Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Yes, maana hakuna Rais wa CCM aliyenunua wapinzani na waliogoma kununuliwa wakafilisiwa ...Tukichukua miaka yetu 30 yeye Rais Magufuli amefanya zaidi yetu sisi wote
UKWELI MCHUNGU!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, maana hakuna Rais wa CCM aliyenunua wapinzani na waliogoma kununuliwa wakafilisiwa ...Tukichukua miaka yetu 30 yeye Rais Magufuli amefanya zaidi yetu sisi wote
UKWELI MCHUNGU!
Serukamba alishajibu hizi perepeteNaheshimu mawazo yako Thadei Ole Mushi,nilijua utatutajia nini kimempata Ndugai lakini umeishia kupamba pambo maua,kupiga maneno na kutuletea maajabu ya Bongo,bongo sihami.Unasema awamu ya tano imeishia kununua wapinzani na kukopa Trillion 29,ninukuu ya Mzee Mwinyi sijui kama nainukuu sawa sawa "tukichukua miaka yetu 30 yeye Rais Magufuli amefanya zaidi yetu sisi wote" hii ni busara kubwa kwako Thadei Ole Mushi,Sina haja ya kutaja Mambo makubwa aliyofanya Rais Magufuli maana kila Mtanzania anajua.
Thadei umesema wenye akili uwa hawashangai kwa nini deni la Taifa linaongezeka,wao ujikita kuangalia kwa nini tumekopa na matumizi sahihi ya mkopo wenyewe,hapa umesema vyema na mfano wa matumizi sahihi ni Awamu ya tano,jua linajua,mvua inajua,mbingu na ardhi zinajua lakini Thadei umejisifia sana kuwa kukopa sio tatizo kwa sababu Marekani imekopa,Uingereza imekopa na China imekopa,Sasa nikufungue akili Thadei Ole Mushi,
Sikatai kuwa na Marekani wanadaiwa but tujiulize Marekani bado inadai nchi nyingi mabilioni ya madeni pia China inaidai karibu bara zima la Africa
Swali.
Sisi Tanzania tunawadai nchi gani?
Ili tufidie Kama China inavyo daiwa madeni bilioni USA 100 afu inadai USA TIRIONI 100
tusijilinganishe na USA ambayo inadai madeni fedha nyingi kuliko wanavyodaiwa
Muulizeni Ole China japo inadaiwa but inadai madeni kiasi gani duniani na Africa?
China ndo waliishikilia bandari ya Singapore kwa miaka 30 kwa kuidai, China ndo wameshika mateka uwanja wa Kampala kwa kudai madeni
China inaidai Kenya mabilioni ya shilingi.
SWALI
Sisi Tanzania tunawadai nchi gani?
na Tirioni ngapi?
Tunadaiwa Tirioni 70, Sasa sisi tunadai nchi nyingine Tirioni ngapi
Endeleeni kujilinganisha na madeni ya marekani na China ambao wao wanadai zaidi kuliko wanavyodaiwa ipo siku nchi itapigwa mnada,namsupport Ndugai ila siungi mkono tozo,Tanzania ni tajiri tukutane 2025.
Kauli hiyo umeielewa?kafanya nini zaidi ya wenzake?he kaua zaidi?kakopa zaidi?kavunja katiba zaidi?kateka zaidi?au kajenga miundombinu zaidi? Kauli ipo general Sana hiyo!were umeelewajeTukichukua miaka yetu 30 yeye Rais Magufuli amefanya zaidi yetu sisi wote
UKWELI MCHUNGU!
Trillion 29 sio mchezo,ukichukuwa vitu halivyo fanya magufuli ni vichache sana kulinganisha na hizo pesa,propaganda ni nyingi sana wakati wa magufuli kuliko uhalisia,mimi naona wazo la Nape ni sahihi tufanye audit roughly ya huyu dictator,Naheshimu mawazo yako Thadei Ole Mushi,nilijua utatutajia nini kimempata Ndugai lakini umeishia kupamba pambo maua,kupiga maneno na kutuletea maajabu ya Bongo,bongo sihami.Unasema awamu ya tano imeishia kununua wapinzani na kukopa Trillion 29,ninukuu ya Mzee Mwinyi sijui kama nainukuu sawa sawa "tukichukua miaka yetu 30 yeye Rais Magufuli amefanya zaidi yetu sisi wote" hii ni busara kubwa kwako Thadei Ole Mushi,Sina haja ya kutaja Mambo makubwa aliyofanya Rais Magufuli maana kila Mtanzania anajua.
Thadei umesema wenye akili uwa hawashangai kwa nini deni la Taifa linaongezeka,wao ujikita kuangalia kwa nini tumekopa na matumizi sahihi ya mkopo wenyewe,hapa umesema vyema na mfano wa matumizi sahihi ni Awamu ya tano,jua linajua,mvua inajua,mbingu na ardhi zinajua lakini Thadei umejisifia sana kuwa kukopa sio tatizo kwa sababu Marekani imekopa,Uingereza imekopa na China imekopa,Sasa nikufungue akili Thadei Ole Mushi,
Sikatai kuwa na Marekani wanadaiwa but tujiulize Marekani bado inadai nchi nyingi mabilioni ya madeni pia China inaidai karibu bara zima la Africa
Swali.
Sisi Tanzania tunawadai nchi gani?
Ili tufidie Kama China inavyo daiwa madeni bilioni USA 100 afu inadai USA TIRIONI 100
tusijilinganishe na USA ambayo inadai madeni fedha nyingi kuliko wanavyodaiwa
Muulizeni Ole China japo inadaiwa but inadai madeni kiasi gani duniani na Africa?
China ndo waliishikilia bandari ya Singapore kwa miaka 30 kwa kuidai, China ndo wameshika mateka uwanja wa Kampala kwa kudai madeni
China inaidai Kenya mabilioni ya shilingi.
SWALI
Sisi Tanzania tunawadai nchi gani?
na Tirioni ngapi?
Tunadaiwa Tirioni 70, Sasa sisi tunadai nchi nyingine Tirioni ngapi
Endeleeni kujilinganisha na madeni ya marekani na China ambao wao wanadai zaidi kuliko wanavyodaiwa ipo siku nchi itapigwa mnada,namsupport Ndugai ila siungi mkono tozo,Tanzania ni tajiri tukutane 2025.
HUYU jamaa akili yake haifunguki bali yy ni kama kuwadi tu na haelewi analoliandika.anajifanya ana akili kubwa lkn kumbe ni kama seti tupu.pia inaonekana hajui uchumi ni nini na madhara ya kuwa na madeni makubwa ni yapi.Hayati Benjamini W.Mkapa aliridhi madeni makubwa na sote tunajua wakati ule tulipitia katika mazingira gani.sasa tunataka kurudia kule kule tulikohama.Ndugai yuko sahihi hata kama anaambiwa aainishe kila awamu imekopa kiasi gani hiyo siyo justification ya ss kuendelelea kukopa fedha zenye riba kubwa.Naheshimu mawazo yako Thadei Ole Mushi,nilijua utatutajia nini kimempata Ndugai lakini umeishia kupamba pambo maua,kupiga maneno na kutuletea maajabu ya Bongo,bongo sihami.Unasema awamu ya tano imeishia kununua wapinzani na kukopa Trillion 29,ninukuu ya Mzee Mwinyi sijui kama nainukuu sawa sawa "tukichukua miaka yetu 30 yeye Rais Magufuli amefanya zaidi yetu sisi wote" hii ni busara kubwa kwako Thadei Ole Mushi,Sina haja ya kutaja Mambo makubwa aliyofanya Rais Magufuli maana kila Mtanzania anajua.
Thadei umesema wenye akili uwa hawashangai kwa nini deni la Taifa linaongezeka,wao ujikita kuangalia kwa nini tumekopa na matumizi sahihi ya mkopo wenyewe,hapa umesema vyema na mfano wa matumizi sahihi ni Awamu ya tano,jua linajua,mvua inajua,mbingu na ardhi zinajua lakini Thadei umejisifia sana kuwa kukopa sio tatizo kwa sababu Marekani imekopa,Uingereza imekopa na China imekopa,Sasa nikufungue akili Thadei Ole Mushi,
Sikatai kuwa na Marekani wanadaiwa but tujiulize Marekani bado inadai nchi nyingi mabilioni ya madeni pia China inaidai karibu bara zima la Africa
Swali.
Sisi Tanzania tunawadai nchi gani?
Ili tufidie Kama China inavyo daiwa madeni bilioni USA 100 afu inadai USA TIRIONI 100
tusijilinganishe na USA ambayo inadai madeni fedha nyingi kuliko wanavyodaiwa
Muulizeni Ole China japo inadaiwa but inadai madeni kiasi gani duniani na Africa?
China ndo waliishikilia bandari ya Singapore kwa miaka 30 kwa kuidai, China ndo wameshika mateka uwanja wa Kampala kwa kudai madeni
China inaidai Kenya mabilioni ya shilingi.
SWALI
Sisi Tanzania tunawadai nchi gani?
na Tirioni ngapi?
Tunadaiwa Tirioni 70, Sasa sisi tunadai nchi nyingine Tirioni ngapi
Endeleeni kujilinganisha na madeni ya marekani na China ambao wao wanadai zaidi kuliko wanavyodaiwa ipo siku nchi itapigwa mnada,namsupport Ndugai ila siungi mkono tozo,Tanzania ni tajiri tukutane 2025.
kwani wakati Magufuli anakopa mama hakuwa sehemu ya hiyo serikali?tunawatenganishaje wakati wote walikuwa viongozi wa juu ktk awamu hiyo au sababu Magu kafa so hawezi jitetea?Pro Magufuli mlikuwa mnajitamba humu mnajenga kwa fedha za ndani, kumbe mlikuwa mnakopa.Mama kaja kusema ukweli mnaanza kulialia humu.