona watanzania wote ni wajinga
Utoe machozi kwa kuambiwa ukweli?Aisee hili jibu unaweza kutoa machozi
Mungu Ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
eddy Gicheru Oketch One love popote Alipo tuna mengi ya kujifunza kwao,, kwetu wanatutumia watu wasiojulikana"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Absolutely he's genius ameshow loveI wish ningekuwa na namba ya huyu jamaa nimtumie hata hela ya Captain Morgan
Ameongea ukweli kabisa
Kupata Zero Form Four Ni Curse kbc kwake inamtafuna Maisha yake yoteYan sijawah kuona watu waliopo kwenye mkusanyiko na wote kwa ujumla wakaongea utumbo kama kina abasi tarimba na hii ngombe ya zanzibar ambayo hata form 4 ilipata zero....