Majibu ya TCU, NACTE and HESLB

Majibu ya TCU, NACTE and HESLB

Chum Kane

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
1,143
Reaction score
948
Selection wanatangaza rasmi jumatatu ya tarehe 22/9.

Napenda kufahamishwa HESLB utaratibu wao upo vipi?

Je selection huambatana na majibu ya mkopo?

Thanks.
Chum Kane.
Stone Town.
 
kwa mfano nikakwambia heslb ni baada ya wewe kuripoti chuo kutakua na shida kwa mfano?
 
Mmh baaada ya TCU kutangaza majina ya wanaoenda chuo ndio wanapeleka HESLB majna hayo ili na wao wawajue kila mmoja yupo chuo gani then watatangaza mwezi huu huu wa tisa kabla hujaenda chuo utakuwa ushafaham kama umepata au umekosa.
 
nacte bado hawajatoa majina ya walichaguliwa kujiunga na vyuo vikuu? maana naona tcu tu!
 
mmh baaada ya TCU kutangaza majina ya wanaoenda chuo ndio wanapeleka HESLB majna hayo ili na wao wawajue kila mmoja yupo chuo gani then watatangaza mwezi huu huu wa tisa kabla hujaenda chuo utakuwa ushafaham kama umepata au umekosa
god bless.
 
kwa mfano nikakwambia heslb ni baada ya wewe kuripoti chuo kutakua na shida kwa mfano?

ni shida kubwa sana coz vyuo vingine bila tution fee hakuna kusajiliwa
 
Vyuo vingi ukiachilia St. Joseph hufanya Usajili hadi mwezi wa kumi mwishoni ambapo HESLB wanakuwa wameshapeleka fedha zeni chuoni.

Pia kama umekuwa-admitted ktk course ya priority kuna kiasi cha fedha ambacho expected loan beneficiaries mtatakiwa kulipa mara nyingi ni robo ya university fees kwa kuwa bodi huwa hailipi conclusively lazima kuwe na mapungufu tu hata kama unachukua 100%.

Ila public universities unaweza anza masomo japo bodi haijaleta fedha. Hivyo msiwe na pressure kaka zangu!
 
Kigezo cha kwanza cha kupewa mkopo you must have been admitted to a recognised institution, hii hudhiirisha kuwa post hutangulia, loans allocation hufuata, kwa sababu mchakato wa kupanga mikopo ni mechi ya Simba na Yanga:

Be informed accordingly!
 
Kwa watu wa nacte mnaotaka kusoma certificate na diploma ya computer science open university karibuni kwa mawasiliano piga 0779888204 au 0778888960
 
NYONGEZA: kama umechaguliwa UDOM andaa kabisa Tsh. 287000 ya direct costs maana bila hyo unakuwa hausajiliwi na unaweza kukosa chuo ama kughairisha masomo.
 
Back
Top Bottom