Majibu ya usahili wa kada mbalimbali Tengeru Institute of community development Yalishatoka?

data base ipo ndio hao ni watumishi kama watumishi wengine mzee
Utajuaje ka umeingia kwenye data base ...na halafu mpka nafasi zipatikane kigezo cha kuchukua kwenye database kipoje ikitokea taaluma moja mpo na 10 nafs moja ,,unatumika utaratibu gani kuchukuliwa ?? Kwa anaejua
 
Ukiona haupo pdf na ujapigiwa sm ujue umekandwa pamban na nyingine maisha yaendlee
naomba kujua kitu hapa kwenye a/c ya ajira portal ....mfano ilifanikiwa kwenye mpka usahili wa mwisho wa mahojiano halafu kwenye ile nafasi baada kuandika SELECTED FOR ORAL imebadilika imeandika neno moja SHORTLISTED tu na haina maneno mengine kabisa inakuwa inaamaanisha nini wadau? Na ukiangalia pdf haijatoka wala kupigiwa simu kuitwa kazini ,,, ...ina maanisha nini hiii tusaidiane hapa
 
Attachments

  • Screenshot_20221111-111553.jpg
    Screenshot_20221111-111553.jpg
    9.6 KB · Views: 18
Kujua kama upo data base ningumu lakini kama mpo 10 nafasi ni moja anachukuliwa yule aliyepata marks kubwa kwenye oral kati yenu wale 10
Utajuaje ka umeingia kwenye data base ...na halafu mpka nafasi zipatikane kigezo cha kuchukua kwenye database kipoje ikitokea taaluma moja mpo na 10 nafs moja ,,unatumika utaratibu gani kuchukuliwa ?? Kwa anaejua
 
View attachment 2413673naomba kujua kitu hapa kwenye a/c ya ajira portal ....mfano ilifanikiwa kwenye mpka usahili wa mwisho wa mahojiano halafu kwenye ile nafasi baada kuandika SELECTED FOR ORAL imebadilika imeandika neno moja SHORTLISTED tu na haina maneno mengine kabisa inakuwa inaamaanisha nini wadau? Na ukiangalia pdf haijatoka wala kupigiwa simu kuitwa kazini ,,, ...ina maanisha nini hiii tusaidiane hapa
Ulifanya oral lini na taasisi gani na post zilikuwa ngapi?
 
View attachment 2413673naomba kujua kitu hapa kwenye a/c ya ajira portal ....mfano ilifanikiwa kwenye mpka usahili wa mwisho wa mahojiano halafu kwenye ile nafasi baada kuandika SELECTED FOR ORAL imebadilika imeandika neno moja SHORTLISTED tu na haina maneno mengine kabisa inakuwa inaamaanisha nini wadau? Na ukiangalia pdf haijatoka wala kupigiwa simu kuitwa kazini ,,, ...ina maanisha nini hiii tusaidiane hapa
Angalia kwenye app kwenye hipo shortlisted wamekuandikia nini afu utupe feedback
 
Naombeni muongozo wakuu ivi izi saili za tutorial assistant na assistant lecturer zina database?? Kama hizi zingine nawasilisha wakuu
Sidhani aisee maana vyuo ndio wanaendesha hizi saili.

100% wanataka wakuone unavyotema ung'eng'ene mbele yao kabla hawajakukabidhi darasa
 
Mimi sijaona hili
Zinakuwepo sema tatizo hizi nafasi hazitangazwi kila mara na ni ngumu sana kukuta ila post uliyofanyia chuo x imetangazwa tena na chuo y hapo ndo maana hata inaonekana haina data base
 
Subiri pdf kumbe mmefanya juzi tu mzee
Kwanini unasema tulifanya juzi tu wakt sahv ni mwezi na ka wiki mbili kimya ....au majibu yanaweza kuchelewa mpka miezi 3 au 4??.... Maana jna niliona pdf ya Muce iliondikwa trh 25 oktoba22 na Muce inaonesha waliofanya usahili trh 16-18.. Ila waliopita walitakiwa kufika chuoni kukamilisha taratibu za ajira tarh 27sep 22-08okt22 Sasa pdf imetoka tarh 11/11/2022....imekaaje hiii
 
Kuna wenzio walifànya mwezi 8 na hawajatoa mzee muce ile ni chuo kikuu labda kiliendesha interview chenyewe
 
Mu
Kwanini unasema tulifanya juzi tu wakt sahv ni mwezi na ka wiki mbili kimya ....au majibu yanaweza kuchelewa mpka miezi 3 au 4??.... Maana jna niliona pdf ya Muce iliondikwa trh 25 oktoba22 na Muce inaonesha waliofanya usahili trh 16-18.. Ila waliopita walitakiwa kufika chuoni kukamilisha taratibu za ajira tarh 27sep 22-08okt22 Sasa pdf imetoka tarh 11/11/2022....imekaaje hiii
Muce walipigiwa simu muda mrefu tu pdf ile ni upuuzi tu
 
Back
Top Bottom