1Booker
Member
- Apr 24, 2024
- 20
- 11
Toka zako uko nyie ndy chawa wenyeweHao wajinga tu, JPM aliwapelekea moto alipokuja Samia wakadhani wataweza kumuendesha na yeye anaendeleza moto ule ule aliourithi.
Toka zako uko nyie ndy chawa wenyeweHao wajinga tu, JPM aliwapelekea moto alipokuja Samia wakadhani wataweza kumuendesha na yeye anaendeleza moto ule ule aliourithi.
Ambulance awadandii Kwa mbele huyo n chawa kbcUgomvi wa Bibi Uozo na machawa wake na Wakenya huo. Acha kuingilia. Au nawe ni chawa tu!?
Kimsingi kabisa zero huwa ni donda la maisha so kupata zero huwa tatizoKupata Zero Form Four Ni Curse kbc kwake inamtafuna Maisha yake yote
kuna mazuri alifanya piaHaya matatizo yote aliyaleta Mwendazake, Huko aliko Mungu amuongezee adhabu kali
Asingekuwa yeye kuharibu uchaguzi 2020 tusingepata wabunge vilaza na machawa wengi kiasi ambacho majirani wanaona watanzania wote ni wajinga
Kwa nini msihamishwe nyinyi kwanza mnaoharibu taswira ya nchi!Unahamia lini?
Sawa... Lakini ebu pitia taratibu uone mahali kakosea. Au unataka alete majibu ya haya uliyoibua?Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Mazuri ambayo yanafunikwa kabisa na mabaya?kuna mazuri alifanya pia
Ni wazi hukuelewa alichozungumzia; pengine ni lugha ndiyo imekupiga chenga, au ni kama alivyo sisitiza huyo Seneta, elimu yako haikuwezeshi kuwa na ufahamu wa kilichowekewa mkazo katika aliyozungumza.Kwanza Tanzania siyo nchi masikini sasa hivi tupo uchumi wa kati kama wao tu. Hata ukiangalia hali ya taifa kiafya tupo vizuri kuliko wa Kenya. So waache dharau. Wametuchokoza wao wenyewe na bado wanaendelea kutubagaza huu ni wendawazimu kabisa. Sisi hatujawahi waingilia kwenye issue zao. Mbona wana kimbelembele sana. Fucken kabisaa
Ingekuwa tunawapa bure kidogo ningekuelewa, haya sasa tuanze kuhasabu bidhaa tunazonunua kwao :- chumvi, mafuta, siagi, vioo vya magari, list ni ndefu jombaaHao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Jiandae, Mumbai inakuhusuWakenya tusaidieni sisi tupo jela ya halaiki😡
Yule jiwe alikuwa mwehu sana! Ona wakenya wanatuona sisi ni mapimbi kiasi hiki kisa takataka ziko bungeni eti kujua kusoma na kuandika na viti maalum; shenzi type!Haya matatizo yote aliyaleta Mwendazake, Huko aliko Mungu amuongezee adhabu kali
Asingekuwa yeye kuharibu uchaguzi 2020 tusingepata wabunge vilaza na machawa wengi kiasi ambacho majirani wanaona watanzania wote ni wajinga
Kwa hili nalo bado tunawananga wakenya; wakati macho yetu yanaona na masikio yakisikia kinachotengenezwa hapa kwetu?Matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26).
Hili siyo kweli. Pamoja na kutotaka nionekane kuwa mtetezi wa nchi hiyo (siku zote nawaona wao duni sana kwa sababu mbalimbali); wewe kama mtu wa Takwimu ungejuwa vizuri zaidi jambo hili. Ndiyo, kuna maskini kwelikweli; hasa kwenye kaunti kama zile za Isiolo, Kilifi, Mandera; Turkana, n'k.,; lakini kaunti hizo pia hazina watu wengi sana.. Kaunti ambazo zina watu wengi kama zile za Central; wao hali yao ni nzuri zaidi kiuchumi. haya mambo ya ushirika yamewasaidia sana katika kuinua hali zao.Wakenya wengi wanaishi chini ya dolla moja, pesa yao kuipata ni kaz
Wale wanawaona wengine ni "kenge" tu!Ukweli mtupu. Kama wale wavaa ma-ushungi za Zanzibar wale vichwa vyao hata mama ntilie wana ufahamu zaidi.
Bunge limejaa viti maalum mbumbumbu wengi kazi kula pesa za walipa kodi kisha kuwaita kengeWale wanawaona wengine ni "kenge" tu!
Haya mambo yanazidi kujipambanua yenyewe bila ya shurti.
Nadhani ndani ya nchi hii sasa tumekuwa na watu wanaojiona/hisi kuwa 'entitled' zaidi kuliko wengine. Wewe subiri tu, mama aipate mitano yake kwanza!
Mbona ni kama unaongea vitu havihusiani eroo?Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
"Vinara wa English" siyo hoja. Hoja ni hicho kilichomo kwenye hiyo MA yako unayo izungumzia hapa.Tafiti nyingi zipo kwao
Wakati napita level ya MA niligundua materials mengi(tafiti) zipo kwao kwa hapa East Africa.
Hawa ndiyo vinara wa English Medium na sisi tupo nyuma yao😀😀
Yupo Tanzania mpaka wabunge vilaza mbumbumbu wasomewe Alibadiri wafutike kwenye ulingo wa siasaUnahamia lini?
Ukweli ndio huo Kule Kenya hakuna mbunge wa darasa la saba aliyenunua doctorate kama Msukuma!"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"