Mkuu mwambie aaply tu ijapokuwa kuna tetesi zinasema principal credit ni C , but wonder Tcu guidebook wanasema principal ni D, ila cha kufanya na cha busara ww aply tu lakini isiwe kozi yenye competition sana mfano Education pia chuo kisiwe chenye ushindani like UDSM au Mzumbe.
Goodluck
Ndio mkuu mi kuna mdogo wangu imeshaproced tayari kwenye kozi 4 lakin ya tano inazingua.
Jamani mm bdo cjafanya app coz utata upo kwenye selection ya facult sasa cjajua kama mnWeza nitajia facult ,5, za science ambazo ajira ake ni rahc kupata na zina mshahara wake ni mzuri... isiwe education jamani plz nisaidieni..... kwa mtu alie soma PCB na CBG
OrthopDeic unakuwa unapga ishu gan
OrthopDeic unakuwa unapga ishu gan
mkuu mi nina CDE nilimaliza 2008 Nimeomba education means naweza kukosa au niaje
remember that two principle passes are required for Bachelor program and this year principle pass is C
Tulia wewe kijana selection hadi tarehe 5 sept japokuwa tarh 31 mwezi huu ndio mwisho.
Kweli homa inakuwa kubwa. Mimi ni muhusika mwaka huu na profile yangu iko approved sellection status ni not yet processed so nahisi muda ni bado kidogo sana kwani hata vyuo vinginhi vinagungua mwezi wa tisa
Hii inahusu sana na kuangalia kama una vigezo vinavyoendana na course uliyoomba au sio