Majigambo na masimbulizi ya Bibi yalikua na mantikk ?

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,785
"Yaani mnanishangaza na kisha nawahurumia sana! Eti msichana unaenda kulala na mwanaume jana na leo tena una hamu unarudi kulala na mwanaume ? Kweli wanaume wa sasa hawajiwezi."
Hayo ni baadhi ya maneno aliyokua marehemu Bibi yangu akiwaambia wajukuu zake, ambao kwangu ni Dada zangu, (watoto wa ma-mkubwa wangu.)
Nakumbuka miaka ile ya 90"s nilikwenda likizo Tanga, kumtembelea Bibi, hapo Bibi alikua akiishi na hao Dada zangu.
Kuna siku Bibi aliamka usiku wa kama saa 8 hivi, na kilichomwuamsha ilikua anahitaji dawa yake ya kuchua miguu, alianza kuwaita akina dada bila mafanikio aliita kwa kelele hadi mie mgeni nikaamka na kutoka kumsikiliza.
Bibi akaniambia hembu waamshe hao dadizo wanipe dawa yangu ya kuchua miguu, inaniwaka moto na huyo mkubwa ndiyo anaejua ilipo dawa.
Mie nikaenda kugonga chumbani kwao, lakini hapakuonesha dalili ya kama mlikua na watu, hatimae nikasukuma mlango ukafunguka kwani ulikua umesindikwa tu, kuwasha taa chumba hakikua na binadamu ndani.
Nikamrejeshea Bibi taarifa, Bibi akasikitika na kuniruhusu nikalale. Nikarudi zangu kulala, kulipokucha mie nilichelewa kuamka.
Hata hivyo nilipoamka nikakuta madada wapo na Bibi anawarushia maneno, kubwa alilokua akiwasisitizia kwamba, ( nukuu) "acheni haraka na dunia subirini muolewe, hawa wanaume wapo tu siku zote" (mwisho nukuu).
Usiku uliofata kumbe Bibi aliamka kwenda kuwafanyia patrol na kukuta habari ni kama ya jana yake! Hawapo.
Ndipo asubuhi yake nilipoamka nakuta Bibi mishipa ya shingo imemsimama! (Namnukuu.)
"Wakati wetu sisi ukilala na mwanaume , leo ukiondoka asubuhi kwa mwanaume hata kabati (chu*i) huna hamu ya kuivaa ! Inakua nzito ! Unarudi umeipachika kwenye sidiria ! Au umeitia kwenye mfuko ! . Wiki nzima huna hamu ya mwanaume ! Na ukimuona mwanaume unasikia kichefuchefu ! Eti nyie jana umelala na mwanaume na leo unamrudia! hawa ni wanaume gani ? Hamna wanaume kwenye wakati wenu huu" (mwisho wa kunukuu)
Wadau haya maneno ya marehemu Bibi yangu yalikua na mantik have any minor elements of truth about ?
Nawasilisha.
 
Inawezekana kuna ukweli fulani hasa ikiwa nyie ni wa zile kabila ambazo mapenzi hufuata baada ya mikimbizano na mifikichano mingi. Nafikiri makabila kama hayo si mwanamke tu bali hata mwanamme baada ya kuumizana siku ya pili huwa hataki tena hadi baada ya kupowa majeraha!
Mapenzi ya sasa ni ya ngege si ya Simba kama zamani!
 
watoto wa siku hizi zina sugu hata wasuguliweje ni kama kumpigia mbuzi gitaa na kesho utamuona huyu hapa
 
mmmmmh, maujanja yameongezeka
zamani full kuparurana.
 
Wapo wanaume wengine hata hyo asubuhi yake ni km hujafanya chochote wamekuwa legelege,sijui mavyakula au wana nin?mpaka nilishawahi kusikia mwanamke mmoja analia kisa analalamika mwanaume hajamfikisha wkt anakaa miez 3 bila kupata game ikifika siku ya kupata "kamoja" tena kwa dakika 5.basi anasubir 3months 4 another round.
 
Hizi ni zama za utandawazi! hao wajukuu inawezekana hawalali na hao wanaume kwa ajili ya kiu ya penzi bali kwa kusaka noti!
mbona makahaba kila siku wanalala na wanaume tofauti! na hawaridhiki!
 
ina maana wanaume wa wakati huo walikuwa wanapiga mzigo kiukweli tofauti na wanaume wa siku hizi? mmmmh...
 
watoto wa siku hizi zina sugu hata wasuguliweje ni kama kumpigia mbuzi gitaa na kesho utamuona huyu hapa
hahahaa nimecheka kwa kweli.
lakin tatizo sio nyie vijana wa siku iz mnashindia biscuit had performance inalegalega mwishoe mabinty hawaridhiki hao jaman.
 
aaaarrrrrrrhggggggg!!!ajitokeze mmoja anayejiamini,nirudishe heshima ya wanaume wote kwa niaba!
 
hayo mambo ya kuparurana mpaka unarudi kwenu chupi umeiweka kwenye sidiria!!!!!!kha...hapana bwana shurti mpeane raha mpaka ukiakaa unazikumbukia,,,,sio mpaka ukiona namba yake unatamani kuifuta......
 
Ni kauli nzito ila haina ukweli.Kama unauelewa wa kutosha katika mapenzi utagundua mapungufu mengi kwenye hiyo kauli.
 
vichana wanakula chipsi mayai na soseji mbili wapi na wapi na gemu la heshima.aibu tupu.
 
Back
Top Bottom