TCU Kulikoni tena mpaka sasa nikilogin nakuangalia selection status nakutana na mambo yale yale ya mwezi wa8 (not approved) au deadline imekuwa extended, msaada wenu wakuu.
wame extend hadi 06 sept 2014
Source please? Au weka link mkuu
mbona hiyo ni sawa na dv I ya 7 mwaka huu,usiwaze mkuu utapata tu
After deadline nadhani system ndo itaanza kuchakata
Vuteni subira tu,
likin deadline si imeshapita? ilikuwa aug 31