Majibu ya Ubalozi wa Marekani kwa BAWACHA baada ya kushinikiza Freeman Mbowe kuachiwa huru

Hukusoma literature wewe
Due process according to the law
Sheria ya ugaidi haina dhamana,mana yake Mbowe yupo kwenye mchakato sahihi,transparency,maana yake amefikishwa kwenye mahaka ya wazi
Tutulie tu,wamarekani wameshawachoka
Mbona Balozi hakugusia waliokaa uchi, au hiyo si due process? Wadada wamekaa pose ya kulika na kuonyesha makalio yao shepu nzuri zimejaajaa, nadhani wanataka biashara ya ushikwaji wakajiuze USA. Is Mr Ruge married?Ana watoto? Anawaleaje?
 
Kitaratibu ilikuwa malalamiko hayo yalikuwa yapelekwe UN, lakini si Marekani ambao ni taifa na wanakosa uhalali wa kuingilia moja kwa moja mambo ya nchi fulani, zaidi sana labda kuondoa misaada.

Pia wazungu wanatuchora sana na kujua akili zetu zimeishia wapi, sina hakika kama ni wazuri katika kuondoa matatizo ya namna hii katika nchi yoyote duniani kwa faida ya hyo nchi.

Swali; hv Uganda kuna demokrasia kuzidi Tanzania, vp uhusiano wake na Marekani. Tuamke, utatuzi sahihi wa matatizo yetu u mikononi mwetu watz, generally waafrika.

Jinsi barua ilivoandikwa juu ya utawala wa awamu ya tano mtu wa nje anaweza fikiri watz tulikuwa jehanamu, mi nasema ukikuza jambo lolote ama kwa chuki au malengo yako fulani, huja kudharauliwa hata kama ulikuwa na hoja za mantiki.

Marekani anajali maslahi yake, ukitishia maslahi yake mara moja unageuka dikteta hata kama sio.
Rwanda Wapinzan huwa wanapotezwa kabisa Burundi ndo kabisa hawasikiki Kenya apo wasaniii tu misri pale wamenyongwa wote Hawa mabeberu wanaangalia maslahi tu sasa acha ukichanganya na ubinafsi wa upinzan uchwara ndo kabisa wamejibiwa kizarau
 
Waambieni Mama alishakubali chanjo ya Covid kwa hiyo wazungu hawana ujanja tena ila kufyata mkia
 
CCM hata kizungu hakipandi, hicho kizungu alichoandika Catherine Ruge hamuwezi kukielewa, angekuwepo Mkapa angewasaidia.

Alichosema Balozi sio jibu kwa BAWACHA, Ni wito ametoa kwa Serikali dhalimu ya CCM kwamba ifuate sheria na misingi yake,Due process.

A man is innocent until proven guilty.
Tafsiri ni haki ya kila mtu.

Huo ujumbe uko so diplomatic.

Kimsingi due process kwa mbowe imefuatwa kwani amefikishwa mahakamani. So, hawezi iambia serikali kuwa ifuate due process.

Ukisoma ndani ya mistari, ni ujumbe kwa wanaolalamika kuwa, mahakama ni moja ya msingi wa Demokrasia so waheshimu.

By, the way sheria za 'kibalozi' zinazuia nchi/balozi kuingilia shughuli za kimahakama za nchi nyingine. Wanaweza wakawa na sauti issue ikiwa police, ila ilishafika mahakamani, hakuna wanachoweza kifanya, cha kisheria.
 
Sijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.

Mna uhakika wa 100% kuwa na Wao Wamarekani huko Kwao hakuna Ukiukwaji wa Kidemokrasia na Masuala ya Siasa? Mbona huwa hatukimbilii Balozi za Uingereza au Urusi au Ujerumani na hata China ikiwezekana?

Kwahiyo Kukimbilia Marekani ( katika Ubalozi wao ) ndiyo mnataka Kuwalazimisha waende Mahakamani wakawe Mawakili na Mahakimu ili Kiongozi wenu atoke ( atolewe ) upesi?

Hivi kwa jinsi ambavyo sasa hivi Tanzania chini ya Utawala huu wa Rais Samia Suluhu Hassan imerejesha vyema Uhusiano wake wa Kidiplomasia na zile nchi ambazo Kipindi cha Hayati Dkt. Magufuli ulitetereka mnadhani mtasikilizwa na kuonekana wa maana au mna Hoja au sana sana mtasanifiwa tu na Kupuuzwa?

CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa GENTAMYCINE nikiwa ni mwana CCM 'tukuka' kabisa ila mara kwa mara tena hapa hapa JamiiForums nimekuwa nikiwaambieni kuwa msipobadilisha 'Political Strategies' zenu mnapotea Kisiasa na Kidemokrasia na msipoangalia mnapoelekea muda ni si mrefu mtakuwa 'labelled Political Terrorist Group' ndani ya Tanzania na Chama chenu Kufutwa kabisa.

Najua kwa post yangu hii Kwenu leo mtanichukia na Kunitukana mno tu hapa, ila nawashauri CHADEMA rudini katika Misingi yenu, Jitafakarini na ikiwezekana Mjisahihishe kwa Ustawi wa baadae wa Chama chenu.

Ubalozi wa Marekani wala Balozi wa Marekani hakuna mwenye Mamlaka ya 'Kuishurutisha' Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais Samia Suluhu Hassan ifanye wanavyotaka Wao na niwaambie hili halitotokea hata Siku moja.

Mnaharibu wenyewe mnataka Msaada.
Sikiliza,hata Yule jiwe mwendazake hakulazimishwa Na marekani Kwa lolote Ila jifunze kilichompata.
 
Kwa kweli kuwaza kuwa Marekani ndio tiba ya madai yao, ni fikra za kikoloni sana. Kama wao chadema hawawezi ingia barabarani, na kutegemea ubalozi wa US ndio uwasaidie, ni ishara kubwa kuwa kama taasisi hawajielewi na wameshindwa kutimiza wajibu wao.

By, the way, Int' Community huwa haijali masuala ya Demokrasia pindi maslahi na mahusiano na nchi husika yako mazuri. Ingekuwa ni hivyo, Museven angekuwa ameshavamiwa miaka mingi sana. Kwa sasa, Samia ni 'darling of the west'. Hakuna msaada wanaoweza kuupata.
 
K

Kuwaza kuwa majirani WA familia yako hawana msaada wowote mnapopigana.Tanzania ni kisiwa inaweza kufanya lolote ETI!
 
Sijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.

Mna uhakika wa 100% kuwa na Wao Wamarekani huko Kwao hakuna Ukiukwaji wa Kidemokrasia na Masuala ya Siasa? Mbona huwa hatukimbilii Balozi za Uingereza au Urusi au Ujerumani na hata China ikiwezekana?

Kwahiyo Kukimbilia Marekani ( katika Ubalozi wao ) ndiyo mnataka Kuwalazimisha waende Mahakamani wakawe Mawakili na Mahakimu ili Kiongozi wenu atoke ( atolewe ) upesi?

Hivi kwa jinsi ambavyo sasa hivi Tanzania chini ya Utawala huu wa Rais Samia Suluhu Hassan imerejesha vyema Uhusiano wake wa Kidiplomasia na zile nchi ambazo Kipindi cha Hayati Dkt. Magufuli ulitetereka mnadhani mtasikilizwa na kuonekana wa maana au mna Hoja au sana sana mtasanifiwa tu na Kupuuzwa?

CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa GENTAMYCINE nikiwa ni mwana CCM 'tukuka' kabisa ila mara kwa mara tena hapa hapa JamiiForums nimekuwa nikiwaambieni kuwa msipobadilisha 'Political Strategies' zenu mnapotea Kisiasa na Kidemokrasia na msipoangalia mnapoelekea muda ni si mrefu mtakuwa 'labelled Political Terrorist Group' ndani ya Tanzania na Chama chenu Kufutwa kabisa.

Najua kwa post yangu hii Kwenu leo mtanichukia na Kunitukana mno tu hapa, ila nawashauri CHADEMA rudini katika Misingi yenu, Jitafakarini na ikiwezekana Mjisahihishe kwa Ustawi wa baadae wa Chama chenu.

Ubalozi wa Marekani wala Balozi wa Marekani hakuna mwenye Mamlaka ya 'Kuishurutisha' Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais Samia Suluhu Hassan ifanye wanavyotaka Wao na niwaambie hili halitotokea hata Siku moja.

Mnaharibu wenyewe mnataka Msaada.
Wewe acha kujipendekeza, akina Makonda wamefanya atrocities nyingi sana ktk nchi hii lakini kila siku wanalala na kuamkia majumbani mwao.

Sasa leo Mbowe kudai katiba mpya ameshabambikiwa kesi ya ugaidi. Hakuna udhalimu unaodumu ktk dunia hii Magufuli aliyebobea kwa dhuluma leo yuko wapi.
 
Sijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.

Mna uhakika wa 100% kuwa na Wao Wamarekani huko Kwao hakuna Ukiukwaji wa Kidemokrasia na Masuala ya Siasa? Mbona huwa hatukimbilii Balozi za Uingereza au Urusi au Ujerumani na hata China ikiwezekana?

Kwahiyo Kukimbilia Marekani ( katika Ubalozi wao ) ndiyo mnataka Kuwalazimisha waende Mahakamani wakawe Mawakili na Mahakimu ili Kiongozi wenu atoke ( atolewe ) upesi?

Hivi kwa jinsi ambavyo sasa hivi Tanzania chini ya Utawala huu wa Rais Samia Suluhu Hassan imerejesha vyema Uhusiano wake wa Kidiplomasia na zile nchi ambazo Kipindi cha Hayati Dkt. Magufuli ulitetereka mnadhani mtasikilizwa na kuonekana wa maana au mna Hoja au sana sana mtasanifiwa tu na Kupuuzwa?

CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa GENTAMYCINE nikiwa ni mwana CCM 'tukuka' kabisa ila mara kwa mara tena hapa hapa JamiiForums nimekuwa nikiwaambieni kuwa msipobadilisha 'Political Strategies' zenu mnapotea Kisiasa na Kidemokrasia na msipoangalia mnapoelekea muda ni si mrefu mtakuwa 'labelled Political Terrorist Group' ndani ya Tanzania na Chama chenu Kufutwa kabisa.

Najua kwa post yangu hii Kwenu leo mtanichukia na Kunitukana mno tu hapa, ila nawashauri CHADEMA rudini katika Misingi yenu, Jitafakarini na ikiwezekana Mjisahihishe kwa Ustawi wa baadae wa Chama chenu.

Ubalozi wa Marekani wala Balozi wa Marekani hakuna mwenye Mamlaka ya 'Kuishurutisha' Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais Samia Suluhu Hassan ifanye wanavyotaka Wao na niwaambie hili halitotokea hata Siku moja.

Mnaharibu wenyewe mnataka Msaada.
Sasa mkuu kwa akili yako wale wote waliye kuwa wakigaragara pale barabarani nje ya ubalozi ww umeaona wapo sawa, Bangi zile ndugu yangu, mimama na minyananyama yao inakwenda garagara barabarani,
Istoshe kwa wanao ufahamu ubalozi wa Marekani ulipo utakubaliana na mm kuwa Ile n barabara ipitayo ubalozini na siyo ubalozini, ningewaona wa maana Sana wangeingia ndani kwenye viwanja vya ubalozi Kama Kuna ambaye angerudi.
 
Sijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.

Mna uhakika wa 100% kuwa na Wao Wamarekani huko Kwao hakuna Ukiukwaji wa Kidemokrasia na Masuala ya Siasa? Mbona huwa hatukimbilii Balozi za Uingereza au Urusi au Ujerumani na hata China ikiwezekana?

Kwahiyo Kukimbilia Marekani ( katika Ubalozi wao ) ndiyo mnataka Kuwalazimisha waende Mahakamani wakawe Mawakili na Mahakimu ili Kiongozi wenu atoke ( atolewe ) upesi?

Hivi kwa jinsi ambavyo sasa hivi Tanzania chini ya Utawala huu wa Rais Samia Suluhu Hassan imerejesha vyema Uhusiano wake wa Kidiplomasia na zile nchi ambazo Kipindi cha Hayati Dkt. Magufuli ulitetereka mnadhani mtasikilizwa na kuonekana wa maana au mna Hoja au sana sana mtasanifiwa tu na Kupuuzwa?

CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa GENTAMYCINE nikiwa ni mwana CCM 'tukuka' kabisa ila mara kwa mara tena hapa hapa JamiiForums nimekuwa nikiwaambieni kuwa msipobadilisha 'Political Strategies' zenu mnapotea Kisiasa na Kidemokrasia na msipoangalia mnapoelekea muda ni si mrefu mtakuwa 'labelled Political Terrorist Group' ndani ya Tanzania na Chama chenu Kufutwa kabisa.

Najua kwa post yangu hii Kwenu leo mtanichukia na Kunitukana mno tu hapa, ila nawashauri CHADEMA rudini katika Misingi yenu, Jitafakarini na ikiwezekana Mjisahihishe kwa Ustawi wa baadae wa Chama chenu.

Ubalozi wa Marekani wala Balozi wa Marekani hakuna mwenye Mamlaka ya 'Kuishurutisha' Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais Samia Suluhu Hassan ifanye wanavyotaka Wao na niwaambie hili halitotokea hata Siku moja.

Mnaharibu wenyewe mnataka Msaada.

Kama ambavyo hakuna ideal gas, basi hakuna ideal democracy lakini kuna baadhi ya mataifa demokrasia yao inaaproach ideality.
 
CCM hata kizungu hakipandi, hicho kizungu alichoandika Catherine Ruge hamuwezi kukielewa, angekuwepo Mkapa angewasaidia.

Alichosema Balozi sio jibu kwa BAWACHA, Ni wito ametoa kwa Serikali dhalimu ya CCM kwamba ifuate sheria na misingi yake,Due process.

A man is innocent until proven guilty.
Waliofungwa Guantanamo bay waliafuata due process?
 
Ndo msubiri sasa mahakama itende haki. Kwanini wanashinikiza Marekani iingilie kati. Kwa hiyo wanataka waiingilie mahakama. Sasa demokrasia wanayoipigania iko wapi?
Kina tony hawawagi wajinga hivi
 
Sijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.

Mna uhakika wa 100% kuwa na Wao Wamarekani huko Kwao hakuna Ukiukwaji wa Kidemokrasia na Masuala ya Siasa? Mbona huwa hatukimbilii Balozi za Uingereza au Urusi au Ujerumani na hata China ikiwezekana?

Kwahiyo Kukimbilia Marekani ( katika Ubalozi wao ) ndiyo mnataka Kuwalazimisha waende Mahakamani wakawe Mawakili na Mahakimu ili Kiongozi wenu atoke ( atolewe ) upesi?

Hivi kwa jinsi ambavyo sasa hivi Tanzania chini ya Utawala huu wa Rais Samia Suluhu Hassan imerejesha vyema Uhusiano wake wa Kidiplomasia na zile nchi ambazo Kipindi cha Hayati Dkt. Magufuli ulitetereka mnadhani mtasikilizwa na kuonekana wa maana au mna Hoja au sana sana mtasanifiwa tu na Kupuuzwa?

CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa GENTAMYCINE nikiwa ni mwana CCM 'tukuka' kabisa ila mara kwa mara tena hapa hapa JamiiForums nimekuwa nikiwaambieni kuwa msipobadilisha 'Political Strategies' zenu mnapotea Kisiasa na Kidemokrasia na msipoangalia mnapoelekea muda ni si mrefu mtakuwa 'labelled Political Terrorist Group' ndani ya Tanzania na Chama chenu Kufutwa kabisa.

Najua kwa post yangu hii Kwenu leo mtanichukia na Kunitukana mno tu hapa, ila nawashauri CHADEMA rudini katika Misingi yenu, Jitafakarini na ikiwezekana Mjisahihishe kwa Ustawi wa baadae wa Chama chenu.

Ubalozi wa Marekani wala Balozi wa Marekani hakuna mwenye Mamlaka ya 'Kuishurutisha' Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais Samia Suluhu Hassan ifanye wanavyotaka Wao na niwaambie hili halitotokea hata Siku moja.

Mnaharibu wenyewe mnataka Msaada.
Thanks Popoma.

Umewachana vilivyo na mondo zilizotukuka kabisa.
 
CCM hata kizungu hakipandi, hicho kizungu alichoandika Catherine Ruge hamuwezi kukielewa, angekuwepo Mkapa angewasaidia.

Alichosema Balozi sio jibu kwa BAWACHA, Ni wito ametoa kwa Serikali dhalimu ya CCM kwamba ifuate sheria na misingi yake,Due process.

A man is innocent until proven guilty.
CCM haijui English , hiyo ni afadhali, ninavyoelewa CCM hata hicho kiswahili kinawapa shida
 
Sijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.

Mna uhakika wa 100% kuwa na Wao Wamarekani huko Kwao hakuna Ukiukwaji wa Kidemokrasia na Masuala ya Siasa? Mbona huwa hatukimbilii Balozi za Uingereza au Urusi au Ujerumani na hata China ikiwezekana?

Kwahiyo Kukimbilia Marekani ( katika Ubalozi wao ) ndiyo mnataka Kuwalazimisha waende Mahakamani wakawe Mawakili na Mahakimu ili Kiongozi wenu atoke ( atolewe ) upesi?

Hivi kwa jinsi ambavyo sasa hivi Tanzania chini ya Utawala huu wa Rais Samia Suluhu Hassan imerejesha vyema Uhusiano wake wa Kidiplomasia na zile nchi ambazo Kipindi cha Hayati Dkt. Magufuli ulitetereka mnadhani mtasikilizwa na kuonekana wa maana au mna Hoja au sana sana mtasanifiwa tu na Kupuuzwa?

CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa GENTAMYCINE nikiwa ni mwana CCM 'tukuka' kabisa ila mara kwa mara tena hapa hapa JamiiForums nimekuwa nikiwaambieni kuwa msipobadilisha 'Political Strategies' zenu mnapotea Kisiasa na Kidemokrasia na msipoangalia mnapoelekea muda ni si mrefu mtakuwa 'labelled Political Terrorist Group' ndani ya Tanzania na Chama chenu Kufutwa kabisa.

Najua kwa post yangu hii Kwenu leo mtanichukia na Kunitukana mno tu hapa, ila nawashauri CHADEMA rudini katika Misingi yenu, Jitafakarini na ikiwezekana Mjisahihishe kwa Ustawi wa baadae wa Chama chenu.

Ubalozi wa Marekani wala Balozi wa Marekani hakuna mwenye Mamlaka ya 'Kuishurutisha' Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais Samia Suluhu Hassan ifanye wanavyotaka Wao na niwaambie hili halitotokea hata Siku moja.

Mnaharibu wenyewe mnataka Msaada.
We chawa wa CCM tu

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom