Wanjax jr
JF-Expert Member
- Jun 4, 2020
- 491
- 1,261
- Thread starter
- #21
Utajuaje ka umeingia kwenye data base ...na halafu mpka nafasi zipatikane kigezo cha kuchukua kwenye database kipoje ikitokea taaluma moja mpo na 10 nafs moja ,,unatumika utaratibu gani kuchukuliwa ?? Kwa anaejuadata base ipo ndio hao ni watumishi kama watumishi wengine mzee