Majibu ya Ubalozi wa Marekani kwa BAWACHA baada ya kushinikiza Freeman Mbowe kuachiwa huru

Majibu ya Ubalozi wa Marekani kwa BAWACHA baada ya kushinikiza Freeman Mbowe kuachiwa huru

Chadema hawawezi kufanikiwa kwa siasa zao za kuitoa serikali kwa kutumia nguvu za umma.....HAWAWEZI KUFANIKIWA HAYO.....

Ukiona chama kinatumia mbinu hizo KIPINDI HIKI....mbinu za kuzitumia njia zilizotumiwa kudai UHURU WA BAADHI YA NCHI....basi ujue hao ni malaghai wa siasa wanaotaka KUBUBUJISHA DAMU ZA WASIO NA HATIA ili tu wapate madaraka....

#NchiKwanza
#SerikaliMbiliMilele
#KaziIendelee
 
ila Mbowe alifikia pabaya sana!! Ugaidi!!
yaani ugaidi ni level nyigine kabisa.
Jina lake tayari limeingia kwenye Database ya Dunia.
Tena ni mfadhili na mla njama..aiseee, wamuhifadhi hukohuko
 
The right to have ABSOLUTE AND UNLIMITED POWER.....

Tanzania is a sovereign NATION💪

#KaziIendelee
#SerikaliMbiliMilele
 
Sijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.

Mna uhakika wa 100% kuwa na Wao Wamarekani huko Kwao hakuna Ukiukwaji wa Kidemokrasia na Masuala ya Siasa? Mbona huwa hatukimbilii Balozi za Uingereza au Urusi au Ujerumani na hata China ikiwezekana?

Kwahiyo Kukimbilia Marekani ( katika Ubalozi wao ) ndiyo mnataka Kuwalazimisha waende Mahakamani wakawe Mawakili na Mahakimu ili Kiongozi wenu atoke ( atolewe ) upesi?

Hivi kwa jinsi ambavyo sasa hivi Tanzania chini ya Utawala huu wa Rais Samia Suluhu Hassan imerejesha vyema Uhusiano wake wa Kidiplomasia na zile nchi ambazo Kipindi cha Hayati Dkt. Magufuli ulitetereka mnadhani mtasikilizwa na kuonekana wa maana au mna Hoja au sana sana mtasanifiwa tu na Kupuuzwa?

CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa GENTAMYCINE nikiwa ni mwana CCM 'tukuka' kabisa ila mara kwa mara tena hapa hapa JamiiForums nimekuwa nikiwaambieni kuwa msipobadilisha 'Political Strategies' zenu mnapotea Kisiasa na Kidemokrasia na msipoangalia mnapoelekea muda ni si mrefu mtakuwa 'labelled Political Terrorist Group' ndani ya Tanzania na Chama chenu Kufutwa kabisa.

Najua kwa post yangu hii Kwenu leo mtanichukia na Kunitukana mno tu hapa, ila nawashauri CHADEMA rudini katika Misingi yenu, Jitafakarini na ikiwezekana Mjisahihishe kwa Ustawi wa baadae wa Chama chenu.

Ubalozi wa Marekani wala Balozi wa Marekani hakuna mwenye Mamlaka ya 'Kuishurutisha' Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais Samia Suluhu Hassan ifanye wanavyotaka Wao na niwaambie hili halitotokea hata Siku moja.

Mnaharibu wenyewe mnataka Msaada.
"Bita ni bita tu Mura". Hii ni mojawapo ya silaha.
 
Kitaratibu ilikuwa malalamiko hayo yalikuwa yapelekwe UN, lakini si Marekani ambao ni taifa na wanakosa uhalali wa kuingilia moja kwa moja mambo ya nchi fulani, zaidi sana labda kuondoa misaada.

Pia wazungu wanatuchora sana na kujua akili zetu zimeishia wapi, sina hakika kama ni wazuri katika kuondoa matatizo ya namna hii katika nchi yoyote duniani kwa faida ya hyo nchi.

Swali; hv Uganda kuna demokrasia kuzidi Tanzania, vp uhusiano wake na Marekani. Tuamke, utatuzi sahihi wa matatizo yetu u mikononi mwetu watz, generally waafrika.

Jinsi barua ilivoandikwa juu ya utawala wa awamu ya tano mtu wa nje anaweza fikiri watz tulikuwa jehanamu, mi nasema ukikuza jambo lolote ama kwa chuki au malengo yako fulani, huja kudharauliwa hata kama ulikuwa na hoja za mantiki.

Marekani anajali maslahi yake, ukitishia maslahi yake mara moja unageuka dikteta hata kama sio.
nimemjibu GENTAMYCINE kwamba kwanini bawacha walikimbilia ubalozini... nimemtaja LISSU kama mfano nae alikimbilia UBALOZINI hukohuko akafanikiwa kuokoka leo hii kama si kukimbilia huko tungekuwa hatunae.
 
nimemjibu GENTAMYCINE kwamba kwanini bawacha walikimbilia ubalozini... nimemtaja LISSU kama mfano nae alikimbilia UBALOZINI hukohuko akafanikiwa kuokoka leo hii kama si kukimbilia huko tungekuwa hatunae.
Kumbe BAWACHA walikimbilia ubalozini kuomba HIFADHI kama Lissu...hayaa!

#SerikaliMbiliMilele
 
Wamarekani wanajua Sana athari za ugaidi,hivyo Kamwe hawawezi kumtetea gaidi Mbowe.

Aibu nimeipata Mimi badala ya wafuasi wa chadema kwa majibu haya ya balozi
 
haipo tena maana mwamba yupo nyuma ya nondo yaani ananyea debe kwa ujinga wake kuijaribu nchi na hakuna tena mwenyekiti wa kuweza kuongoza chama bila mbowe hakuna chadema
Ni kweli Chadema haipo kama ambavyo aliyefanya ife anahangaikia roho yake kulee kwa LUSFA jehenamu.
 
Ni kweli Chadema haipo kama ambavyo aliyefanya ife anahangaikia roho yake kulee kwa LUSFA jehenamu.
yoooote mtayasema lakini mbowe mlimfanya kama malaika wenu ambaye hakosei sasa mtashangaa ushaidi utakaotolewa mahakamani we hushangai kwa nini wale watu walikuwa ndani tangu mwaka jana hajawahi kuwasemea hata siku moja na ni wasaidizi wake sasa wameamua kumwaga mboga
 
CCM hata kizungu hakipandi, hicho kizungu alichoandika Catherine Ruge hamuwezi kukielewa, angekuwepo Mkapa angewasaidia.

Alichosema Balozi sio jibu kwa BAWACHA, Ni wito ametoa kwa Serikali dhalimu ya CCM kwamba ifuate sheria na misingi yake,Due process.

A man is innocent until proven guilty.
Sawa msomi
 
Kumbe BAWACHA walikimbilia ubalozini kuomba HIFADHI kama Lissu...hayaa!

#SerikaliMbiliMilele
kila mkimbilia ubalozi huenda kwa malengo yake. we jiendekeze tu kukumbatia dushe la lumumba utatotoa muda si mrefu
 
kila mkimbilia ubalozi huenda kwa malengo yake. we jiendekeze tu kukumbatia dushe la lumumba utatotoa muda si mrefu
🤣🤣
Lumumba kuzuri kaka ...

Karibu hapa MANDI tujadili uzalendo kuntu wa nchi.....

#SerikaliMbiliMilele
 
weDADA usijitoe ufaham kama umebugia 4 finger
🤣🤣Mimi ni Kaka mkuu...

Unakuja na "argumentum ad hominem" eee?!!!

Jiandae na press ya MNYIKA hiyo kesho.....

ENDELEA KUUFUKUZA UPEPO

#SiempreCCM
 
Alichosema Balozi sio jibu kwa BAWACHA, Ni wito ametoa kwa Serikali dhalimu ya CCM kwamba ifuate sheria na misingi yake,Due process.
Hukusoma literature wewe
Due process according to the law
Sheria ya ugaidi haina dhamana,mana yake Mbowe yupo kwenye mchakato sahihi,transparency,maana yake amefikishwa kwenye mahaka ya wazi
Tutulie tu,wamarekani wameshawachoka
 
Back
Top Bottom