PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26).

Utafiti unaonesha ukuaji wa tofauti kati ya walio nacho na wasio nacho ambapo wakenya 130 matajiri zaidi wanamiliki mali sawa na 70% bajeti ya Kenya kwa mwaka. Matajiri watano zaidi nchini Kenya ni Merali, Shah, Bedi, Kenyatta na Mahendra wakiwa na utajiri wa jumla ya dola za kimarekani 3.2.Bil

Baada ya hapo ongeza na Manu Chandaria, Moi family, William Ruto & Associates

Wakenya wengi wanaishi chini ya dolla moja, pesa yao kuipata ni kazi. Karibu na Nairobi CBD kuna makazi ya slums 3 Kibera, Mathare na Makuru kwa Njenga ambazo zinaishi watu zaidi 2.5 Mil
Umaskini huu na tofauti ya kipato ndiyo unatia hasira kwa vijana mpaka hawafikiri mara 2 whether wachome bunge au magari ya Seikali.

Utajiri wa Kenya hauna uwiano kwa sababu haungusi mtu wa chini
Tembea Acha kujifungia Ndani.
Ushabiki wa vyama bila kutumia akili inatugharimu waswahili wengi.
 
"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?

Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?

Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Jamaa yupo sahihi. Hii post yenyewe hapa, baadhi ya wabunge hawawawezi kuielewa.
 
"Vinara wa English" siyo hoja. Hoja ni hicho kilichomo kwenye hiyo MA yako unayo izungumzia hapa.

Au bado huelewi? Hiyo MA yako kama ipo sawasawa katika inacho kibeba; haijalishi uliitengeneza kwa lugha gani.
Bila shaka utakuwa umenielewa; lakini nasikitika tu kwamba kwenye 'level' hiyo bado unakuwa na fikra potofu za aina hiyo.
Kuhusu machapisho mengi ya kiutafiti; ninakubaliana na wewe; lakini sababu haiwezi kuwa 'English', ni thamani ya elimu yao inayo wawezesha kufanya hivyo.
Twende mbele turudi nyuma wabunge wa Tanzania 70% ni vilaza mbumbumbu hata ukiwatetea vipi hakuna wa kukuelewa
 
Matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26).

Utafiti unaonesha ukuaji wa tofauti kati ya walio nacho na wasio nacho ambapo wakenya 130 matajiri zaidi wanamiliki mali sawa na 70% bajeti ya Kenya kwa mwaka. Matajiri watano zaidi nchini Kenya ni Merali, Shah, Bedi, Kenyatta na Mahendra wakiwa na utajiri wa jumla ya dola za kimarekani 3.2.Bil

Baada ya hapo ongeza na Manu Chandaria, Moi family, William Ruto & Associates

Wakenya wengi wanaishi chini ya dolla moja, pesa yao kuipata ni kazi. Karibu na Nairobi CBD kuna makazi ya slums 3 Kibera, Mathare na Makuru kwa Njenga ambazo zinaishi watu zaidi 2.5 Mil
Umaskini huu na tofauti ya kipato ndiyo unatia hasira kwa vijana mpaka hawafikiri mara 2 whether wachome bunge au magari ya Seikali.

Utajiri wa Kenya hauna uwiano kwa sababu haungusi mtu wa chini

Ahaaa nyie ndo wale mnaojua kusoma na kuandika
 
Kwanza Tanzania siyo nchi masikini sasa hivi tupo uchumi wa kati kama wao tu. Hata ukiangalia hali ya taifa kiafya tupo vizuri kuliko wa Kenya. So waache dharau. Wametuchokoza wao wenyewe na bado wanaendelea kutubagaza huu ni wendawazimu kabisa. Sisi hatujawahi waingilia kwenye issue zao. Mbona wana kimbelembele sana. Fucken kabisaa
UKO UCHUMI WA KATI UPI WATU KAMA NYIE MNAKERA SANAA DOLLAR 1 NISHANGAPI HIVI MNAELEWA KWANINI HIZI CURRENCY ZINABADILIKA UNAJUA DOLLAR MOJA NI SHINGAPI KWA KENYA?? AISE UMEMUELWA SENETA RASILIAMALI TUNAZO VIONGOZI HAWATUMI KWAAJILI YAKOO UCHUMI WAKATI UNAUJUAA WEWE, WABUNGE WETE WASINGEKUWA VILAZA HIVYO BLOODCLAT
 
Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?

Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule

Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Watu wanatekwa na kuuliwa mbuzi wewe usiyejielewa
 
Matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26).

Utafiti unaonesha ukuaji wa tofauti kati ya walio nacho na wasio nacho ambapo wakenya 130 matajiri zaidi wanamiliki mali sawa na 70% bajeti ya Kenya kwa mwaka. Matajiri watano zaidi nchini Kenya ni Merali, Shah, Bedi, Kenyatta na Mahendra wakiwa na utajiri wa jumla ya dola za kimarekani 3.2.Bil

Baada ya hapo ongeza na Manu Chandaria, Moi family, William Ruto & Associates

Wakenya wengi wanaishi chini ya dolla moja, pesa yao kuipata ni kazi. Karibu na Nairobi CBD kuna makazi ya slums 3 Kibera, Mathare na Makuru kwa Njenga ambazo zinaishi watu zaidi 2.5 Mil
Umaskini huu na tofauti ya kipato ndiyo unatia hasira kwa vijana mpaka hawafikiri mara 2 whether wachome bunge au magari ya Seikali.

Utajiri wa Kenya hauna uwiano kwa sababu haungusi mtu wa chini
HAHHAA UNAJUA MKUU WA POLIC TANZANIA ANAE ELA KIASI GANI UNAJUA MAKONDA ANAYO ELA KIASI GANI UNAONGELEA WATU BINAFSI WAKENYA WENYE ELA WEWE UNAJUA VIONGOZI WAKO UNAOWACHUGUA WANAELA KIASI GANI?? UTAJIRI WETU NDIO HAUNA MUELEKEO NA UHIANO SASA NIKUULIZE SWALI KAMA UNAONA ELFU 2700 KUPATA SIO KAZI YEYE DOLLAR MOJA NI SHINGAPI KWAKE KIASI UNASEMA KUPATA DOLLAR MOJA NI KAZI

JOMBA WATANZANIA KIBAOO WANAISHI CHINI YA DOLLAR MOJA SEHEMU NYINGI TANZANIA HAZINA MADARAJA KAMA KIVUKO ANGALIA KWAKO UPAELEWE NDIO UMSEMEE JIRANI
 
UKO UCHUMI WA KATI UPI WATU KAMA NYIE MNAKERA SANAA DOLLAR 1 NISHANGAPI HIVI MNAELEWA KWANINI HIZI CURRENCY ZINABADILIKA UNAJUA DOLLAR MOJA NI SHINGAPI KWA KENYA?? AISE UMEMUELWA SENETA RASILIAMALI TUNAZO VIONGOZI HAWATUMI KWAAJILI YAKOO UCHUMI WAKATI UNAUJUAA WEWE, WABUNGE WETE WASINGEKUWA VILAZA HIVYO BLOODCLAT
Usihangaike kuelezea sana bali wewe Tambua kuwa wabunge wa ccm sasa wanafagilia Bishungwa na Polisiccm wabake binti wa uganda na wapige wana haki za binadamu toka kenya kisa kuja kusikiliza kesi za uongo tokea ccm kwenda kwa chadema, Tanzania hakuna wabunge kuna ibirisi mashetani kwa sasa
 
Matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26).

Utafiti unaonesha ukuaji wa tofauti kati ya walio nacho na wasio nacho ambapo wakenya 130 matajiri zaidi wanamiliki mali sawa na 70% bajeti ya Kenya kwa mwaka. Matajiri watano zaidi nchini Kenya ni Merali, Shah, Bedi, Kenyatta na Mahendra wakiwa na utajiri wa jumla ya dola za kimarekani 3.2.Bil

Baada ya hapo ongeza na Manu Chandaria, Moi family, William Ruto & Associates

Wakenya wengi wanaishi chini ya dolla moja, pesa yao kuipata ni kazi. Karibu na Nairobi CBD kuna makazi ya slums 3 Kibera, Mathare na Makuru kwa Njenga ambazo zinaishi watu zaidi 2.5 Mil
Umaskini huu na tofauti ya kipato ndiyo unatia hasira kwa vijana mpaka hawafikiri mara 2 whether wachome bunge au magari ya Seikali.

Utajiri wa Kenya hauna uwiano kwa sababu haungusi mtu wa chini

HAKUNA NCHI YENYE UHURU WA VYAMA VINGI NA INAONGOZWA KWA MANENO YA "HAKI""UZALENDO" THEN FOR ALMOST 30 YEARS HIO NCHI INAONGOZWA NA CHAMA KIMOJA(CCM) UNAITAJE HIOO KAMA UNAAKILI YA HESABU ZA KAWAIDA???
 
ccm hawatambui haki, ccm neno uzalendo ni kuua kuteka kuonea kubambikiwa kesi za uongo, Uzalendo wa ccm ni Uzalendo haramu wa kishetani tupu
 
"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?

Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?

Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Jamaa kaongea ukweli mtupuu....kuna jamaa ndiomaana alishauri ili mtu awe mbunge awe na japo degree...
 
Haya matatizo yote aliyaleta Mwendazake, Huko aliko Mungu amuongezee adhabu kali

Asingekuwa yeye kuharibu uchaguzi 2020 tusingepata wabunge vilaza na machawa wengi kiasi ambacho majirani wanaona watanzania wote ni wajinga
Mimi ndiomaana nawashangaaga wanaomteteaga jiwe
 
ccm ndipo makao makuu ya ibirisi kwa sasa, kuna ushetani wa kutisha ni vigumu kuwabadili mpaka wasomewe Alibadiri kwanza
 
Dadeki huyu kapiga kwenye utosi wa chamwino. Nasikamama na wakenya , bunge limejaa vilaza eti ndo wanabeba diplomatic passports na bado wana vapour shobo kama lile bungeni . Tumepigwa kuanzia juu mpaka chini
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kushangilia udhalilisha unaofanywa na taifa la nje; na huu ujinga ambao leo mnaona ni Samia ndio unaowafanya Wakenya mara zote wawe wanawadharau! Leo mtasema Samia au CCM but sooner or later mtakashifiwa na kudharauliwa kwa mambo ambayo hayahusiani kabisa na Samia, serikali, wala polisi kwa sababu kashifa za Wakenya kwa Tanzania hazijaanza leo na wanafanya hivyo kwa sababu Mitanzania wenyewe hamujitambui! Isitoshe, Wakenya wameanza kuwakashifu Watanzania hata kabla ya huyo Mwendazake hajawa rais let alone Samia! Je, kwa muda wote huo ni kwamba wao wapo better?

Hawana u-better wowote kwa sababu kama rushwa kwao imejaa! Utekaji na huko unafanyika kama ardhi ya Samia tu! Ukabila kwao umejaa! Sehemu kubwa ya ardhi ya Kenya inamilikiwa na viongozi lakini pamoja na yote, kwavile Wabongo wengi ni wapumbavu, shobo nyingi kwa Wakenya, na wala hamujielewi ndo maana wanaojiona wao ndo superior wakati hawana lolote lile! Huyo Mwangi mwenyewe ni mwezi uliopita tu kachezea huko huko Kenya halafu kuna wajinga mnaamini ndo aje awaletee mabadiliko!! Kuna mpumbavu mwingine katoka kwenye nchi ambayo ina rais kwa takribani miaka 40 sasa huku ukitaka kuiacha nchi kwa mwanae halafu eti huyu nae anajifanya mwanaharakati!
Bahati mbaya sana na wewe upo katika kundi la hao watanzania wapumbavu
 
Back
Top Bottom