Majibu yangu kwa Thadei Ole Mushi alivyouliza, nini kimempata Ndugai?

Serukamba alishajibu hizi perepete
 
Tukichukua miaka yetu 30 yeye Rais Magufuli amefanya zaidi yetu sisi wote

UKWELI MCHUNGU!
Kauli hiyo umeielewa?kafanya nini zaidi ya wenzake?he kaua zaidi?kakopa zaidi?kavunja katiba zaidi?kateka zaidi?au kajenga miundombinu zaidi? Kauli ipo general Sana hiyo!were umeelewaje
 
Trillion 29 sio mchezo,ukichukuwa vitu halivyo fanya magufuli ni vichache sana kulinganisha na hizo pesa,propaganda ni nyingi sana wakati wa magufuli kuliko uhalisia,mimi naona wazo la Nape ni sahihi tufanye audit roughly ya huyu dictator,
 
HUYU jamaa akili yake haifunguki bali yy ni kama kuwadi tu na haelewi analoliandika.anajifanya ana akili kubwa lkn kumbe ni kama seti tupu.pia inaonekana hajui uchumi ni nini na madhara ya kuwa na madeni makubwa ni yapi.Hayati Benjamini W.Mkapa aliridhi madeni makubwa na sote tunajua wakati ule tulipitia katika mazingira gani.sasa tunataka kurudia kule kule tulikohama.Ndugai yuko sahihi hata kama anaambiwa aainishe kila awamu imekopa kiasi gani hiyo siyo justification ya ss kuendelelea kukopa fedha zenye riba kubwa.
 
Pro Magufuli mlikuwa mnajitamba humu mnajenga kwa fedha za ndani, kumbe mlikuwa mnakopa.Mama kaja kusema ukweli mnaanza kulialia humu.
kwani wakati Magufuli anakopa mama hakuwa sehemu ya hiyo serikali?tunawatenganishaje wakati wote walikuwa viongozi wa juu ktk awamu hiyo au sababu Magu kafa so hawezi jitetea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…