p.col
Senior Member
- Jul 29, 2014
- 172
- 27
Mkuu mwambie aaply tu ijapokuwa kuna tetesi zinasema principal credit ni C , but wonder Tcu guidebook wanasema principal ni D, ila cha kufanya na cha busara ww aply tu lakini isiwe kozi yenye competition sana mfano Education pia chuo kisiwe chenye ushindani like UDSM au Mzumbe.
Goodluck
principle ni D kwa mwaka jana but kwa mwaka huu ni sawa na C ref: tcu guidbook 2014