Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,785
"Yaani mnanishangaza na kisha nawahurumia sana! Eti msichana unaenda kulala na mwanaume jana na leo tena una hamu unarudi kulala na mwanaume ? Kweli wanaume wa sasa hawajiwezi."
Hayo ni baadhi ya maneno aliyokua marehemu Bibi yangu akiwaambia wajukuu zake, ambao kwangu ni Dada zangu, (watoto wa ma-mkubwa wangu.)
Nakumbuka miaka ile ya 90"s nilikwenda likizo Tanga, kumtembelea Bibi, hapo Bibi alikua akiishi na hao Dada zangu.
Kuna siku Bibi aliamka usiku wa kama saa 8 hivi, na kilichomwuamsha ilikua anahitaji dawa yake ya kuchua miguu, alianza kuwaita akina dada bila mafanikio aliita kwa kelele hadi mie mgeni nikaamka na kutoka kumsikiliza.
Bibi akaniambia hembu waamshe hao dadizo wanipe dawa yangu ya kuchua miguu, inaniwaka moto na huyo mkubwa ndiyo anaejua ilipo dawa.
Mie nikaenda kugonga chumbani kwao, lakini hapakuonesha dalili ya kama mlikua na watu, hatimae nikasukuma mlango ukafunguka kwani ulikua umesindikwa tu, kuwasha taa chumba hakikua na binadamu ndani.
Nikamrejeshea Bibi taarifa, Bibi akasikitika na kuniruhusu nikalale. Nikarudi zangu kulala, kulipokucha mie nilichelewa kuamka.
Hata hivyo nilipoamka nikakuta madada wapo na Bibi anawarushia maneno, kubwa alilokua akiwasisitizia kwamba, ( nukuu) "acheni haraka na dunia subirini muolewe, hawa wanaume wapo tu siku zote" (mwisho nukuu).
Usiku uliofata kumbe Bibi aliamka kwenda kuwafanyia patrol na kukuta habari ni kama ya jana yake! Hawapo.
Ndipo asubuhi yake nilipoamka nakuta Bibi mishipa ya shingo imemsimama! (Namnukuu.)
"Wakati wetu sisi ukilala na mwanaume , leo ukiondoka asubuhi kwa mwanaume hata kabati (chu*i) huna hamu ya kuivaa ! Inakua nzito ! Unarudi umeipachika kwenye sidiria ! Au umeitia kwenye mfuko ! . Wiki nzima huna hamu ya mwanaume ! Na ukimuona mwanaume unasikia kichefuchefu ! Eti nyie jana umelala na mwanaume na leo unamrudia! hawa ni wanaume gani ? Hamna wanaume kwenye wakati wenu huu" (mwisho wa kunukuu)
Wadau haya maneno ya marehemu Bibi yangu yalikua na mantik have any minor elements of truth about ?
Nawasilisha.