Majibu ya TCU bado hayajatoka?

Majibu ya TCU bado hayajatoka?

kuna mwanangu mmja ukifungua acc yake kwenye selected prog inaonyesho program moja lakin kwenye my selection status inaonyesha zote tano hapo kuna tatizo?
 
Hii kitu ni shida sana . Wazazi, walezi na ndugu wa karibu tuwe tunawasaidia hawa vijana. Tena ukiongeza na hii ya kutakiwa kwenda jkt watoto wanakuwa very konfuzed.
 
Kumbukeni leo ndio deadline so umakini unahitajika kwa huyo kijana.
 
TCU Kulikoni tena mpaka sasa nikilogin nakuangalia selection status nakutana na mambo yale yale ya mwezi wa8 (not approved) au deadline imekuwa extended, msaada wenu wakuu.
 
Hata kwangu ni hivyo hivyo nadhani wanazIfanyia kazi Yani mpaka week iishe au week ya Pili ya Sept mambo yatakuwa tayari
 
Madogo acheni presha hata sisi baada ya deadline kupita mambo yalikua hivo hivo nyie subirini baada ya siku chache tu mambo yatakua vizuri chuo mtakwenda tu.
 
TCU Kulikoni tena mpaka sasa nikilogin nakuangalia selection status nakutana na mambo yale yale ya mwezi wa8 (not approved) au deadline imekuwa extended, msaada wenu wakuu.



wame extend hadi 06 sept 2014
 
hello jf
najaribu kufungua website ya central admission system (cas.tcu.go.tz) haifunguki nilitaka nia check selection status yangu naomba msaada ni kwa wote au mimi tu.
 
Tcu wamechoka kazi wanaongeza siku kila siku!tumeanza kuomba mwezi wa 6 leo mpaka mwezi wa 9,sijawahi kupata kuona,wanasababisha tunabadilisha badilisha programme mara kumi kumi.watuambie nini kinaendelea?
 
Back
Top Bottom