Majibu ya TCU bado hayajatoka?

Majibu ya TCU bado hayajatoka?

ndo tumerudi kutoka jkt, kumbe hata deadline bado, bora tungebaki tukute selection zimetoka
 
Daah jmn mlioachiwa jkt bora mje kusaidiana na wenzenu mana hlo tumbo joto la kitaa halifai kbsaaa
 
mpaka tarehe 11 baada ya awa wa RPL kumaliza kuaply
 
Nitaishangaa sana serkali yangu sikivu itakapowapa post nyie watoro wa jkt. Kama noma na iwe noma tu.


Mtu mzima huna hekima wala busara pengine ndo vilipelekea ukaachika.

Kama noma na iwe noma.
 
.itabidi 2kupeleke milembe ww, tcu hawajatoa majina bado, sasa hyo bodi wataoaje mikopo wakat applicants wengi hawajapangiwa vyuo?? 'r u mudy!?

Umeshajua Tayari Ni GENTAMYCINE Sasa Kwanini Unatokwa Na Mapovu Huku Mishipa Ikiwa Imekugangamala?
 
Back
Top Bottom