ndo tumerudi kutoka jkt, kumbe hata deadline bado, bora tungebaki tukute selection zimetoka
kitandan ndo jkt nini !! acha izo kijana mdogo
Ukiona Mpaka Umehamaki Hivi Ujue Ujumbe Umefika Kunako. Unaweza Kupata Mkopo Bila Kwanza Kujua TCU Kumekaaje? au Unataka Kuvunga Kuwa Wewe au Nduguyo au Mwanao .KAMA WW MENEJA WA BODI AU MUNGU SAWA..hahahaa Kantangazee
mwaka juzi na hata mwaka jana watu walipata post za vyuo angali akaunti zao zilionekana 'NOT APPROVED'- msiangalie sana hzo akaunti zenu, fuatilieni majina yenu kwenye tovuti za vyuo mlivyoomba!,KAKA HAPO UMENENA
kitandan ndo jkt nini !! acha izo kijana mdogo
..Acha wivuu! kama ww mwaka jana uli2pwa ,ucdhani ni kwa woteee..kila k2 kna muda wakee fikir mara2 kabla ya kuandika coment yako..thz is not fb.Ujue hadi hapo umetupwa nje jiandae kuaply mwakani mkuu.
.itabidi 2kupeleke milembe ww, tcu hawajatoa majina bado, sasa hyo bodi wataoaje mikopo wakat applicants wengi hawajapangiwa vyuo?? 'r u mudy!?Ukiona Hivyo Umekosa Sifa Na Hukopesheki Hivyo Usipoteze Muda Wako!
.Duuu watoro tena??Nitaishangaa sana serkali yangu sikivu itakapowapa post nyie watoro wa jkt. Kama noma na iwe noma tu.
Nitaishangaa sana serkali yangu sikivu itakapowapa post nyie watoro wa jkt. Kama noma na iwe noma tu.
.Acha hzo mkuu . msakati, we 'r serious .Kanduru Raymond dah nna mzuka wa kupiga msuli vbaya
Aisee hapo ni kuwaza boom then kununua simu kali na sub woofer. Hataree
we unafikir watafanya nn,,na lazima iwe ivo yani..hahahahaha
Nitaishangaa sana serkali yangu sikivu itakapowapa post nyie watoro wa jkt. Kama noma na iwe noma tu.
.itabidi 2kupeleke milembe ww, tcu hawajatoa majina bado, sasa hyo bodi wataoaje mikopo wakat applicants wengi hawajapangiwa vyuo?? 'r u mudy!?
Umeshajua Tayari Ni GENTAMYCINE Sasa Kwanini Unatokwa Na Mapovu Huku Mishipa Ikiwa Imekugangamala?
.soon no more stress coz mgodi unatema..haoo ww utabaki kuxema stress stress wa2 hao.stress za kupoteza dira ya maisha