Majibu ya usahili wa kada mbalimbali Tengeru Institute of community development Yalishatoka?

Angalia kwenye app kwenye hipo shortlisted wamekuandikia nini afu utupe feedback
Ukiangalia kweny app yao inaonesha NOT SELECTED FOR NULL ,,Halaf ukilog in na kuangalia kweny tovuti inaonesha SHORTLISTED...Sasa sielewi kipi ni kipi Maana App na tovuti yao vinatofautiana....au nyie wadau mnaelewa Nini ambacho mi si elewi
 
Mlifanya oral wangapi?tuendelee kuomba Mungu yatoke vizuri inaweza kuwa wamekuweka database kama utakosa placement au pia unaweza kupata kwenye hiyo post
 
Oral bhna tulifanikiwaga kuingia wanne aisee japo written nilifanikiwa kuongoza ,,Ila oral ilifanyika kwa vipande vinne 1.KUANDAA PRESENTATION KWA TOPIC UKO NAYO INTERESTED (for 1hr).,2. Kuprisent TOPIC YAKO MBELE YA PANEL NA unaASSUME PANEL NI WANAFUNZI, 3. ORAL QNS FROM PRESENTATION ,,NILIULIZWAGWA MASWALI MATANO NANILIJIBU YOTE ...HVYO MARKS NAISI ZILITOKA KWENY HIZO SEHEM 3
 
sawa sawa ulipresent vizuri ?kwa ulivyojiaccess?maana nadhani ishu inaweza kuwa hapo
 
Aaah KWA Mimi niliona poa lkn cjui kwa wenzangu watatu walifanyeje kwa upande wao na pia uwezi jua marking za panel..Maana unaweza hisi umefanya poa lkn labda kuna mwingine kafanya poa Zaid yako...uwezi jua mwenzako kafanyeje aisee ...yote kwa yote Kila mtu ana bahati yake ikitokea mwingine kapata basi unajua alifanya vzr Zaid yako...
 
Yani kwenye post za TA ukizingua kwenye kupresent ujue hata kwenye kuongea haitakusaidia kwasababu unaajiriwa ukafundishe sasa kama kwenye kufundisha labda kulikuwa na mistake ndo shda lakini chamuhimu uhai na labda bahati ya mtu
 
Mie nilipresent vzr tu kwa upnde wangu, ss siwezi jua kwa wengne wamefanyeje,, mie nilijitahidi kuakikisha nafanya vzr zaidi, nakumbuka kweny kupresent nilintroduce nitakachoenda kicover zen nikatilika nilicho andaa, nikimaliza kipart fulan nawauliza MMEELEWA? Zen naendelea ,unaona stude wanaongea unawanyamazisha, unaona mwingine anachezea simu ka hayuko makin kukusikiliza ,unamuuliza ,zen unamstposha ,nakumwambia unataka usikivu wako, Unaendelea na pindi lako una conclude, zen unaingia kweny maswali ... Huwezi jua wengine wamefanyeje pia ,,lkn pia ikitokea hajapata unajipanga na nyingine fursa maisha yanaendelea
 
Yes ngoja tusubiri pdf nadhani zitatoka sio muda mrefu
 
Nmejaribu kuwapigia imepokelewa nmemuuliza kuhusu matokeo anasema Bado,, wakitoa wanaweka kweny website yao ya utumishi kuona placement ya pdf toka utumishi ,zen anasema ukiiona hakuna feedback back yoyote ujue Bado hayajatoka....Sasa sijajua majibu halisia au ni yale yakutaka kutowasumbua kuwapigia simu
 
Basi endelea kusubiri PDF mkuu
 
Sasa ishu ni hiyo feedback waitoa kupitia status au kwenye simu au placement??
 
Ndo hapo ss lkn ngoja niendelee na harakt zingne kwanza hii mambo ni we kanimeisahau kAbjsa, ni assume watu walipigiwa simu utafutaji wetu uendelee bas ndio Cha muhimu
 
KamA wamereadvertse watu wako kzn mzee
 
Back
Top Bottom