god bless.mmh baaada ya TCU kutangaza majina ya wanaoenda chuo ndio wanapeleka HESLB majna hayo ili na wao wawajue kila mmoja yupo chuo gani then watatangaza mwezi huu huu wa tisa kabla hujaenda chuo utakuwa ushafaham kama umepata au umekosa
kwa mfano nikakwambia heslb ni baada ya wewe kuripoti chuo kutakua na shida kwa mfano?
kwa mfano nikakwambia heslb ni baada ya wewe kuripoti chuo kutakua na shida kwa mfano?
god bless.
Does it make any difference..?