Majibu ya Ubalozi wa Marekani kwa BAWACHA baada ya kushinikiza Freeman Mbowe kuachiwa huru

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
20210730_084112.jpg

20210730_084114.jpg

Wanaukumbi.

Baada ya Bawacha kufanya maandamano kwenye Ubalozi wa Marekani wakishinikiza Mbowe, aachiwe na kutuma Tamko lao Ubalozini, majibu ya Balozi wa Marekani haya hapo chini.

20210730_072657.jpg
 
CCM hata kizungu hakipandi, hicho kizungu alichoandika Catherine Ruge hamuwezi kukielewa, angekuwepo Mkapa angewasaidia.

Alichosema Balozi sio jibu kwa BAWACHA, Ni wito ametoa kwa Serikali dhalimu ya CCM kwamba ifuate sheria na misingi yake,Due process.

A man is innocent until proven guilty.
 
Ccm,hata kizungu hakipandi,hicho kizungu alichoandika Catherine Ruge,hamuwezi kukielewa,angekuwepo Mkapa angewasaidia,
Alichosema Balozi sio jibu kwa Bawacha,ni wito ametoa kwa serikali dhalimu ya ccm kwamba ifuate sheria na misingi yake,Due process,
A man is innocent until proven guilty.
Wito kautoa baada ya barua ya Bawacha? Kama anaandika kingereza kizuri ndiyo itasaidia ubalozi wa Marekani kumtoa Mbowe? Akili za Pro-Chadema bana.
 
Sijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.

Mna uhakika wa 100% kuwa na Wao Wamarekani huko Kwao hakuna Ukiukwaji wa Kidemokrasia na Masuala ya Siasa? Mbona huwa hatukimbilii Balozi za Uingereza au Urusi au Ujerumani na hata China ikiwezekana?

Kwahiyo Kukimbilia Marekani ( katika Ubalozi wao ) ndiyo mnataka Kuwalazimisha waende Mahakamani wakawe Mawakili na Mahakimu ili Kiongozi wenu atoke ( atolewe ) upesi?

Hivi kwa jinsi ambavyo sasa hivi Tanzania chini ya Utawala huu wa Rais Samia Suluhu Hassan imerejesha vyema Uhusiano wake wa Kidiplomasia na zile nchi ambazo Kipindi cha Hayati Dkt. Magufuli ulitetereka mnadhani mtasikilizwa na kuonekana wa maana au mna Hoja au sana sana mtasanifiwa tu na Kupuuzwa?

CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa GENTAMYCINE nikiwa ni mwana CCM 'tukuka' kabisa ila mara kwa mara tena hapa hapa JamiiForums nimekuwa nikiwaambieni kuwa msipobadilisha 'Political Strategies' zenu mnapotea Kisiasa na Kidemokrasia na msipoangalia mnapoelekea muda ni si mrefu mtakuwa 'labelled Political Terrorist Group' ndani ya Tanzania na Chama chenu Kufutwa kabisa.

Najua kwa post yangu hii Kwenu leo mtanichukia na Kunitukana mno tu hapa, ila nawashauri CHADEMA rudini katika Misingi yenu, Jitafakarini na ikiwezekana Mjisahihishe kwa Ustawi wa baadae wa Chama chenu.

Ubalozi wa Marekani wala Balozi wa Marekani hakuna mwenye Mamlaka ya 'Kuishurutisha' Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais Samia Suluhu Hassan ifanye wanavyotaka Wao na niwaambie hili halitotokea hata Siku moja.

Mnaharibu wenyewe mnataka Msaada.
 
Na huo ndio UKWELI halisi, anaebisha ni NYUMBU wa ukweli
 
Sijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.

Mn
"Purely Talented" katika ubora wako. Hawa jamaa ni sikio la kufa mzee, tukio walilofanya pale ubalozini ni kujifedhehesha kuliko pita kiasi, huko Twitter sasa wamevamia akaunti ya balozi wanamporomoshea matusi
 
Kwa hiyo tuki
Sijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.
Kwa hiyo tukiuke misingi ya demokrasia kwa sababu marekani anao wanafanya? Kwa nini hamuigi vitu vuzuri vya marrkani ila mnatafuta pa kutokea kwamba hata marekani wameua basi na sisi tuue
 
Sijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.

Mna uhakika wa 100% kuwa na Wao Wamarekani huko Kwao hakuna Ukiukwaji wa Kidemokrasia na Masuala ya Siasa? Mbona huwa hatukimbilii Balozi za Uingereza au Urusi au Ujerumani na hata China ikiwezekana?

.

Chadema someni hapa kwa kuelewa
 
Balozi wa US kawajibu kwa dharau sana,yaani unaandika barua ndeefu halafu jamaa ana tweet
Sijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.

Mna uhakika wa 100% kuwa na Wao Wamarekani huko Kwao hakuna Ukiukwaji wa Kidemokrasia na Masuala ya Siasa? Mbona huwa hatukimbilii Balozi za Uingereza au Urusi au Ujerumani na hata China ikiwezekana?

Kwahiyo Kukimbilia Marekani ( katika Ubalozi wao ) ndiyo mnataka Kuwalazimisha waende Mahakamani wakawe Mawakili na Mahakimu ili Kiongozi wenu atoke ( atolewe ) upesi?

Hivi kwa jinsi ambavyo sasa hivi Tanzania chini ya Utawala huu wa Rais Samia Suluhu Hassan imerejesha vyema Uhusiano wake wa Kidiplomasia na zile nchi ambazo Kipindi cha Hayati Dkt. Magufuli ulitetereka mnadhani mtasikilizwa na kuonekana wa maana au mna Hoja au sana sana mtasanifiwa tu na Kupuuzwa?

CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa GENTAMYCINE nikiwa ni mwana CCM 'tukuka' kabisa ila mara kwa mara tena hapa hapa JamiiForums nimekuwa nikiwaambieni kuwa msipobadilisha 'Political Strategies' zenu mnapotea Kisiasa na Kidemokrasia na msipoangalia mnapoelekea muda ni si mrefu mtakuwa 'labelled Political Terrorist Group' ndani ya Tanzania na Chama chenu Kufutwa kabisa.

Najua kwa post yangu hii Kwenu leo mtanichukia na Kunitukana mno tu hapa, ila nawashauri CHADEMA rudini katika Misingi yenu, Jitafakarini na ikiwezekana Mjisahihishe kwa Ustawi wa baadae wa Chama chenu.

Ubalozi wa Marekani wala Balozi wa Marekani hakuna mwenye Mamlaka ya 'Kuishurutisha' Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais Samia Suluhu Hassan ifanye wanavyotaka Wao na niwaambie hili halitotokea hata Siku moja.

Mnaharibu wenyewe mnataka Msaada.
 
Sijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.

Mna uhakika wa 100% kuwa na Wao Wamarekani huko Kwao hakuna Ukiukwaji wa Kidemokrasia na Masuala ya Siasa? Mbona huwa hatukimbilii Balozi za Uingereza au Urusi au Ujerumani na hata China ikiwezekana?

Kwahiyo Kukimbilia Marekani ( katika Ubalozi wao ) ndiyo mnataka Kuwalazimisha waende Mahakamani wakawe Mawakili na Mahakimu ili Kiongozi wenu atoke ( atolewe ) upesi?

Hivi kwa jinsi ambavyo sasa hivi Tanzania chini ya Utawala huu wa Rais Samia Suluhu Hassan imerejesha vyema Uhusiano wake wa Kidiplomasia na zile nchi ambazo Kipindi cha Hayati Dkt. Magufuli ulitetereka mnadhani mtasikilizwa na kuonekana wa maana au mna Hoja au sana sana mtasanifiwa tu na Kupuuzwa?

CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa GENTAMYCINE nikiwa ni mwana CCM 'tukuka' kabisa ila mara kwa mara tena hapa hapa JamiiForums nimekuwa nikiwaambieni kuwa msipobadilisha 'Political Strategies' zenu mnapotea Kisiasa na Kidemokrasia na msipoangalia mnapoelekea muda ni si mrefu mtakuwa 'labelled Political Terrorist Group' ndani ya Tanzania na Chama chenu Kufutwa kabisa.

Najua kwa post yangu hii Kwenu leo mtanichukia na Kunitukana mno tu hapa, ila nawashauri CHADEMA rudini katika Misingi yenu, Jitafakarini na ikiwezekana Mjisahihishe kwa Ustawi wa baadae wa Chama chenu.

Ubalozi wa Marekani wala Balozi wa Marekani hakuna mwenye Mamlaka ya 'Kuishurutisha' Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais Samia Suluhu Hassan ifanye wanavyotaka Wao na niwaambie hili halitotokea hata Siku moja.

Mnaharibu wenyewe mnataka Msaada.
Nakushangaa unamshangaa anaedai haki yake ila humshangai anaepora haki.

Unawashangaa Bawacha kwenda ubalozi wa Marekani lakini humshangai yule polisi aliemwambia Mbowe safari hii tunakupa kesi ya ugaidi.

Samia kurudisha mahusiano ya kimataifa hakuna maana kama nae ataendelea kukandamiza haki za raia na uhuru wa kidemokrasia, kwa kufanya hivyo ni sawa na anajaza maji kwenye gunia lililotoboka, muda sio mrefu watamgeuka hao jamaa.

Zaidi, mmeenda kushtakiwa kwa hao "marafiki" zenu mnaopenda kuwalilia njaa ili nao waambie muache kuwatesa wapinzani mnaowawapa kesi za uongo, mkishindwa kufanya hivyo bakuli lenu la ombaomba litaachwa tupu.

Tanzania kuwa nchi huru hakuna maana watawala wawaonee wapinzani halafu mkiambiwa mseme hamtakiwi kuingiliwa, huu ni ushamba, mtaingiliwa tu mpaka pale mtakapojifunza kuheshimu haki za wengine na sheria za nchi.
 
Sijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.

Mna uhakika wa 100% kuwa na Wao Wamarekani huko Kwao hakuna Ukiukwaji wa Kidemokrasia na Masuala ya Siasa? Mbona huwa hatukimbilii Balozi za Uingereza au Urusi au Ujerumani na hata China ikiwezekana?

Kwahiyo Kukimbilia Marekani ( katika Ubalozi wao ) ndiyo mnataka Kuwalazimisha waende Mahakamani wakawe Mawakili na Mahakimu ili Kiongozi wenu atoke ( atolewe ) upesi?

Hivi kwa jinsi ambavyo sasa hivi Tanzania chini ya Utawala huu wa Rais Samia Suluhu Hassan imerejesha vyema Uhusiano wake wa Kidiplomasia na zile nchi ambazo Kipindi cha Hayati Dkt. Magufuli ulitetereka mnadhani mtasikilizwa na kuonekana wa maana au mna Hoja au sana sana mtasanifiwa tu na Kupuuzwa?

CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa GENTAMYCINE nikiwa ni mwana CCM 'tukuka' kabisa ila mara kwa mara tena hapa hapa JamiiForums nimekuwa nikiwaambieni kuwa msipobadilisha 'Political Strategies' zenu mnapotea Kisiasa na Kidemokrasia na msipoangalia mnapoelekea muda ni si mrefu mtakuwa 'labelled Political Terrorist Group' ndani ya Tanzania na Chama chenu Kufutwa kabisa.

Najua kwa post yangu hii Kwenu leo mtanichukia na Kunitukana mno tu hapa, ila nawashauri CHADEMA rudini katika Misingi yenu, Jitafakarini na ikiwezekana Mjisahihishe kwa Ustawi wa baadae wa Chama chenu.

Ubalozi wa Marekani wala Balozi wa Marekani hakuna mwenye Mamlaka ya 'Kuishurutisha' Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais Samia Suluhu Hassan ifanye wanavyotaka Wao na niwaambie hili halitotokea hata Siku moja.

Mnaharibu wenyewe mnataka Msaada.
Wewe ni mpuuzi na mjinga.
Ni mara ngapi watu wamekimbilia ubalozi wa marekani?

Unashoboka na liujinga kama mwendazake
 
Naaza kuamini kabisa kuwa ule msemo wa 'shetani akizeeka anakuwa malaika' Ni uongo mtupu, shetwani ni shetwani tu hawezi kubadilika kamwe!
 
Sijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.

Mna uhakika wa 100% kuwa na Wao Wamarekani huko Kwao hakuna Ukiukwaji wa Kidemokrasia na Masuala ya Siasa? Mbona huwa hatukimbilii Balozi za Uingereza au Urusi au Ujerumani na hata China ikiwezekana?
Wanaamini ktk ubabe,kwamba Marekani no super power wanaeza kuwatisha au kuwabamiza vinchi vidogo.

Sijawahi ona hata wakikimbilia Mahakama za kimataifa walau waangalie sheria na haki zinaendaje
 
CCM hata kizungu hakipandi,hicho kizungu alichoandika Catherine Ruge hamuwezi kukielewa, angekuwepo Mkapa angewasaidia.

Alichosema Balozi sio jibu kwa BAWACHA, Ni wito ametoa kwa Serikali dhalimu ya CCM kwamba ifuate sheria na misingi yake,Due process.

A man is innocent until proven guilty.
HAJAWAJIBU KWAKUWA KAONA HAWANA HOJA YA MSINGI BALI NI KULETA VURUGU TU ZA KIJINGA NDIYO MAANA KAWAPUUZA NA KUTOA WITO TU KAZI WANAYO WAMEAIBIKA BAWACHA
 
Back
Top Bottom