Mbona Balozi hakugusia waliokaa uchi, au hiyo si due process? Wadada wamekaa pose ya kulika na kuonyesha makalio yao shepu nzuri zimejaajaa, nadhani wanataka biashara ya ushikwaji wakajiuze USA. Is Mr Ruge married?Ana watoto? Anawaleaje?Hukusoma literature wewe
Due process according to the law
Sheria ya ugaidi haina dhamana,mana yake Mbowe yupo kwenye mchakato sahihi,transparency,maana yake amefikishwa kwenye mahaka ya wazi
Tutulie tu,wamarekani wameshawachoka
Rwanda Wapinzan huwa wanapotezwa kabisa Burundi ndo kabisa hawasikiki Kenya apo wasaniii tu misri pale wamenyongwa wote Hawa mabeberu wanaangalia maslahi tu sasa acha ukichanganya na ubinafsi wa upinzan uchwara ndo kabisa wamejibiwa kizarauKitaratibu ilikuwa malalamiko hayo yalikuwa yapelekwe UN, lakini si Marekani ambao ni taifa na wanakosa uhalali wa kuingilia moja kwa moja mambo ya nchi fulani, zaidi sana labda kuondoa misaada.
Pia wazungu wanatuchora sana na kujua akili zetu zimeishia wapi, sina hakika kama ni wazuri katika kuondoa matatizo ya namna hii katika nchi yoyote duniani kwa faida ya hyo nchi.
Swali; hv Uganda kuna demokrasia kuzidi Tanzania, vp uhusiano wake na Marekani. Tuamke, utatuzi sahihi wa matatizo yetu u mikononi mwetu watz, generally waafrika.
Jinsi barua ilivoandikwa juu ya utawala wa awamu ya tano mtu wa nje anaweza fikiri watz tulikuwa jehanamu, mi nasema ukikuza jambo lolote ama kwa chuki au malengo yako fulani, huja kudharauliwa hata kama ulikuwa na hoja za mantiki.
Marekani anajali maslahi yake, ukitishia maslahi yake mara moja unageuka dikteta hata kama sio.
Tafsiri ni haki ya kila mtu.CCM hata kizungu hakipandi, hicho kizungu alichoandika Catherine Ruge hamuwezi kukielewa, angekuwepo Mkapa angewasaidia.
Alichosema Balozi sio jibu kwa BAWACHA, Ni wito ametoa kwa Serikali dhalimu ya CCM kwamba ifuate sheria na misingi yake,Due process.
A man is innocent until proven guilty.
Sikiliza,hata Yule jiwe mwendazake hakulazimishwa Na marekani Kwa lolote Ila jifunze kilichompata.Sijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.
Mna uhakika wa 100% kuwa na Wao Wamarekani huko Kwao hakuna Ukiukwaji wa Kidemokrasia na Masuala ya Siasa? Mbona huwa hatukimbilii Balozi za Uingereza au Urusi au Ujerumani na hata China ikiwezekana?
Kwahiyo Kukimbilia Marekani ( katika Ubalozi wao ) ndiyo mnataka Kuwalazimisha waende Mahakamani wakawe Mawakili na Mahakimu ili Kiongozi wenu atoke ( atolewe ) upesi?
Hivi kwa jinsi ambavyo sasa hivi Tanzania chini ya Utawala huu wa Rais Samia Suluhu Hassan imerejesha vyema Uhusiano wake wa Kidiplomasia na zile nchi ambazo Kipindi cha Hayati Dkt. Magufuli ulitetereka mnadhani mtasikilizwa na kuonekana wa maana au mna Hoja au sana sana mtasanifiwa tu na Kupuuzwa?
CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa GENTAMYCINE nikiwa ni mwana CCM 'tukuka' kabisa ila mara kwa mara tena hapa hapa JamiiForums nimekuwa nikiwaambieni kuwa msipobadilisha 'Political Strategies' zenu mnapotea Kisiasa na Kidemokrasia na msipoangalia mnapoelekea muda ni si mrefu mtakuwa 'labelled Political Terrorist Group' ndani ya Tanzania na Chama chenu Kufutwa kabisa.
Najua kwa post yangu hii Kwenu leo mtanichukia na Kunitukana mno tu hapa, ila nawashauri CHADEMA rudini katika Misingi yenu, Jitafakarini na ikiwezekana Mjisahihishe kwa Ustawi wa baadae wa Chama chenu.
Ubalozi wa Marekani wala Balozi wa Marekani hakuna mwenye Mamlaka ya 'Kuishurutisha' Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais Samia Suluhu Hassan ifanye wanavyotaka Wao na niwaambie hili halitotokea hata Siku moja.
Mnaharibu wenyewe mnataka Msaada.
Kwa kweli kuwaza kuwa Marekani ndio tiba ya madai yao, ni fikra za kikoloni sana. Kama wao chadema hawawezi ingia barabarani, na kutegemea ubalozi wa US ndio uwasaidie, ni ishara kubwa kuwa kama taasisi hawajielewi na wameshindwa kutimiza wajibu wao.Sijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.
Mna uhakika wa 100% kuwa na Wao Wamarekani huko Kwao hakuna Ukiukwaji wa Kidemokrasia na Masuala ya Siasa? Mbona huwa hatukimbilii Balozi za Uingereza au Urusi au Ujerumani na hata China ikiwezekana?
Kwahiyo Kukimbilia Marekani ( katika Ubalozi wao ) ndiyo mnataka Kuwalazimisha waende Mahakamani wakawe Mawakili na Mahakimu ili Kiongozi wenu atoke ( atolewe ) upesi?
Hivi kwa jinsi ambavyo sasa hivi Tanzania chini ya Utawala huu wa Rais Samia Suluhu Hassan imerejesha vyema Uhusiano wake wa Kidiplomasia na zile nchi ambazo Kipindi cha Hayati Dkt. Magufuli ulitetereka mnadhani mtasikilizwa na kuonekana wa maana au mna Hoja au sana sana mtasanifiwa tu na Kupuuzwa?
CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa GENTAMYCINE nikiwa ni mwana CCM 'tukuka' kabisa ila mara kwa mara tena hapa hapa JamiiForums nimekuwa nikiwaambieni kuwa msipobadilisha 'Political Strategies' zenu mnapotea Kisiasa na Kidemokrasia na msipoangalia mnapoelekea muda ni si mrefu mtakuwa 'labelled Political Terrorist Group' ndani ya Tanzania na Chama chenu Kufutwa kabisa.
Najua kwa post yangu hii Kwenu leo mtanichukia na Kunitukana mno tu hapa, ila nawashauri CHADEMA rudini katika Misingi yenu, Jitafakarini na ikiwezekana Mjisahihishe kwa Ustawi wa baadae wa Chama chenu.
Ubalozi wa Marekani wala Balozi wa Marekani hakuna mwenye Mamlaka ya 'Kuishurutisha' Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais Samia Suluhu Hassan ifanye wanavyotaka Wao na niwaambie hili halitotokea hata Siku moja.
Mnaharibu wenyewe mnataka Msaada.
UPUMBAVU HAUNG'OI MENO!KW
WAKUELEWA WAMEELEWA HAO CHADEMA VICHWA VIGUMU KWANZA LEO TUKO BUSY TUNAENDA KUPOKEA NDEGE MPYA
Kuwaza kuwa majirani WA familia yako hawana msaada wowote mnapopigana.Tanzania ni kisiwa inaweza kufanya lolote ETI!Kwa kweli kuwaza kuwa Marekani ndio tiba ya madai yao, ni fikra za kikoloni sana. Kama wao chadema hawawezi ingia barabarani, na kutegemea ubalozi wa US ndio uwasaidie, ni ishara kubwa kuwa kama taasisi hawajielewi na wameshindwa kutimiza wajibu wao.
By, the way, Int' Community huwa haijali masuala ya Demokrasia pindi maslahi na mahusiano na nchi husika yako mazuri. Ingekuwa ni hivyo, Museven angekuwa ameshavamiwa miaka mingi sana. Kwa sasa, Samia ni 'darling of the west'. Hakuna msaada wanaoweza kuupata.
Wewe acha kujipendekeza, akina Makonda wamefanya atrocities nyingi sana ktk nchi hii lakini kila siku wanalala na kuamkia majumbani mwao.Sijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.
Mna uhakika wa 100% kuwa na Wao Wamarekani huko Kwao hakuna Ukiukwaji wa Kidemokrasia na Masuala ya Siasa? Mbona huwa hatukimbilii Balozi za Uingereza au Urusi au Ujerumani na hata China ikiwezekana?
Kwahiyo Kukimbilia Marekani ( katika Ubalozi wao ) ndiyo mnataka Kuwalazimisha waende Mahakamani wakawe Mawakili na Mahakimu ili Kiongozi wenu atoke ( atolewe ) upesi?
Hivi kwa jinsi ambavyo sasa hivi Tanzania chini ya Utawala huu wa Rais Samia Suluhu Hassan imerejesha vyema Uhusiano wake wa Kidiplomasia na zile nchi ambazo Kipindi cha Hayati Dkt. Magufuli ulitetereka mnadhani mtasikilizwa na kuonekana wa maana au mna Hoja au sana sana mtasanifiwa tu na Kupuuzwa?
CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa GENTAMYCINE nikiwa ni mwana CCM 'tukuka' kabisa ila mara kwa mara tena hapa hapa JamiiForums nimekuwa nikiwaambieni kuwa msipobadilisha 'Political Strategies' zenu mnapotea Kisiasa na Kidemokrasia na msipoangalia mnapoelekea muda ni si mrefu mtakuwa 'labelled Political Terrorist Group' ndani ya Tanzania na Chama chenu Kufutwa kabisa.
Najua kwa post yangu hii Kwenu leo mtanichukia na Kunitukana mno tu hapa, ila nawashauri CHADEMA rudini katika Misingi yenu, Jitafakarini na ikiwezekana Mjisahihishe kwa Ustawi wa baadae wa Chama chenu.
Ubalozi wa Marekani wala Balozi wa Marekani hakuna mwenye Mamlaka ya 'Kuishurutisha' Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais Samia Suluhu Hassan ifanye wanavyotaka Wao na niwaambie hili halitotokea hata Siku moja.
Mnaharibu wenyewe mnataka Msaada.
Sasa mkuu kwa akili yako wale wote waliye kuwa wakigaragara pale barabarani nje ya ubalozi ww umeaona wapo sawa, Bangi zile ndugu yangu, mimama na minyananyama yao inakwenda garagara barabarani,Sijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.
Mna uhakika wa 100% kuwa na Wao Wamarekani huko Kwao hakuna Ukiukwaji wa Kidemokrasia na Masuala ya Siasa? Mbona huwa hatukimbilii Balozi za Uingereza au Urusi au Ujerumani na hata China ikiwezekana?
Kwahiyo Kukimbilia Marekani ( katika Ubalozi wao ) ndiyo mnataka Kuwalazimisha waende Mahakamani wakawe Mawakili na Mahakimu ili Kiongozi wenu atoke ( atolewe ) upesi?
Hivi kwa jinsi ambavyo sasa hivi Tanzania chini ya Utawala huu wa Rais Samia Suluhu Hassan imerejesha vyema Uhusiano wake wa Kidiplomasia na zile nchi ambazo Kipindi cha Hayati Dkt. Magufuli ulitetereka mnadhani mtasikilizwa na kuonekana wa maana au mna Hoja au sana sana mtasanifiwa tu na Kupuuzwa?
CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa GENTAMYCINE nikiwa ni mwana CCM 'tukuka' kabisa ila mara kwa mara tena hapa hapa JamiiForums nimekuwa nikiwaambieni kuwa msipobadilisha 'Political Strategies' zenu mnapotea Kisiasa na Kidemokrasia na msipoangalia mnapoelekea muda ni si mrefu mtakuwa 'labelled Political Terrorist Group' ndani ya Tanzania na Chama chenu Kufutwa kabisa.
Najua kwa post yangu hii Kwenu leo mtanichukia na Kunitukana mno tu hapa, ila nawashauri CHADEMA rudini katika Misingi yenu, Jitafakarini na ikiwezekana Mjisahihishe kwa Ustawi wa baadae wa Chama chenu.
Ubalozi wa Marekani wala Balozi wa Marekani hakuna mwenye Mamlaka ya 'Kuishurutisha' Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais Samia Suluhu Hassan ifanye wanavyotaka Wao na niwaambie hili halitotokea hata Siku moja.
Mnaharibu wenyewe mnataka Msaada.
Sijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.

Tank nilijua brain ,ok tankUwe na Adabu I'm CCM Think Tank Oky?
Waliofungwa Guantanamo bay waliafuata due process?CCM hata kizungu hakipandi, hicho kizungu alichoandika Catherine Ruge hamuwezi kukielewa, angekuwepo Mkapa angewasaidia.
Alichosema Balozi sio jibu kwa BAWACHA, Ni wito ametoa kwa Serikali dhalimu ya CCM kwamba ifuate sheria na misingi yake,Due process.
A man is innocent until proven guilty.
Kina tony hawawagi wajinga hiviNdo msubiri sasa mahakama itende haki. Kwanini wanashinikiza Marekani iingilie kati. Kwa hiyo wanataka waiingilie mahakama. Sasa demokrasia wanayoipigania iko wapi?
Thanks Popoma.Sijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.
Mna uhakika wa 100% kuwa na Wao Wamarekani huko Kwao hakuna Ukiukwaji wa Kidemokrasia na Masuala ya Siasa? Mbona huwa hatukimbilii Balozi za Uingereza au Urusi au Ujerumani na hata China ikiwezekana?
Kwahiyo Kukimbilia Marekani ( katika Ubalozi wao ) ndiyo mnataka Kuwalazimisha waende Mahakamani wakawe Mawakili na Mahakimu ili Kiongozi wenu atoke ( atolewe ) upesi?
Hivi kwa jinsi ambavyo sasa hivi Tanzania chini ya Utawala huu wa Rais Samia Suluhu Hassan imerejesha vyema Uhusiano wake wa Kidiplomasia na zile nchi ambazo Kipindi cha Hayati Dkt. Magufuli ulitetereka mnadhani mtasikilizwa na kuonekana wa maana au mna Hoja au sana sana mtasanifiwa tu na Kupuuzwa?
CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa GENTAMYCINE nikiwa ni mwana CCM 'tukuka' kabisa ila mara kwa mara tena hapa hapa JamiiForums nimekuwa nikiwaambieni kuwa msipobadilisha 'Political Strategies' zenu mnapotea Kisiasa na Kidemokrasia na msipoangalia mnapoelekea muda ni si mrefu mtakuwa 'labelled Political Terrorist Group' ndani ya Tanzania na Chama chenu Kufutwa kabisa.
Najua kwa post yangu hii Kwenu leo mtanichukia na Kunitukana mno tu hapa, ila nawashauri CHADEMA rudini katika Misingi yenu, Jitafakarini na ikiwezekana Mjisahihishe kwa Ustawi wa baadae wa Chama chenu.
Ubalozi wa Marekani wala Balozi wa Marekani hakuna mwenye Mamlaka ya 'Kuishurutisha' Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais Samia Suluhu Hassan ifanye wanavyotaka Wao na niwaambie hili halitotokea hata Siku moja.
Mnaharibu wenyewe mnataka Msaada.
CCM haijui English , hiyo ni afadhali, ninavyoelewa CCM hata hicho kiswahili kinawapa shidaCCM hata kizungu hakipandi, hicho kizungu alichoandika Catherine Ruge hamuwezi kukielewa, angekuwepo Mkapa angewasaidia.
Alichosema Balozi sio jibu kwa BAWACHA, Ni wito ametoa kwa Serikali dhalimu ya CCM kwamba ifuate sheria na misingi yake,Due process.
A man is innocent until proven guilty.
We chawa wa CCM tuSijui ni nani aliyewaaminisha Watanzania kuwa ukiwa na tatizo la Kisiasa na Kidemokrasia Basi Kimbilio huwa ni Ubalozi wa Marekani au nchini Marekani.