issenye
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 3,788
- 5,217
HII ACCOUNT ILIKUWA DORMANT KIPINDI CHA MWENDAZAKE, NAONA IMEFUFUKA BAADA YA MWENZETU KATIKA IMANI KUSHIKA USUKANI. NAAMI SOON KIBIBIGULA FAIZA FOXY NAYE ATAKUWA HEWANIView attachment 1873688
View attachment 1873689
Wanaukumbi.
Baada ya Bawacha kufanya maandamano kwenye Ubalozi wa Marekani wakishinikiza Mbowe, aachiwe na kutuma Tamko lao Ubalozini, majibu ya Balozi wa Marekani haya hapo chini.
View attachment 1873667