PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?

Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?

Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Amesema vyema kabisa. Hawa mbwa ambao wamekubali kuwa rubber stamp wa Bi.Uozo, kuwajadili ni matumizi mabaya ya muda
 
Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?

Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule

Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Kumbe kununua, nikajua wanakuja kuomba. Kama kununua, hiyo ni biashara. Unafikiri usipowauzia wewe chakula, watakufa njaa!? Minwazi watatumia pesa zao ambazo wewe umezikataa kununua chakula mahali pengine. Kwa hiyo punguza ujinga.
 
Hawa wapuuzi bado wana hasira na spana za Samia kwa wale wapuuzi wanaharakati wao.

Wataongea kila aina ya ujinga lakini ukweli ni kwamba huwezi ukaleta siasa zenu huku TZ kwani hakuna Mtanzania anayeweza kwenda mahakamani Kenya kusikiliza kesi nyingi tu za serikali yao dhidi ya wanasiasa wao.
Ujinga hapo ni upi!!?
Kwani sio kweli kuwa wabunge wenu sifa kuu ni kujua kusoma na kuandika!!?
Kwani sio kweli kuwa wabungw badala ya kujadili report ya CAG, wao ndio wanamsulubisha CAG!!??
Kwani sio kweli kwamba wananchi wa Kenya na Tanzania hatuna ugomvi!!???

Nashukuru kuwa nawe umetuthibitishia hapa kwa kutoweza kujibu hoja zilizoainishwa bayana kwa uwazi na huyo Mkenya na umefanana kwa asilimia mia na wabunge wako.
 
Binafsi nimechoka kujadili uozo na upumbavu wa Bunge la mambumbumbu
 
Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?

Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule

Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Kwa wale ambao hamkuelewa huyo mbunge aliposema kubishana na mtu ambaye sifa yake kubwa ni kujua kusoma na kuandika ni kupoteza muda asome comment ya huyu jamaa halafu afananishe na mada kuu.
 
Kwanza Tanzania siyo nchi masikini sasa hivi tupo uchumi wa kati kama wao tu. Hata ukiangalia hali ya taifa kiafya tupo vizuri kuliko wa Kenya. So waache dharau. Wametuchokoza wao wenyewe na bado wanaendelea kutubagaza huu ni wendawazimu kabisa. Sisi hatujawahi waingilia kwenye issue zao. Mbona wana kimbelembele sana. Fucken kabisaa
Ugomvi wa Bibi Uozo na machawa wake na Wakenya huo. Acha kuingilia. Au nawe ni chawa tu!?
 
"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?

Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?

Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
1.Ulitegemea aseme nini wakati maumivu amepata baada ya wahuni waliowatuma kuishia kwenye wheelchair?

2.Anadhani Watu ni wajinga kiasi kwamba tumesahau kuwa wanakula rushwa Ili kujipendekeza Kwa Ruto?

3.Kenya ni Nchi maskini ambayo inategemea Msaada wa kibajeto na wakati huo huo 70% ya Bajeti Yao inatumika kulipa madeni.

4.Wakenya Huwa wanajisifu kuongea kingereza Sasa jiulize inakuaje Nchi iliyoendelea na Ina kiingereza safi Hadi Leo hii inasumbuliwa na njaa Kila mwaka kiasi Cha kuuana wakigombea ugali mara Kwa mara 😆😆

5.Mwisho Kenya ni Nchi Kibaraka wa Wazungu na mda wote kazi Yao ninkukipendekeza huko ndio maana hakuna Kiongozi kutoka Kenya atagombea nafasi yeyote.

Watu wenye akili tegemezi kama hao wanaweza kuwa mfano Kwa nani?

Tuliwatandika wakati wa Kuhamisha Masai,tulitia kibiriti vifaranga na Sasa tumewatia bakora wamerudi kwenye wheelchair.

Bila shaka Sasa wameelewa kwamba Tanzania sio public toilet 😆😆
 
Matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26).

Utafiti unaonesha ukuaji wa tofauti kati ya walio nacho na wasio nacho ambapo wakenya 130 matajiri zaidi wanamiliki mali sawa na 70% bajeti ya Kenya kwa mwaka. Matajiri watano zaidi nchini Kenya ni Merali, Shah, Bedi, Kenyatta na Mahendra wakiwa na utajiri wa jumla ya dola za kimarekani 3.2.Bil

Baada ya hapo ongeza na Manu Chandaria, Moi family, William Ruto & Associates

Wakenya wengi wanaishi chini ya dolla moja, pesa yao kuipata ni kazi. Karibu na Nairobi CBD kuna makazi ya slums 3 Kibera, Mathare na Makuru kwa Njenga ambazo zinaishi watu zaidi 2.5 Mil
Umaskini huu na tofauti ya kipato ndiyo unatia hasira kwa vijana mpaka hawafikiri mara 2 whether wachome bunge au magari ya Seikali.

Utajiri wa Kenya hauna uwiano kwa sababu haungusi mtu wa chini
Poa poa tumekusikia. Turudi kwenye mada husika.
 
"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?

Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?

Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Hiki sio Kiswahili cha mkenya, ni cha Kitanzania, labda imetafsiriwa toka kiingereza. Ila kuna ukweli katika madai yake.
 
"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?

Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?

Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Samia na genge lake akiona ujumbe huu anaweza paralyze, kama namuona akiusoma huku anatetemeka...... nadhani atakuwa amejifunza ujinga na mipasho yake isio na mantiki
 
1.Ulitegemea aseme nini wakati maumivu amepata baada ya wahuni waliowatuma kuishia kwenye wheelchair?

2.Anadhani Watu ni wajinga kiasi kwamba tumesahau kuwa wanakula rushwa Ili kujipendekeza Kwa Ruto?

3.Kenya ni Nchi maskini ambayo inategemea Msaada wa kibajeto na wakati huo huo 70% ya Bajeti Yao inatumika kulipa madeni.

4.Wakenya Huwa wanajisifu kuongea kingereza Sasa jiulize inakuaje Nchi iliyoendelea na Ina kiingereza safi Hadi Leo hii inasumbuliwa na njaa Kila mwaka kiasi Cha kuuana wakigombea ugali mara Kwa mara 😆😆

5.Mwisho Kenya ni Nchi Kibaraka wa Wazungu na mda wote kazi Yao ninkukipendekeza huko ndio maana hakuna Kiongozi kutoka Kenya atagombea nafasi yeyote.

Watu wenye akili tegemezi kama hao wanaweza kuwa mfano Kwa nani?

Tuliwatandika wakati wa Kuhamisha Masai,tulitia kibiriti vifaranga na Sasa tumewatia bakora wamerudi kwenye wheelchair.

Bila shaka Sasa wameelewa kwamba Tanzania sio public toilet 😆😆
Huko kwenu mna
Bandari, mlima Kilimanjaro, mbuga, Tanzanite, gold, diamond,
Bado shule hazina madawati
Hospital hazina madawa
Vijana hawana ajira
 
Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?

Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule

Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Umeandika UHARO.
Mwenzako anazungumzia mambo nyeti yanayoamua kupitishwa au kugomewa mambo ya kitaifa kupitia wawakilishi,wewe unazungumzia mahindi 🤣 🤣 🤣 🤣 kweli wewe ni Bure kabisa.
 
Back
Top Bottom